Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,558
Mkuu kuna vitu huvifahamu hivi unajua Ukraine walikuwa wanapanga mashambulizi kwa raia wa Marekani na nchi za ulaya ili kuwavuta NaTO waingilie mgogoro moja kwa moja, tena walipanga kufanya unyama na ugaidi wa hali ya juu kwa sura ya Russia, majasusi wa Russia wamegundua hilo na kuna general mmoja wa Ukraine alipokamatwa amekiri juu ya mpango huo.Kuanzia mwanzo tulijua Ukraine hana ubavu wa kupambana na Urusi, tulijua Urusi kwa namna huwa inasifiwa itagaragaza Ukraine mbaya mno kwa siku tatu kama walivyojinadi, ila leo tumekuja kugundua Urusi ni nguvu ya soda, hamna lolote pale, wameshindwa kuteka mji wa Kiev, wameuawa hadi basi.....
Kinachoendelea Ukraine kinatisha, thats why kila siku Zelensky anapiga kelele kuomba NATO waingilie, anaomba mpaka Israel imsaidie.. Anaomba waongee na Putin, jamaa angekubali tu... Kuliko hizo mbinu chafu, hatuwezi jua west wataonaje juu ya hil..