Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
Kumbe wewe ni shoga?China wapi amepitisha ushoga?? Au na wewe mmoja wao?
Kumbe wewe ni shoga?China wapi amepitisha ushoga?? Au na wewe mmoja wao?
Ndugu yangu si unajua tena sisi wengine lugha ya Queen Elizabeth inatuletea shida?Mzee kabla ya kuweka comments zako humu hebu pitia comment yangu na ujishughulishe kujua ni nini nime post. Kuliko kujaza mashudu hapa JF na kujiaibisha.
Kama umeshindwa kujadili kistaarab mimi mwenyewe naweza vita vya maneno. Nakusihi jikite kwenye mada. When you attack me personally unataka nikueleweje!?. Nakusihi jikite kwenye mada.Hahahaha Pro Putin mnakaribia kurusha ngumi sasa. Kama huwezi kushindana kwa hoja jiondoe Jamiiforums,chochote utakachokiweka hadharani tutachangia mbuzi wewe.
Mchina Hana uwezo wa kuipiga urusi Acha kuropoka.Sipati picha Urusi kamvamia mchina. Angepigwa.
Nimekusihi kwa unyenyekevu kabisa, unapojadili mambo ya kimataifa jitahidi aghalau kidogo upo na ABC ya kile unacho comment.Ndugu yangu si unajua tena sisi wengine lugha ya Queen Elizabeth inatuletea shida?
Nikipata translation nitafurahi zaidi.
Ingawa nilikuwa more interested na hilo kombora uliloliweka hapo naona kama lina na vitoto kwa upande wa chini.
Samahani lakini na mashudu yangu.
Umetisha.Sio wewe wala mimi tunaoweza kupima uwezo wa jeshi la urusi. Hao hao wa magharibi tena wataalamu sana kwenye maswala ya military ndio wanaotuambia uwezo wa nguvu za kijeshi za urusi.
- Wakati vita vinaanza,
Putin: yeyote atakayeingilia sisi tunaye
- Vita vikiwa vimepamba moto na ukraine anaelemewa
US: poland wapeni ndege vita ukraine.
Poland: tutazileta kwenu US hizi ndege vita zetu ili nyie mzipeleke huko ukraine.
US: basi bwana kama vipi tumeghairi. Hata sisi hatutapeleka hizo ndege huko ukraine
Zelensky: Nato/Us ni waoga wanamuogopa russia.
Assad bado yupo mpaka leo (kwa hisani ya putin)
Maduro bado yupo mpaka leo (kwa hisani ya putin)
Georgia alizingua akapigwa vibao mchana kweupe na hakuna aliyesema kitu
Crimea ilimegwa kama keki na hakuna aliyefanya kitu
Ukraine wanapigwa dk hii na hakuna aliyefanya kitu
Bado unaubeza uwezo wa urusi kijeshi!?
World's nuclear super power[emoji736]
Urusi haijaisha na wala haianguki. Wewe ndio unataka ianguke na iishe kabisa. Wapo watu kila pembe ya hii dunia masaa 24 wanatumia akili zao zote mpaka mwisho kuhakikisha Russia inazidi kusonga mbele na wewe uko hapa unategemea itaanguka hivi karibuni!? Hilo linabaki kuwa dua la kuku kamwe halitamfika mwewe. Rasilimali!? Hakuna nchi dunia hii yenye rasilimali kama russia na wala vita hii haitochukua muda mrefu kama unavyohisi wewe.
Urusi imeteka kamji kamoja tu!? Bwahahahaha endelea kujipa moyo View attachment 2161010
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kaka tafadhali tusiangukie haraka mno peopaganda wa upande mmoja jinsi wengi hapa wanavyofanya. Si rahisi kuona yote, maana ukweli ni mhanga wa kwanza wakati wa vita.Sio wewe wala mimi tunaoweza kupima uwezo wa jeshi la urusi. Hao hao wa magharibi tena wataalamu sana kwenye maswala ya military ndio wanaotuambia uwezo wa nguvu za kijeshi za urusi.
- Wakati vita vinaanza,
Putin: yeyote atakayeingilia sisi tunaye
- Vita vikiwa vimepamba moto na ukraine anaelemewa
US: poland wapeni ndege vita ukraine.
