Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hiyo Asia yenyewe imekua tajiri na kuendelea Kwa Kasi kutokana na uwekezaji wa makampuni ya haohao mabeberu mfano mzuri ni China.Mugabe alishasema tunaendeshwa na wapumbavu wachache sana kutoka america na ulaya. Tunaweza kuwashinda kabisa tukiungana Asia na africa hawatatuweza kwanza kibiashara population yetu ni kubwa akataja bln people walioko africa india na china plus waarabu tunaweza sana alisema, na ni kweli tunaweza kuwa huru.
Kuna kamsemo kanasema Kama huwezi kushindana nao,ungana nao.