Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We all know the real number is 489 and some revived after their bodies were brought into Mother Russia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_2022-03-23-00-47-28-094_com.facebook.katana.jpg
 
“Dear non-brothers, do you really think that I would trade my country and my people for the opportunity to play in any tournaments? People's love is priceless! ❤️❤️❤️"

Such a post was published in his Telegram channel by Russian chess player Sergey Karyakin.

Earlier, the International Chess Federation disqualified him for six months for supporting a special operation in Ukraine.
Galip SV

IMG_20220323_004734_455.jpg


IMG_20220323_004734_839.jpg
 
Kwa akili yako URUSI wanaweza kutumia guta vitani?? Umeshindwa hata kuona kwamba Raia ndio ameamua kujichorea hiyo Z. Umeshindwa kabisa kuona kwamba Askari na hilo guta havina uhusiano na wala hana habari na hilo guta??
Aisee
Makasiriko ya nini tena,si tulikubaliana hakuna kumpangia mtu cha kupost wala kukoments?
 
Without the participation of the Kiev authorities, Russia has already managed to evacuate 68,098 people from Mariupol, said Colonel-General Mikhail Mizintsev.

What else did the head of the National Defense Control Center of the Russian Federation say:

- from 10:00 on March 22, the Russian side reopened the humanitarian corridors in the Kiev, Chernihiv, Sumy and Kharkiv directions. Official Kiev has not agreed on a single corridor towards Russia;

- The Armed Forces of the Russian Federation fully comply with the “silence regimes”;

- Ukrainian neo-Nazis continue to keep over 4.5 million civilians in Kyiv, Kharkov, Chernigov, Sumy and other large settlements as a "human shield". Also hostages are more than 6 thousand foreigners;

- in the seaports of Ukraine, due to the mine danger created by the Kiev authorities, the crews of 67 ships from 15 foreign countries remain blocked;

- the day before, without the participation of the Kiev authorities, 19,442 people were evacuated to Russia, of which 3,448 were children. In total, 366,182 refugees arrived in the Russian Federation;

- The Russian side daily delivers humanitarian aid to the liberated regions. In total, the Russian Federation sent over 4,000 tons of dry goods to Ukraine.

Galip SV

20220322_130616.png
 
Halafu na ilivyo mibongo ni mipwenge na mishamba kwenye mambo na teknohama
kila likiona habari yoyote kwenye mtandao linaamini ni ya ukweli
Ule Ujamaa na magazeti ya uhuru na mzalendo na ukiongezea RTD, iliharibu sana nchi mpaka leo kuna wanaoaamini hata TBC ni ya ukweli, ndio maana yule kenge mfu alijichukulia nchi kirahisi sana......
Huo ujamaa unaouponda ndio ulimsomesha baba yako na walimu wa UPE. Ndio maana upo leo humu JF. Isingekuwa huo ujamaa sasa hivi ungekuwa ukeshauzwa uarabuni na kuwa manamba.
 
Jibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo hutaki kutuambia kama umeenda tena kupima HIV na mkeo!? Mh!! Hutaki!?
Kwako wewe unaona ukimwi ni kitu kipya kuanzia kupima hadi kuwa nao? Kweli humu ndani tunabishana na watoto walioshika smartphones za shemeji zao
 
The main thing from Peskov's interview to CNN:

- the purpose of the special operation is not the "occupation of Ukraine";

- the special operation "is going strictly in accordance with the plans and tasks set in advance";

- Moscow had direct indications that Ukraine was preparing for a military operation against the Donbass: “Within a couple of days, it became absolutely clear to us, our military experts, that Ukraine intended to launch an offensive against the Donbass”;

“Until the last moment, we did not want to believe that no one would listen to our concerns, no one would warn Ukraine against these actions, no one would push Ukraine towards a solution within the framework of the Normandy Process. But no one did it”;

— some Ukrainians cooperate with the military of the Russian Federation: “There are Ukrainians who want to avoid casualties and are in contact with our military”;

- the military of the Russian Federation is forbidden to harm civilians, they do not strike at civilian targets;

- Russia can use nuclear weapons only in case of a real threat to the existence of the country.

Galip SV

IMG_20220323_005005_127.jpg
 
Keako wewe unaona ukimwi ni kitu kipya kuanzia kupima hadi kuwa nao? Kweli humu ndani tunabishana na watoto walioshika smartphones za shemeji zao
Kwahiyo umegoma kutoa jibu. Mbona unapiga porojo tu mwanangu!? Tuambie mzee umepima au la!? Na ulienda kupima hiyo HIV na mkeo!?🤣🤣🤣
 
Huo ujamaa unaouponda ndio ulimsomesha baba yako na walimu wa UPE. Ndio maana upo leo humu JF. Isingekuwa huo ujamaa sasa hivi ungekuwa ukeshauzwa uarabuni na kuwa manamba.
Akili ndogo...
Ndio maana unashinda JF
Shemeji akikutoa mkuku utaenda wapi
Tafuta hela wewe,
hakuna hata mrussia anayekujua atakupa hifadhi....
 
Daahhh ..[emoji20][emoji20][emoji20].nahisi presha inanipanda....africa .....na asia yote tuamke tupambane na hawa majangili ...hata kama hatuna pesa ..za kuendesha vita tutumie rasilimali tulizo nazo .....ili dunia iwe kwenye uwiano .....kwamba ukiinigusa ...ujue na wewe hautapona ...............
Mugabe alishasema tunaendeshwa na wapumbavu wachache sana kutoka america na ulaya. Tunaweza kuwashinda kabisa tukiungana Asia na africa hawatatuweza kwanza kibiashara population yetu ni kubwa akataja bln people walioko africa india na china plus waarabu tunaweza sana alisema, na ni kweli tunaweza kuwa huru.
 
Mugabe alishasema tunaendeshwa na wapumbavu wachache sana kutoka america na ulaya. Tunaweza kuwashinda kabisa tukiungana Asia na africa hawatatuweza kwanza kibiashara population yetu ni kubwa akataja bln people walioko africa india na china plus waarabu tunaweza sana alisema, na ni kweli tunaweza kuwa huru.
Habari za abunuas hizo. Eti muwashinde Ulaya na Marekani wakati maji safi ya kunywa miaka 60 ya Uhuru sasa yanatutesa.
 
Back
Top Bottom