Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nieleweshe hii kitu inaitwa hostomel
Huo ni uwanja wa ndege wa jeshi nje kidogo ya administrative area ya mji mkuu Kyiv. Mizigo na wanajeshi wanaweza shushwa hapo kurahisisha kufika Kyiv. Ni muhimu sana ukiwa upande wowote watautumia kwa advantage either wanaoilinda Kyiv au kuivamia
 
Hawakosekani wakimbiaji katika vita, hata tukivamiwa leo na urusi kuna watu wataungana na Urusi kuua ndugu zao achilia mbali kuomba kuondoka waache nchi.
Mwanzo ilipigwa marufuku kuondoka wanaume wote wenye miaka 18 hadi 60. Na wakawa wanazuiwa mipakani.

Naona baada ya kushushiwa kichapo hevi cha 'mbwa koko', sasa serikaliyao ya Ukraine inawaombea yenyewe kwa Putin kuwa majeshi ya Russia yawaruhusu wakimbie uwanja wa vita

SmartSelect_20220323-093547_Chrome.jpg

SmartSelect_20220323-094002_Chrome.jpg
 
Jana ndege za urusi zilipita poland mifumo ya ulinzi wa marekan patroit kwenye radar display ikashindwa kupata target nahisi ilipigwa jamming kisha ndege za urusi zikasepa

Usiku wa kuamkia leo balozi wa urusi inchi poland kachoma nyaraka za siri baadhi ya wachambuzi wanasema poland itapigwa kutokea belarus

Tatizo lingine marekani kwenye eletronic war marekani haifui dafu hata kwa iran. Hapa ndipo urusi anajibebeaga point

Balozi wa urusi akichoma nyaraka
img_1_1647998084800.jpg
 
Jana ndege za urusi zilipita poland mifumo ya ulinzi wa marekan patroit kwenye radar display ikashindwa kupata target nahisi ilipigwa jamming kisha ndege za urusi zikasepa

Usiku wa kuamkia leo balozi wa urusi inchi poland kachoma nyaraka za siri baadhi ya wachambuzi wanasema poland itapigwa kutokea belarus

Tatizo lingine marekani kwenye eletronic war marekani haifui dafu hata kwa iran. Hapa ndipo urusi anajibebeaga point

Balozi wa urusi akichoma nyarakaView attachment 2161366
Mahaba haya. Ukraine tu ina watoa jasho hawatamani ata kurusha jiwe
1964080786.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urusi ilizisaidia nchi nyingi sana zilizo kusini mwa Bara la Afrika kutokana na ukoloni wa hao mabeberu.
Si Jambo dogo hata kidogo.
"Ilizisaidia", ni jambo lililopita. Urusi ilitoa msaada kama Tanzania, sasa kama Tanzania tulitoa msaada kwenye ukombozi kama Urusi, wakati huo Tanzania inapokea misaada kutoka Marekani tangu tupate uhuru mpaka leo. Kuna haja gani ya kulinganisha Urusi na Marekani kwenye utoaji misaada
 
Kwa akili yako URUSI wanaweza kutumia guta vitani?? Umeshindwa hata kuona kwamba Raia ndio ameamua kujichorea hiyo Z. Umeshindwa kabisa kuona kwamba Askari na hilo guta havina uhusiano na wala hana habari na hilo guta??
Aisee
Pro NATO ni viazi, wako Physcologically weak. Kwahiyo taka taka yoyote ambayo at least itawapa relief wataiokota na kuipamba ili kujifariji😃😃😃😃😄😄😄
 
Mwanzo ilipigwa marufuku kuondoka wanaume wote wenye miaka 18 hadi 60. Na wakawa wanazuiwa mipakani.

Naona baada ya kushushiwa kipigo hevi cha 'mbwa koko', sasa serikaliyao ya Ukraine inawaombea yenyewe kwa Putin kuwa majeshi ya Russia yawaruhusu wakimbie uwanja wa vita

View attachment 2161363
View attachment 2161365
Kupigwa wanapigwa tangu day 1 maana wamevamiwa na nchi kubwa yenye uwezo wa kijeshi. Wanachofanya wao ni kumpa upinzani mvamizi ili aondoke na wamejitahidi sana. Na ni kweli wanakufa sababu mvamizi hajaja kuwapa pipi, kaja kuwaua.

