Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo ni Soyuz rocket hasa kazi kubwa ni kutuma satellite nje ya dunia. Hilo kombora lenye nyongeza unalosema either ni ballistic lenye masafa marefu lenye vichwa vingi (MIRVs) ambalo ni nuclear na halitumiki hapa.

Au unasema rockets zenye vibomu vidogovidogo vingi (cluster munitions) ambazo Russia anatumia.
Shukran.
 
Hata hivyo comment unayoiongelea sidhani kama inauhusiano na hiki. Ngoja tu nikupe ufahamu Soyuz-2.1a ni rocket iliyotumwa na shirika na Anga la Russia kwenda kwenye International Space Station hilo siyo kombora.

Siku zingine kitu kikitajwa jaribu hata kuingia google upate ABC.
Wenzako juu huko tayari wameshanielewesha wewe baki tu panic zako.
 
Hata wenyewe wamejaza chanjo za Westerns mwilini. Hata vifaa vya hospitalini wanatumia, magari wasio na Mjapan au Mchina its likely watakuwa na Western. Nani pro Russia humu anatumia Lada ambayo ni kampuni kubwa ya magari Russia? Bado hata yenyewe iko majority owned na Renault ya Ufaransa. Watajibu gesi, mafuta vitu ambavyo hata Nigeria anatoa
Nimewaza nikujibu kuhusu Sputnik V [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nikaona ni ngumu Nazi kuelewa.

Nikawaza unafahamu kwa nini haikuwa ratified na EU pamoja na Marekani?

Nikawaza vita ya kibiashara na Uchumi inavyoendelea unaifahamu kweli?
Nikajisemea hiiiii in magu voice.


Nikawaza magari unayoyasema hivi market strategic price alivyofanya mjapan na Mchina kuteka soko la Dunia ila unakili na mrusi anazalisha.

Kuna kampuni kubwa duniani isiyo na shareholders, kwa nini kwa Lada iwe nongwa?

Halafu tukumbuke Dunia ya Urusi Toka kale ni Ulaya Mashariki, je tuanze kutaja bidhaa zinazozalisha kutoka Urusi kwenda kwenye hayo Mataifa?

T14 ARMATA mzee wa google unaishia kucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂....asee hii Vita ikiendelea wiki tu , watu watatafutana mpaka mitaani na wao wazichape.
Mkuu Nyamizi turudi Sports tuendelee kuisupport Simba tu, Hii vita bado tunayo sana haiishi leo wala kesho.
 
Pranksters Claim Chat on Ukrainian Nuclear Program with UK Defense Chief


An inspector calls, but not the one Ben Wallace was expecting... the pranksters that 'duped' him into believing he was on the line with Ukraine's PM have alleged that the UK Defence Sec. said Britain could "assist Kiev."


A teaser has been released of the supposed dialogue, which suggests Westminster could be ready to help Ukraine develop nuclear weapons.


The call reportedly took place on March 17. Wallace was said to be in Poland at the time and thought he was speaking to Denys Shmyhal - he responded that "Russia would really hate it," and would discuss the matter with Boris Johnson.


The pranksters say they will release the full video in the coming days.
 
Nakusihi tena mara ya mwisho jikite kwenye mada.
Wewe mtoto mdogo uliejiunga juzi Jamiiforums huwezi kunipangia nini nipost na nini nisipost shwaini wewe. Nakusikiliza unataka twende vipi. Mahaba yako kwa failed state kama Russia kusikutoe ufahamu.
 

Ukraine accuses Hungary of having designs on its land​

Deputy PM alleges that “cheap Russian gas” and a thirst for territory could be behind Budapest’s “pro-Russian” rhetoric

Ukraine's Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk has questioned, what she has described as, Hungary’s “pro-Russian” rhetoric, suggesting that the desire for “cheap Russian gas” or even a potential land grab could be behind Budapest’s policy over the conflict between Moscow and Kiev.

“In fact, they say ‘no’ to everything. A bit more – and Budapest's official rhetoric will be totally pro-Russian. What is this? Want some cheap Russian gas? Or maybe want our Transcarpathia?” Vereshchuk wrote before calling on Budapest to “join the civilized world” and “not to repeat the mistakes of World War II when Hungary made a wrong choice.”
 
Hii Vita Russia atashinda wala halina ubishi hata Marekani na NATO yote wanajua hilo na walijua Ukraine itafall ndani ya week tu CIA ilisema hvyo hata vyombo mbalimbali vya intelligence vya western vilisema hvyo ndo maana ndani ya week tu Vita ilipoanza Marekani ikataka kumuondoa Rais WA Ukraine haraka lkn alikataa.

