Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,810
- 6,441
Una kichwa kigumu! Yaani maelezo yote hapo juu hupembui?kwan ile siku ya pili ya uvamizi waliosema wapo ukarib wa km 11 kutoka kyiv ni nan ? je mbona mpk leo hawateka mji mkuu ?
Una kichwa kigumu! Yaani maelezo yote hapo juu hupembui?kwan ile siku ya pili ya uvamizi waliosema wapo ukarib wa km 11 kutoka kyiv ni nan ? je mbona mpk leo hawateka mji mkuu ?
Baridi kali iwatese kwahiki kipengele niwazi kabisa unatupiga zamachoMawasiliano ya Simu ya askari ya Russia yamekua intercepted analalamika jamaa hawana morale na pia logistic imekua issue,baridi Kali linawatesa mpaka wanapata frostbite
Mkuu sio kwamba nimeyatoa mdomoni kwangu, jaribu kuangalia hiyo video usikie kinachosemwa kwenye hiyo intercepted call me nilichofanya ni kutafsiri kidogo tu kilichoongelewa humo.Baridi kali iwatese kwahiki kipengele niwazi kabisa unatupiga zamacho
hahahaaaaaDonor Country Tanzania Tutauza Chakula Na Mitumba
Ahaa, kwa hiyo hapa wamemaliza kuipigania nchi yao na kushinda, na kuhakikisha ipo salama kisha wanaomba waruhusiwe na majeshi ya Russia watoke kwenye kichapo hevi huku madume mazima yakivuliwa mashati na kupekuliwa😆😃😂😇😇😇Hao wanapigania nchi yao wewe ulitaka wakishavamiwa wakalale ndani.
Nieleweshe hii kitu inaitwa hostomelNdipo walipoanzia tena wakiwa na special forces. Ukraine walikuwa hawajajipanga wakaretreat kufanya regrouping na makombora mengi ya Russia yalipiga hapo day one. Ni strategic area ile inapambaniwa
Utasema na hii sio ya Russia kisa haina V. Hii mojawapo ya sehemu ya Krasukha-4 electronic warfare system ni mpya hata haijawahi uzwa popote. Imekamatwa na Ukrainians.
Ni hasara sana systems zako state of the art kukamatwa. Bora wakamate vifaru uko vya miaka ya 1980s kuliko system bora iliyoanza kutumika 2014View attachment 2160773View attachment 2160775
Urusi ilizisaidia nchi nyingi sana zilizo kusini mwa Bara la Afrika kutokana na ukoloni wa hao mabeberu.Ukiwaambia wakutajie mradi au msaada wowote uliofanywa na Russia hapa Nchi ni watakwambia ndege za kivita SU 27
Kwakwel kher kufanjaa sio kuungana na hao waunga ushogaHiyo Asia yenyewe imekua tajiri na kuendelea Kwa Kasi kutokana na uwekezaji wa makampuni ya haohao mabeberu mfano mzuri ni China.
Kuna kamsemo kanasema Kama huwezi kushindana nao,ungana nao.
Hamsahaugi tu jamanMzee tuliza kichwa vizuri kati yangu na wewe mgonjwa wa ukimwi nani mpumbavu!? Yaani unashindwa kutumia condom mpaka unapata gonjwa hili!?View attachment 2161106
Sijawai changia humu international forum ila wewe jamaa umeniforce, unachikifanya sio cha kiungwana kabisa, acha tabia za kijinga kama unashida nae mfate inbox mi sikuungi mkono kabisa, ujinga wao peleka huko huko, na sintakujibu chochote ila huu ujumbe umeupata.Ushamba mzee sisi tulishatoka huko. Piga picha room nzima. Tuone kweli. 🤣🤣
Bro mi nikuombe unyamaze kumjibu ndo unampa kiburi kuendelea, fanya kama hujaona chochote nachopost sometime ukimya ni bora, make ukinyamaza akaendelea kubwabwaja ndo tutajua kama ni mzima au la.Huna jipya wewe Mwanaume kama Binti. Na nilikuonya mapema huna lolote la kunitikisa shoga wewe.
Hawakosekani wakimbiaji katika vita, hata tukivamiwa leo na urusi kuna watu wataungana na Urusi kuua ndugu zao achilia mbali kuomba kuondoka waache nchi.Ahaa, kwa hiyo hapa wamemaliza kuipigania nchi yao na kushinda, na kuhakikisha ipo salama kisha wanaomba waruhusiwe na majeshi ya Russia watoke kwenye kichapo hevi huku madume mazima yakivuliwa mashati na kupekuliwa😆😃😂😇😇😇
View attachment 2161328View attachment 2161329
Kaka miaka ni namba tu,naweza nikawa dogo lkn sikai kwa shemeji na wala sio jobless. Nipo Uni na natafuta ela usiku na mchana.
Karibu tulime ufuta huku Bungu Kaka.
Nina mradi wa kuku WA mayai karibu 2000.
Nina mradi wa broilers karibu 2000.nk.
Najaribu kupandisha video hapa nashindwa,ikikubali ntaipandisha.
Usiku mwema Bro.View attachment 2161134View attachment 2161135
View attachment 2161145