Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sheikh tulia, mlisema atateka Kiev yote ndani ya siku tatu, leo mwezi umeisha bado mpo mpo mnahangaika hamna chochote cha maana, halafu kuna ripoti chakula kilikua kimesalia cha siku tatu, Warusi watahangaika kwa njaa huku wakiliwa shaba.
Na walivyokuwa dis organized sasa,sidhani hata kama kuna mpamgo wa kuletewa chakula kwa haraka.Hivi zile mbaula zao za urefu wa km 40 zimefikia wapi au ndiyo zimejifia njiani kwa kukosa mafuta
 
kwa sababu cc wote hatuko uwanja wa mapambano, naona ukraine kajitahidi sana. russia ni one of the world superpowers, ukraine ana trail far behind among super powers kama kamuweka vitani russia karibia mwezi sasa kwa kweli zelensky kajitahidi sana, russia atakuwa amepata hasara kubwa sana kwenye vita hii. kumbuka hata marekani alijiamini sana wakati alipoingia mazima vietnam, kilichomkuta huko anayo habari mpk leo
Kwani Marekanu kule Iraq alichukua siku ngapi?
 
Zelensky has said he is no longer pressing for Ukraine to join NATO in an effort to end the war with Russia.
This is the most important stance on the crisis. Had this been taken earlier on before the Russian invasion, the story could absolutely be different. Sadly, he had to wait for massive loss of lives to reach this position
 
kwa sababu cc wote hatuko uwanja wa mapambano, naona ukraine kajitahidi sana. russia ni one of the world superpowers, ukraine ana trail far behind among super powers kama kamuweka vitani russia karibia mwezi sasa kwa kweli zelensky kajitahidi sana, russia atakuwa amepata hasara kubwa sana kwenye vita hii. kumbuka hata marekani alijiamini sana wakati alipoingia mazima vietnam, kilichomkuta huko anayo habari mpk leo
Kumbuka Russia anapigana na NATO in stealth mode na hilo analijua fika. Ukraine kaomba msaada anaingiziwa silaha kimya kimya na pia veterans toka US. Ameropoka sana kuwa NATO wamekaa kimya kumbe ni trick tu ili kusudi Marekani aingize majeshi yake kimya kimya so mrusi hapigani na Ukraine peke yake. Uzuri mji wa vita ni Ukraine so uharibifu wote ni hasara kwa Ukraine hata akija kushindwa.

Bila msaada wowote wa kijeshi Ukraine ni mlaini kama biskuti ndani ya chai!
 
Ujue ukweli wa vita hausemwi, Ukraine haina ubavu wa kushindana na Russia, Russia wamepiga zaidi ya vifaru 1500 ya Ukraine, drone 230, air defense system zaidi ya 180.

Hii vita haisemwi upande wa pili, ukiwa unampiga mtu anajifanya ye ni mgumu hasikii lazima uongeze ujazo wa kipigo na hiko ndicho kinachomkuta Ukraine, wanajikakamua lakini ngumi ni nzito mno kana kwamba wapo kati kati ya ku surrender, hata Russia yenyewe walijua wata surrender lakini Ukraine wanajikaza lakini wanaugulia maumivu, wana bleed ndani kwa ndani ila wanajikaza tu.
unapigana na mtoto hlf unapambana kusema hamuoni nlimpinga ngumi akatumba wkt usoni una damu zimezagaa
 
Mkuu kuna vitu huvifahamu hivi unajua Ukraine walikuwa wanapanga mashambulizi kwa raia wa Marekani na nchi za ulaya ili kuwavuta NaTO waingilie mgogoro moja kwa moja, tena walipanga kufanya unyama na ugaidi wa hali ya juu kwa sura ya Russia, majasusi wa Russia wamegundua hilo na kuna general mmoja wa Ukraine alipokamatwa amekiri juu ya mpango huo.

Kinachoendelea Ukraine kinatisha, thats why kila siku Zelensky anapiga kelele kuomba NATO waingilie, anaomba mpaka Israel imsaidie.. Anaomba waongee na Putin, jamaa angekubali tu... Kuliko hizo mbinu chafu, hatuwezi jua west wataonaje juu ya hil..
Putin wala msemaji wa Urusi hajawai kusema hayo , ila mmatumbi habari inatoka kwa mmatumbi wa buza street at Kyiv city hahahaaaa bongo siami
 
Kuanzia mwanzo tulijua Ukraine hana ubavu wa kupambana na Urusi, tulijua Urusi kwa namna huwa inasifiwa itagaragaza Ukraine mbaya mno kwa siku tatu kama walivyojinadi, ila leo tumekuja kugundua Urusi ni nguvu ya soda, hamna lolote pale, wameshindwa kuteka mji wa Kiev, wameuawa hadi basi.....
Kumgaragaza Ukraine kwa siku tatu ingewezekana kama Russia ingeingia kama vita kamili. Hii ni operation maalum na Russia inajitahidi sana kuepuka vifo vya raia wengi na ndio maana kuna siku wanaweka pose ili kuruhusu wananchi watoke ktk maeneo hatalishi.

Unalizarau jeshi la Russia kwasababu tu umeshupaza shingo. Hio NATO imeundwa kwa ajilo ya kuikabili Russia na toka ihundwe mpaka leo hii NATO haijiamini kama wanaweza kuikabili Russia. Mfano mwingine, jiulize kwanini sehemu yoyote USA au NATO wakianzisha chokochoko na Russia akitia timu NATO/USA wanatoka nduki. Mfano mzuri tu wa kalibuni Sirya na Venezuela
 
[emoji298]️Pentagon: Russian forces are short on food, fuel and winter gear.

A U.S. Department of Defense official said during a closed briefing at the Pentagon on March 22 that some Russian troops had been ‘taken out of the fight’ by frostbite due to a lack of warm clothes. The official also noted that Russian warships are running out of fuel. Nearly a month into the war, Russia’s advance on Ukraine has appeared to largely stall across multiple fronts as it struggles to achieve significant military objectives.
 
Hawa VDV ni special force ya Marekani, ni kama 82nd Airborne Division ya Marekani. Ila hawa wanakufa sana tangu wameanza kutua pale Hostomel siku ya kwanza ya vita
20220323_073928.jpg
20220323_073931.jpg
 
US to send Soviet missiles to Ukraine - De Facto 'No-Fly Zone?


The US is planning to deliver to Ukraine medium anti-aircraft systems taken from its own stockpile of Soviet military hardware, the Wall Street Journal reported on Monday, citing unnamed US officials.


The anti-aircraft systems were obtained through a clandestine program to study them and teach American troops how to counter them. Ukrainian forces are trained in the use of these systems, which they have operated for decades.


At least some of the supplies will be withdrawn from the Redstone Arsenal in Alabama, officials told the newspaper.


Washington “is hoping that the provision of additional air defenses will enable Ukraine to create a de facto no-fly zone,” the newspaper said. NATO members have repeatedly rebuffed Kiev’s call to establish a no-fly zone over Ukraine, stating that it would draw them directly into the hostilities and could lead to a world war.
 
Back
Top Bottom