Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ARE TANKS OVE?!

https://africa.businessinsider.com...nks-making-experts-ask-are-tanks-over/y8qkjn5
Screenshot_2022-03-23-01-26-35-778_com.facebook.katana.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aachane nae tu Mkuu ujue siku hizi maisha magumu kuna watu muda wote hasira zimetawala medulla oblongata wanatafuta watu WA kushare nao.[emoji23] Siunajua tena kaka kwamba Misery loves company.
🤣🤣🤣🤣
Birds of a feather flock................
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angalia comment zako mgonjwa wetu. Unasahau unapo comment unawasema watu eti std7. Ungojwa wako unakula kumbukumbu.View attachment 2161105

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Baada ya kupiga makombora kwenye majengo, Warusi wamethubutu kuingia kwenye vita vya mtaani na kuteka mtaa wa Makariv ambao ni muhimu sana kimikakati, ila kilichowakuta baadaye, walitoka nduki na kuachia wanajeshi wa Ukraine. Vita vya mtaani ni hatari sana, utapiga mabomu yako ila hatimye ukute umesubiriwa Buza na wenye mitaa yao...

=========================

Ukrainian forces retook a strategically important suburb of Kyiv on Tuesday as the war with Russia approaches its four-week mark.

Ukraine’s Defense Ministry announced that troops were able to retake Makariv, northwest of Kyiv, The Associated Press reported.

However, Russian forces were able to gain ground in other suburbs around Ukraine’s capitol city such as Bucha, Hostomel and Irpin.

The Russian troops did not advance in most other areas of the country, the AP added, noting that they have been struggling to take control of any big cities in Ukraine. Russian forces have reportedly fired more than 1,000 missiles since the invasion began last month.

Meanwhile, the battle for Mariupol continued Tuesday, with residents fleeing the city saying dead bodies are scattered on the ground, according to the AP.

More than 3.5 million Ukrainians have fled the fighting, according to the United Nations.
Ukrainian President Volodymyr Zelensky asked U.S. lawmakers last week for a no-fly zone over his nation, a request that has been denied by the Biden administration.
Zelensky has said he is no longer pressing for Ukraine to join NATO in an effort to end the war with Russia.
 
Venus Star
Katika vita ya David na Goliath, mimi niko upande wa David....
Angalia huu uzi, halafu kakojoe ukalale.....

Venus Star
Katika vita ya David na Goliath, mimi niko upande wa David....
Angalia huu uzi, halafu kakojoe ukalale.....

Mzee dharau huwa sipendi kabisa. Unaporusha mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo jiangalie. Wewe weka link mengine yakusema kojoa ukalale ni utoto na upumbavu. So jiheshimu nami nitakuheshimu.
 
Russia wanashambulia wakikuta kuna resistance kali wanarudi nyuma halafu wanawazunguka, toka vita inaanza ndio mbinu yao.

Wakizungukwa ujue hawatoki, ngoja tusubiri uone.

NB. Sishabikii vita, lakini, Russia wanazidi kusonga mbele, jeshi la Russia wana progress.

Soon Zelensky atahama nchi. Kumbuka hii vita mpaka Putin kuweka silaha za nyuklia kwenye hali ya tahadhari jua kabisa jamaa wamedhamiria.
 
Am Historian and Economist... Nikifanya kazi kama Coop officer ... Na ndio tunatengeneza muundo... Nimemaliza vyeo vya Serikali nikiwa mdogo sana... Nimemaliza to vyeo vyote nimebakiza teuzi tu... Humu nawagonga pazuri sisifu ..ni jukumu ... Ukiwa akili kisoda hutonifahamu....
Kama Kuna wataaalam wa kuchakata taarifa. Za kiusalama .. taarifa zipo humu ... Karibuni ... Ndio mtajua hamjui...
 
Mwambie huyo
🇬🇧🇺🇦 ⚡️ The movement of equipment of the armed forces of the Russian Federation along Chernobaevka

Our correspondent reported that Russian soldiers are in full control of this territory. The equipment is in place, the personnel are in position.

Earlier, the Ukrainian media spread fake information that the paratroopers drove the Russians out of the village.
 
Attachments

  • VID-20220322-WA0038.mp4
    12.3 MB
Russia wanashambulia wakikuta kuna resistance kali wanarudi nyuma halafu wanawazunguka, toka vita inaanza ndio mbinu yao.

Wakizungukwa ujue hawatoki, ngoja tusubiri uone.

NB. Sishabikii vita, lakini, Russia wanazidi kusonga mbele, jeshi la Russia wana progress.

Soon Zelensky atahama nchi. Kumbuka hii vita mpaka Putin kuweka silaha za nyuklia kwenye hali ya tahadhari jua kabisa jamaa wamedhamiria.

Hii ilikua iwe special operation ya siku tatu, leo bado wanazunguka zunguka....
 
Hii ilikua iwe special operation ya siku tatu, leo bado wanazunguka zunguka....
Ujue ukweli wa vita hausemwi, Ukraine haina ubavu wa kushindana na Russia, Russia wamepiga zaidi ya vifaru 1500 ya Ukraine, drone 230, air defense system zaidi ya 180.

Hii vita haisemwi upande wa pili, ukiwa unampiga mtu anajifanya ye ni mgumu hasikii lazima uongeze ujazo wa kipigo na hiko ndicho kinachomkuta Ukraine, wanajikakamua lakini ngumi ni nzito mno kana kwamba wapo kati kati ya ku surrender, hata Russia yenyewe walijua wata surrender lakini Ukraine wanajikaza lakini wanaugulia maumivu, wana bleed ndani kwa ndani ila wanajikaza tu.
 
Kuanzia mwanzo tulijua Ukraine hana ubavu wa kupambana na Urusi, tulijua Urusi kwa namna huwa inasifiwa itagaragaza Ukraine mbaya mno kwa siku tatu kama walivyojinadi, ila leo tumekuja kugundua Urusi ni nguvu ya soda, hamna lolote pale, wameshindwa kuteka mji wa Kiev, wameuawa hadi basi.....
 
Back
Top Bottom