Shida inakuja mpaka sasa hao NATO wenyewe wameshangazwa na wanaendelea kushangazwa na uhodari wa jeshi la Ukraine dhidi ya warusi pamoja na udhaifu ulioonyeshwa na urusi kwenye hii Vita pia nadhani hata Putin mwenyewe atakua ameshangazwa na kichotokea maana sidhani km alitaka hii Vita ichukue hata mwezi baada ya kuingiza 100% ya wanajeshi wake aliowakusanya mipakani mwa Ukraine,wanajeshi karibu laki2 na ndio maaana sasa Russia inataka baada ya Vita kuisha Ukraine ipunguze jeshi lake (hii inaonyesha mpk sasa Urusi wamejua nguvu iliyonayo Ukraine).

Mpaka sasa Russia ameshindwa kutawala anga la Ukraine anatumia artillery na long range missiles anazorusha tokea kwake au Belarus la sivyo angekua kashanyanyua Tu-160 zikafanye carpet bombing Kiev. Na hii Vita bila kutawala anga itakua ngumu Kwa Russia km mpaka sasa Mariopol inayobondwa na mabomu karibu mwezi imekataa kujisalimisha (baada ya kukataa kujisalimisha kuna taarifa kwamba kila baada ya robo saa inaangishiwa mabomu na Makombora mazito) unadhani hiyo Kiev itakuaje?!

Je ule msafara wa 64km umeishia wapi?!
Bado hapo ule msaada WA kijeshi wa $800 mln wa USA haujafika,ambao unajumuisha drones, javellin na Aina zingine za silaha, ukifika sijui itakuaje?!

Bado Russia nayo inasubiri mamluki WA Syria karibu 40,000 waje waisaidie kupigana.

Hii Vita tunayo,ngoja tuone Mwisho wake.

Kesho kutwa inatimiza mwezi tangu ianze.
 
Haya kuna fursa ya kwenda kufundisha kiswahili kwa wanaotaka kwenda Russia au USA
Chagua nchi tukupe mchongo.......😂
 
Wewe mtoto mdogo uliejiunga juzi Jamiiforums huwezi kunipangia nini nipost na nini nisipost shwaini wewe. Nakusikiliza unataka twende vipi. Mahaba yako kwa failed state kama Russia kusikutoe ufahamu.
Naona baada ya kifo cha magufuli ndio ulirudi JF. Usinichukulie poa. Vipi umepima tena HIV!?
Screenshot_20220323-001543.png
 



Baadhi ya Watu kwenye Miji mbalimbali Nchini Ukraine hawatokuwa na chakula siku tatu au nne zijazo kutokana na vita inayoendelea ambayo imezidi kuwa kali kiasi cha kufanya hata Watu wanaotoa misaada washindwe kuwafikia wahanga, limesema Shirika la misaada la Mercy Corps

Hadi sasa inasemekana karibu 70% ya Watu waliopo kwenye Miji ya Kharkiv na Sumy wanategemea kabisa misaada inayosafirishwa siku hadi siku.@dw_kiswahili


Pole nyingi ziwafikie Ukraine ..... ushauri wangu kwa Rais Zelensky👉🏽nakuomba ukabidhi nchi haraka kwa Rais Puttin, otherwise utapoteza wanajeshi wako wote, na hata Raia wako pia unaowatumia kupambana na majeshi ya Urusi.....Very sad.
 
Mkuu hebu tuangalie huyo America na Nato walitumia siku ngapi kuiangusha Afghanstan au hata Libya? Strong Alliance with sophisticated weapons na unmanned drones kweli mnatumia siku nyingi namnahyo kwa watu wanaotumia silaha za kizamani? Twende kwa mrusi sasa. Hadi mda huu silaha ya kisasa aliyotumia ni Hypersonic missiles zilizobak zote anatumia zakizamani. Tena ni sawa na yuko pekeake tu kwenye hii vita wakat Ukraine anapata sapot ya silaha na vikwazo vya kiuchumi. Bado mzee unaidharau nguvu ya jeshi la kirusi?
Mpaka sasa NI silaha gani mpya ambayo Mrusi hajaitumia kwenye hii Vita?!

Kashatumia cluster bombs, thermobaric bombs,state of the art jamming systems, hypersonic missiles, Iskander missiles,Kalibr missiles na nyingine nyingi. Je ni silaha mpya zipi hizo ambazo hajazitumia bado?!
 
Back
Top Bottom