Poland: tutazileta kwenu US hizi ndege vita zetu ili nyie mzipeleke huko ukraine.
US: basi bwana kama vipi tumeghairi. Hata sisi hatutapeleka hizo ndege huko ukraine
Zelensky: Nato/Us ni waoga wanamuogopa russia.
Assad bado yupo mpaka leo (kwa hisani ya putin)
Maduro bado yupo mpaka leo (kwa hisani ya putin)
Georgia alizingua akapigwa vibao mchana kweupe na hakuna aliyesema kitu
Crimea ilimegwa kama keki na hakuna aliyefanya kitu
Ukraine wanapigwa dk hii na hakuna aliyefanya kitu
Bado unaubeza uwezo wa urusi kijeshi!?
World's nuclear super power[emoji736]
Urusi haijaisha na wala haianguki. Wewe ndio unataka ianguke na iishe kabisa. Wapo watu kila pembe ya hii dunia masaa 24 wanatumia akili zao zote mpaka mwisho kuhakikisha Russia inazidi kusonga mbele na wewe uko hapa unategemea itaanguka hivi karibuni!? Hilo linabaki kuwa dua la kuku kamwe halitamfika mwewe. Rasilimali!? Hakuna nchi dunia hii yenye rasilimali kama russia na wala vita hii haitochukua muda mrefu kama unavyohisi wewe.
Urusi imeteka kamji kamoja tu!? Bwahahahaha endelea kujipa moyo View attachment 2161010
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wote mnakopi, sasa unamkosoa anaekopi kwa kopi zako.........!!!!Kutokana na upumbavu wa T14 ARMATA, sasa mimi namuwekea
Soma hapoView attachment 2160999
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati Marekani anatelekeza Humvees kule Afghanistan, huku superpower uchwara wapiganaji wanaomuunga mkono kutoka Donbass region wanaendesha nini hiki tunaita huku wanabebea nyanya sokoni. Sijui ni Bajaji nayoView attachment 2161025
Umekurupuka kukpuku pu na majibu. Nimeandika angepigwa sikusema nani kati ya Urusi na China, Kuna Mrusi humu angevamia afanye ulichofanya kumsifia Mrusi ila naona umeparamia wewe.Mchina Hana uwezo wa kuipiga urusi Acha kuropoka.
Vyovyote vile utakavyo wewe,naona unaleta ujinga wa Putin wakupiga watu biti kumbe huna lolote.Kama umeshindwa kujadili kistaarab mimi mwenyewe naweza vita vya maneno. Nakusihi jikite kwenye mada. When you attack me personally unataka nikueleweje!?. Nakusihi jikite kwenye mada.
hilo sio kombora MKUU ni sateliteNdugu yangu si unajua tena sisi wengine lugha ya Queen Elizabeth inatuletea shida?
Nikipata translation nitafurahi zaidi.
Ingawa nilikuwa more interested na hilo kombora uliloliweka hapo naona kama lina na vitoto kwa upande wa chini.
Samahani lakini na mashudu yangu.
Na Mimi kwa unyenyekevu kabisa pamoja na kwamba ni pro Putin mwenzako lakini nakuomba ipitie posti # 18419Nimekusihi kwa unyenyekevu kabisa, unapojadili mambo ya kimataifa jitahidi aghalau kidogo upo na ABC ya kile unacho comment.
NB: Hapa siyo darasani kwamba utafundishwa.
Nakusihi tena, sipendi stupid people wanaojifanya wanajua vitu.
HUO NI UPUMBAVU
Kutokana na upumbavu wa T14 ARMATA, sasa mimi namuwekea
Soma hapoView attachment 2160999
Mzee bado tu unanitafuta siyo. Hebu ondoa upumbavu wako mzee.Nuclear sio silaha mpya waseme wanatisha watu.
🤣🤣🤣🤣🤣🎶🎶🎶Hahahaha Pro Putin mnakaribia kurusha ngumi sasa. Kama huwezi kushindana kwa hoja jiondoe Jamiiforums,chochote utakachokiweka hadharani tutachangia mbuzi wewe.