Ukraine ipo sahihi kuwaombea wasioweza kupigana waondoke sababu ukiendelea kulazimisha watasababisha kujitetea kwa mashambulizi kuwe kugumu zaidi.

Ukiachana na wanasiasa raia wa Ukraine wanajitetea, wanajilinda na uvamizi, wanapigania ardhi yao ambayo imeingiliwa na mtu asie wa kwao, huwezi chukua upande wa adui ukampa nchi sababu kapishana na mwanasiasa anayewaongoza. Hata wewe kama ni raia mwema ungepigana mpaka kifo kutetea nchi yako.
 
Jana ndege za urusi zilipita poland mifumo ya ulinzi wa marekan patroit kwenye radar display ikashindwa kupata target nahisi ilipigwa jamming kisha ndege za urusi zikasepa

Usiku wa kuamkia leo balozi wa urusi inchi poland kachoma nyaraka za siri baadhi ya wachambuzi wanasema poland itapigwa kutokea belarus

Tatizo lingine marekani kwenye eletronic war marekani haifui dafu hata kwa iran. Hapa ndipo urusi anajibebeaga point

Balozi wa urusi akichoma nyarakaView attachment 2161366
WaPoland nchini mwao wameshaanza kuogopa kichizi.

Wanaokaa zile sehemu ambazo zinapitishia misafara ya misaada ya silaha za NATO kuingia Ukraine, wameshafunga mabegi yao wanaondoka kwa kuogopa Russia itashambulia sehemu hizo za Poland muda wowote.

Screenshot_20220323-095457_Chrome.jpg
Screenshot_20220323-095550_Chrome.jpg
 
Jana ndege za urusi zilipita poland mifumo ya ulinzi wa marekan patroit kwenye radar display ikashindwa kupata target nahisi ilipigwa jamming kisha ndege za urusi zikasepa

Usiku wa kuamkia leo balozi wa urusi inchi poland kachoma nyaraka za siri baadhi ya wachambuzi wanasema poland itapigwa kutokea belarus

Tatizo lingine marekani kwenye eletronic war marekani haifui dafu hata kwa iran. Hapa ndipo urusi anajibebeaga point

Balozi wa urusi akichoma nyarakaView attachment 2161366
Belarus hana uwezo wa kutingisha hata sikio mbele ya Poland, Belarus ni kichochoro kile ndio maana Russia kakitumia kama kwake. Na endapo Lukashenko atajichanganya kupeleka jeshi Poland (ambako hawezi) au Ukraine ambako atalazimishwa na Putin jeshi lake lenyewe litamuasi. Hakuna mtu atapigana kisa Lukashenko na Putin wameamua. Sio national interest za Belarus kupigana na majirani.

Kwanza Belarus inatafutwa ijichanganye. Marekani haijapeleka wanajeshi na silaha Poland kucheza kamari, NATO hawajapeleka rapid response unit pale Poland kufanya sherehe. Its better Belarus ivamie Ukraine kuliko Poland.

Hizo ndege za Urusi hazina uwezo wa kuingia Poland, Ukraine tu zinateseka sembuse Poland
image-104.jpg
image-102.jpg
 
Kupigwa wanapigwa tangu day 1 maana wamevamiwa na nchi kubwa yenye uwezo wa kijeshi. Wanachofanya wao ni kumpa upinzani mvamizi ili aondoke na wamejitahidi sana. Na ni kweli wanakufa sababu mvamizi hajaja kuwapa pipi, kaja kuwaua.
Unaonekana wajitahidi ktk kufahamu namna Ukraine inavyotoa upinzani kwa majeshi ya Russia. Naomba pia unieleweshe: Ukraine ilikuwa na pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo kazi yake ni kulinda anga la Ukraine. Kimetokea nini hasa hata anga limekuwa uchi kiasi kwamba kila kukicha Ukraine inashambuliwa 'kiholela' sehemu nyeti za kijeshi na majengo muhimu ndani ya mikoa yoote na miji yoote ikiwemo Kyiv?

