Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
Teh teh Warusi wa Ruangwa mmefikia stage hamna cha kujitetea mmeamua sasa mkane zana zenu mpya za kivitaHiyo picha sidhani kama ina uhusiano na vita ya sasa maana ni ya zamani.
Teh teh Warusi wa Ruangwa mmefikia stage hamna cha kujitetea mmeamua sasa mkane zana zenu mpya za kivitaHiyo picha sidhani kama ina uhusiano na vita ya sasa maana ni ya zamani.
Leo hii ule msemo wao pendwa wa 'propaganda za kimagharibi" wameukimbia maana hawana pa kukwepea.Hahahaha Pro Putin kipindi hiki tumewabana ukutani kudadadeki,kila zana zenu mnazikana kuwa sio zenu mnataka muone herufi Z. Tuliwaambia hapa silaha na technology za Mrusi haimfikii za Marekani mkawa mnasema supa pawa
Hiyo Krasukha-4 electronic warfare system ilitumika kufanya jamming ya communication, radar na mifumo ya mawimbi ya redio ndani ya 300km. Hiyo ni muhimu sana kuwa siri.Hizo zote zipo mikononi mwa Marekani
Unaipigaje NATO wakati Ukraine anakutoa kamasi?Hawajaingia ila misaada wanayotoa ipo wazi
Tunapiga UKRAINE na NATO kwapamoja
Kwani ikitekwa juzi leo haiwezi kurudi kwa wenyewe?We jamaa acha kurudia habari hiyo bandari ilitekwa juzi baada ya wanajeshi wa Ukraine kuikimbia.
Urusi ilishinda mara kadhaa ikijitetea - dhidi ya Napoleoni wa Ufaransa mwaka 1812 (aliyefaulu kuteka Moscow akalazimishwa kurudi) na dhidi Ujerumani mwaka 1941-45 (shambulio hado geti za Moscow). Ilishindaa katika uvamizi dhidi ya maadui wadhaifu ilipovamia koloni zake katika Asia ya Kati.Urusi anaweza kuipiga dunia nzima ikiamua muulize germany anajua mziki wake..sio mm ni hapa kijiweni ndo wananiambia hvyo
Leo hata kutumwagia utitiri wa screen shot wamepunguza.Kile kichapo cha leo kumewapagawaishaTeh teh Warusi wa Ruangwa mmefikia stage hamna cha kujitetea mmeamua sasa mkane zana zenu mpya za kivita
Hizo Javelin zina soko muda mrefu sana. Ila Marekani hauzi silaha kwa njaa, anaringa akiwa anauza silaha mara aangalie human rights record yako. NLAW ndio sio za zamani alafu more portable, joint project ya Sweden na UK.Baada ya hii Vita hizi javellin na NLAW zitapata soko Sana maana zimeonyesha ufanisi mkubwa sana dhidi ya vifaru vya Russia.
Muwe na subira jamani. Ni suala la muda tu.Superpower amegeuka kuwa Superkibatali,to be honest hii vita imeliweka uchi Jeshi la Russia vibaya sana,wale majama wa mitaa ya Washngton DC and the Co watakuwa wanagonga glass za mvinyo huku wanacheka wakiona Superpower wa makaratasi anavyohangaishwa na Comedian Zelensikyy
Nakupa tu taarifa Russia anatumia technologia ya zamani sana kumpiga Ukraine silaha zake latest bado hajaanza kutumiaHiyo Krasukha-4 electronic warfare system ilitumika kufanya jamming ya communication, radar na mifumo ya mawimbi ya redio ndani ya 300km. Hiyo ni muhimu sana kuwa siri.
Marekani walivyoenda kumuua Osama bin Laden mojawapo ya stealth helicopter yao ilipata hitilafu wakashusha crew nzima marubani wake wakachomoa vifaa vya mawasiliano kisha wakaifunga mabomu wakailipua. Picha ya pili chini ni mabaki ya mkia wake, ambayo nayo waliyafuata baadae Mchina aliwahi kuchukua picha na sampuli kidogo, asingeyabeba Pakistan angemwambia nini Marekani. Hawa Warusi hata silaha zao muhimu wanaziacha tu bila hata kuzichoma moto.
Marekani hawa waliowahi kuiba Mil-24 Hind helicopter ya Urusi miaka ya 1980 kutoka Libya wakaininginiza kwenye Chinook helicopter yao hawashindwi kubeba hii Krasukha-4 tena sijui ni 4×4View attachment 2160910View attachment 2160916
ongeza vita na japan 1904-1905 pia walitandikwa.Urusi ilishinda mara kadhaa ikijitetea - dhidi ya Napoleoni wa Ufaransa mwaka 1812 (aliyefaulu kuteka Moscow akalazimishwa kurudi) na dhidi Ujerumani mwaka 1941-45 (shambulio hado geti za Moscow). Ilishindaa katika uvamizi dhidi ya maadui wadhaifu ilipovamia koloni zake katika Asia ya Kati.
Vita za kushambulia - motisha ya wanajeshi ni tofauti. Vita Kuu ya kwanza 1914-1917 Ujerumani ilishinda Urusi baada ya Urusi kushambulia. Vita dhidi ya Finland, Estonia, Latvia 1918/1920 na Vita dhidi Poland 1920/22 Urusi ilishindwa.
Afghanistan akina Taliban walishinda Urusi 1978-89.
1994–1996 vita ya kwanza dhidi ya Chechnya - Urusi ilishindwa (vita ya pili ya Chechnya Urusi ilishinda).
Na baada ya hii vita,mataifa mengi sana yatafanya tafakuri ya mustakabali wao hasa hizi taasisi za kimataifa na kujiweka chini ya marekani kama kiongozi wa dunia.
Kwamba siku 365 si nyingi 😀Muwe na subira jamani. Ni suala la muda tu.
View attachment 2160920
Mbolea mtihani, belarus na russia ni za tatu na pili kwa uzalishaji wa potassium, pia kwa ardhi iliyopo marekani na argentina haiwez fidia hata robo ya uzalishaji wa russia kwa muda mfupi. Kinachoifanya russia izalishe kwa urahisi n upatikanaji wa mbolea ya potasiumNchi za Marekani na Argentina ambazo ni mmoja ya wazalishaji wakubwa wa ngano duniani wamesoma watangeza uzalishaji wa ngano kufidia pengo la ngano ya Urusi na Ukraine ambao wako vitani
Source: Sky news
Islamaphobic racist cunt!⚡️Peskov: Russia can use nuclear weapons only in case of a real threat to the country