T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hii ni Grad MLRS ndio ya zamani kwenye series. Hizo nyingine kina Tornado na Smerch zina range na caliber kubwaLook at what Russians left! View attachment 2160953
Hii ni Grad MLRS ndio ya zamani kwenye series. Hizo nyingine kina Tornado na Smerch zina range na caliber kubwaLook at what Russians left! View attachment 2160953
Acha kuwadanganya watu, unaenda kubeba vitu kutoka ukurasa wa UKRAINE WEAPONS unajaza hapa, unacopy hadi content ili uonekane unachambua kilaza wewe. Haya madudu yako umeokota hapa na mbaya ukajifanya umechambua wakati umemkopi huyo jamaa. MBAYA ZAIDI HIZO NI MBILI TOFAUTI, ONESHA PICHA YA GARI YAKE MAANA HILO HUWEZI LISHUSHA CHINI, SASA WEWE LETA PICHA YA GARI YAKE IKIWA IMEANGUA AU HATA IKIWA HAPO ENEO LA TUKIO.Anti armour weapons made in Spain. Hizi zitasaidia kupambana na APC na IFV, kwa tanks sio most effective. Hizi ni nyepesi sana na nzuri kwenye hit and run za mjini mitaani.
Zimefika PolandView attachment 2160961
Are you saving me from embarrassing myself by embarrassing yourself!? What a candle like bway[emoji1787]Let me save you from embarrassing yourself, United States of America is among if not the biggest donor country in the world. Am sure you've seen many things written 'USAID' in tz.
USA is also the biggest donor to the United Nations in 2019 contributing a whooping 11bn$ and we know how deeply UN is involved in wars. So technically even without USAID they already helped iraq people.
The only reason Russia allegedly donated food is to try to try and win the hearts of Ukraine people in captured city of Kherson. If they are soo kind how comes ive never even heard of Russian Aid.View attachment 2160615View attachment 2160617
Alichokuambia ni sahihi sio uwongoTunakubali utudanganye ila hapa umezidi kutuoneaa Mkuu😀
Asante,Kyiv bado ipo huru na Zelensky bado anadunda mtaaniHongereni naona UKRAINE ipo huru sasa
Kwahiyo unataka kulia kisa nimekopi, kumbe ni kweli? Sasa unalilia nini kama system ina specifications si lazima ziwe zilezile kwa yeyote anayetoa taarifa. Umeenda kutafuta kama nimesema uongo ukaangua kilio kuona nilichosema ni sahihi.Acha kuwadanganya watu, unaenda kubeba vitu kutoka ukurasa wa UKRAINE WEAPONS unajaza hapa, unacopy hadi content ili uonekane unachambua kilaza wewe. Haya madudu yako umeokota hapa na mbaya ukajifanya umechambua wakati umemkopi huyo jamaa.View attachment 2160970View attachment 2160971
Russia au China walikupa msaada upi usio na masharti?Afu mnapitisha na ushoga. Unajua misaada ya america ni ya masharti?? Nchi za kiafrica zimekua maskin kwaajili ya hio misaada mmarekani akupe cha buree?? Mmarekani anakupa akijua na wewe unacho cha kumpa.
Misaada gani hio ya mashart sasa
Siku ya 27 leo Supa Pawa wa mchongo anatolewa kamasi na Comedian ZelenskyHii vita bado ngumu kwa pande zote, ila kinachoshangaza Urusi na ukubwa wake bado hajamaliza mchezo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] we kilaza mzee, mi nimekuonesha wapi unakopi vitu vyako, haya sasa kama umeambiwa hilo gari ndio limekamatwa leo hii, onesha hilo gari, na hata hilo kontena liko tofauti mno na ukiliangalia kwenye hiyo gari.Kwahiyo unataka kulia kisa nimekopi, kumbe ni kweli? Sasa unalilia nini kama system ina specifications si lazima ziwe zilezile kwa yeyote anayetoa taarifa. Umeenda kutafuta kama nimesema uongo ukaangua kilio kuona nilichosema ni sahihi.
Specifications zinatolewa na manufacturer ngumbaru kama wewe huwezi elewa unaona ni maajabu sana mtu kujua specs zilizo free kujulikana
Wanatafuta pakutokea[emoji298]️ Russia would only use nuclear weapons if its existence threatened - Peskov.
Mzee nakutaka acha ku quote comments zangu. Sikuombi ushauri.Wanatafuta pakutokea
Unatuletea hapa FRIZA hapa unatuambia oooh huu mtambo wa kujam systems. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Haya kacheze na shemeji zako sasa, ulicholeta ndio hiko hapo chini.Kwahiyo unataka kulia kisa nimekopi, kumbe ni kweli? Sasa unalilia nini kama system ina specifications si lazima ziwe zilezile kwa yeyote anayetoa taarifa. Umeenda kutafuta kama nimesema uongo ukaangua kilio kuona nilichosema ni sahihi.
Specifications zinatolewa na manufacturer ngumbaru kama wewe huwezi elewa unaona ni maajabu sana mtu kujua specs zilizo free kujulikana
Mzee utateseka sana kama ukiendelea kunifuatilia maana naona nakukasirisha. Nakushauri ufanye kuniblock au uwe na vipimo vya BP karibu yako ili usije acha familia bila wosia. Nitaendela kuwa humu, huna hisa JF na hunipangii.Oya we pimbi acha kuwadanganya watu humu as if watu hatujui kinachoendele. Hakuna Electronic warfare ya Mrusi iliyokamatwa huko UKRAINE. Acha hizi fix, jamaa wameenda nazo mbili tu na ziko mbali mno hizo hapo chini acha fix.
Huna unalojua kazi kushinda Wikipedia unatujazia mauongo yako hapa.View attachment 2160960
Acha kuwadanganya watu, unaenda kubeba vitu kutoka ukurasa wa UKRAINE WEAPONS unajaza hapa, unacopy hadi content ili uonekane unachambua kilaza wewe. Haya madudu yako umeokota hapa na mbaya ukajifanya umechambua wakati umemkopi huyo jamaa. MBAYA ZAIDI HIZO NI MBILI TOFAUTI, ONESHA PICHA YA GARI YAKE MAANA HILO HUWEZI LISHUSHA CHINI, SASA WEWE LETA PICHA YA GARI YAKE IKIWA IMEANGUA AU HATA IKIWA HAPO ENEO LA TUKIO.View attachment 2160970View attachment 2160971
Hii System utasikia ipo Washington DC miezi michache ijayo,Marekani lazima atie mkono hapo ajue ndani ina nini.Utasema na hii sio ya Russia kisa haina V. Hii mojawapo ya sehemu ya Krasukha-4 electronic warfare system ni mpya hata haijawahi uzwa popote. Imekamatwa na Ukrainians.
Ni hasara sana systems zako state of the art kukamatwa. Bora wakamate vifaru uko vya miaka ya 1980s kuliko system bora iliyoanza kutumika 2014View attachment 2160773View attachment 2160775