Na kwa nini sasa hivi Ukraine inapiga magoti na kulilia kwa US walau ipewe pisi moja tu ya S-300 (hali ya kuwa alikuwa na pisi 250 za S-300 kabla Russia hajaingia mzigoni)?

Waweza pia kuwaomba Pro-Ukraine wengine wakusaidie kujibu swali hili kama wana uwezo huo😉😉😜😜

=====

SmartSelect_20220323-101110_Chrome.jpg
View attachment 2161437
 
Helicopter shida yake hata ukiibahatisha ukaipiga risasi nyingi kwenye rotor inakosa balance angani. Hakuna haja ya kuilipua ni kuichana rotor ikayumba. Hizi Ka-52 zina advantage ya kuwa na ejection seats kwa marubani wake wawili, hakuna helicopter nyingine duniani yenye hizo. Pia faida nyingine hazina tail rotor badala yake zina counter rotating main rotor, hakuna nyingine yenye hizi.View attachment 2161255
Sasa kiongozi wangu hebu nidadavulie kidogo hao pilot wanaeject vipi ikiwa juu kuna hayo mapanga shaa au wanaeject kwenda chini ?
 
We will work, we will fight in any way we can. Till the end. Bravely and openly. At all these sites. With full energy. For the result. With all our strength. And we will not get tired. Let's rest when we win.
images (3).jpeg
 
Unaonekana wajitahidi ktk kufahamu namna Ukraine inavyotoa upinzani kwa majeshi ya Russia. Naomba pia unieleweshe: Ukraine ilikuwa na pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo kazi yake ni kulinda anga la Ukraine. Kimetokea nini hasa hata anga limekuwa uchi kiasi kwamba kila kukicha Ukraine inashambuliwa 'kiholela' sehemu nyeti za kijeshi na majengo muhimu ndani ya mikoa yoote na miji yoote ikiwemo Kyiv?

Na kwa nini sasa hivi Ukraine inapiga magoti na kulilia kwa US walau ipewe pisi moja tu ya S-300 (hali ya kuwa alikuwa na pisi 250 za S-300 kabla Russia hajaingia mzigoni)?

Waweza pia kuwaomba Pro-Ukraine wengine wakusaidie kujibu swali hili kama wana uwezo huo

=====

View attachment 2161436View attachment 2161437
Tofauti na nyinyi ambao mmejikita kwenye analysis za kijeshi na aina za silaha na mipango ya kivita, mm natumia akili ya kawaida sana kuwa Ukraine haijawa chini ya Urusi bado. Urusi bado inaishambulia, kwa maana nyingine Ukraine bado inajitetea.
 
Sergey Zergulio Kolyasnikov

It's amazing how the US is boomeranging back its own anti-Russian sanctions. Then it suddenly became clear that these could affect the development of the Axios fusion reactor in the United States. The developer may face problems in the field of high-temperature semiconductors, one of the suppliers of which is the Russian SuperOx. (Sighs.) Gas station country, you say?

Well, about the reactor - this is so, for the seed. Move on. The United States in early March banned the import of oil and gas from Russia. As a result, after a series of upswings, gasoline in the US is now one and a half times more expensive than at the end of last year. Truck drivers are blocking major roads in Washington and threatening a total lockdown of all logistics in the United States. And the other day, suspects were arrested for breaking into gas stations to get free fuel.

Prices for raw materials that make up the fertilizer market - ammonia, nitrogen, nitrates, phosphates, potassium and sulfates - have risen by 30% since the beginning of the year. Wheat futures have risen 29% since Feb. 25, corn 15%, and soybeans 6%. The supply on the world wheat market has become the lowest over the past 14 years, and prices have been the highest over the same period.

And as a result, according to various estimates, the cost of food in America by the end of the year may increase by 30-50%. And even the haughty The Washington Post is beginning to notice the problem.

After decades of trying to pinch Russia harder, the United States (not to mention Europe) suddenly begins to realize that Russia is something immeasurably more than just a supplier of oil and gas (which, by the way, there is nothing to replace either).

But there is another important point. Those who watched the comedy "Signor Robinson" with Paolo Villaggio remember that a boomerang can make more than one circle.

Galip SV

20220322_130616.png
 
Back
Top Bottom