Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa...

Ila mie nimeomba msaada utumie akili yako kama ulivyosema unieleweshe hili jambo: Ukraine ilikuwa na pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo kazi yake ni kulinda anga la Ukraine. Kimetokea nini hasa hata anga limekuwa uchi kiasi kwamba kila kukicha Ukraine inashambuliwa 'kiholela' sehemu nyeti za kijeshi na majengo muhimu ndani ya mikoa yoote na miji yoote ikiwemo Kyiv?

Na kwa nini sasa hivi Ukraine inapiga magoti na kulilia kwa US walau ipewe pisi moja tu ya S-300 (hali ya kuwa alikuwa na pisi 250 za S-300 kabla Russia hajaingia mzigoni)?

Waweza pia kuwaomba Pro-Ukraine wengine wakusaidie kujibu swali hili kama wana uwezo huo
Huenda zimeharibiwa, au zimeangukia mikononi mwa Urusi. Lolote linaweza kuwa limetokea maana wao wanajilinda hawashambulii. Anayejilinda wakati wowote anaweza kupoteza akizidiwa. Swali lako halina maana sababu linajaribu kuonyesha kuwa Urusi ni hatari sana na anamnyoosha Ukraine jambo ambalo sijakupinga. Nimekuambia Urusi anashambulia raia wa Ukraine tangu day 1 wakati yeye raia wake wanaendelea na maisha huko Urusi. Anayeumia ni Ukraine, Anayeteseka ni Ukraine, aliyezidiwa ni Ukraine ila mpaka sasa Mrusi hajafanikiwa kuichukua Ukraine tafsiri yake ni kwamba Ukraine imeweza kuzuia isipoteze nchi kwa Urusi tangu day 1.

Usipende kulazimisha sana kuwe na ushabiki wa pande mbili. Mm si Pro Ukrane, mm sihafiki bullying, sihafiki anachokifanya Urusi kwa raia wa Ukraine wakati raia wake wakiendelea na maisha. Natamani aondoke huko. Si suala la u nchi, ni suala la tendo linalofanyika.
 
No member of the G20 has the right to exclude another, said the Chinese Foreign Ministry, commenting on the data on the idea to exclude Russia from this association.
Galip SV
20220322_130616.png
 
Huo ni uwanja wa ndege wa jeshi nje kidogo ya administrative area ya mji mkuu Kyiv. Mizigo na wanajeshi wanaweza shushwa hapo kurahisisha kufika Kyiv. Ni muhimu sana ukiwa upande wowote watautumia kwa advantage either wanaoilinda Kyiv au kuivamia
Je waona Urusi ikidumu Hostomel?
 
Huenda zimeharibiwa, au zimeangukia mikononi mwa Urusi. Lolote linaweza kuwa limetokea maana wao wanajilinda hawashambulii. Anayejilinda wakati wowote anaweza kupoteza akizidiwa. Swali lako halina maana sababu linajaribu kuonyesha kuwa Urusi ni hatari sana na anamnyoosha Ukraine jambo ambalo sijakupinga. Nimekuambia Urusi anashambulia raia wa Ukraine tangu day 1 wakati yeye raia wake wanaendelea na maisha huko Urusi. Anayeumia ni Ukraine, Anayeteseka ni Ukraine, aliyezidiwa ni Ukraine ila mpaka sasa Mrusi hajafanikiwa kuichukua Ukraine tafsiri yake ni kwamba Ukraine imeweza kuzuia isipoteze nchi kwa Urusi tangu day 1.

Usipende kulazimisha sana kuwe na ushabiki wa pande mbili. Mm si Pro Ukrane, mm sihafiki bullying, sihafiki anachokifanya Urusi kwa raia wa Ukraine wakati raia wake wakiendelea na maisha. Natamani aondoke huko. Si suala la u nchi, ni suala la tendo linalofanyika.
Asante sana kwa kutoa jibu sahihi, pisi 250 za S-300 za Ukraine zimeharibiwa na jeshi la Russia.


Suala la kuwa pisi zote 250 za S-300 zimeangukia mikononi mwa Russia sio sahihi, kwa sababu hizo pisi 250 hazikuwa zimewekwa sehemu moja au mbili (hadi zikatekwa zote), zilikuwa zimesambazwa nchini kote ili kulinda kote.

Hizo zingine ni ngonjera tu, jeshi la Kenya lifanikiwe kuilinda Kenya wakati huo huo miji mingi muhimu imezingirwa na majeshi ya kigeni na yageuzwa kuwa majivu na vifusi.

SmartSelect_20220323-104829_Chrome.jpg
 
Helicopter shida yake hata ukiibahatisha ukaipiga risasi nyingi kwenye rotor inakosa balance angani. Hakuna haja ya kuilipua ni kuichana rotor ikayumba. Hizi Ka-52 zina advantage ya kuwa na ejection seats kwa marubani wake wawili, hakuna helicopter nyingine duniani yenye hizo. Pia faida nyingine hazina tail rotor badala yake zina counter rotating main rotor, hakuna nyingine yenye hizi.View attachment 2161255
Hawa marubani wa hizi Helicopter wana eject kupitia wapi maana kama ni juu si watachinjwa na mapanga?
 
Belarus hana uwezo wa kutingisha hata sikio mbele ya Poland, Belarus ni kichochoro kile ndio maana Russia kakitumia kama kwake. Na endapo Lukashenko atajichanganya kupeleka jeshi Poland (ambako hawezi) au Ukraine ambako atalazimishwa na Putin jeshi lake lenyewe litamuasi. Hakuna mtu atapigana kisa Lukashenko na Putin wameamua. Sio national interest za Belarus kupigana na majirani.

Kwanza Belarus inatafutwa ijichanganye. Marekani haijapeleka wanajeshi na silaha Poland kucheza kamari, NATO hawajapeleka rapid response unit pale Poland kufanya sherehe. Its better Belarus ivamie Ukraine kuliko Poland.

Hizo ndege za Urusi hazina uwezo wa kuingia Poland, Ukraine tu zinateseka sembuse PolandView attachment 2161407View attachment 2161409
endelea kubebwa na proganda unajua kwanini poland iliogopa kuipa ukraine ndege za mig 29 alafu .usiche na belarus wana taslim electronic war ambazo zinafungwa kwenye mig 29 ziliwatesa sana waturuki na f 15 zao pale idlib syria
 
Kumbuka Russia anapigana na NATO in stealth mode na hilo analijua fika. Ukraine kaomba msaada anaingiziwa silaha kimya kimya na pia veterans toka US. Ameropoka sana kuwa NATO wamekaa kimya kumbe ni trick tu ili kusudi Marekani aingize majeshi yake kimya kimya so mrusi hapigani na Ukraine peke yake. Uzuri mji wa vita ni Ukraine so uharibifu wote ni hasara kwa Ukraine hata akija kushindwa.

Bila msaada wowote wa kijeshi Ukraine ni mlaini kama biskuti ndani ya chai!
Hiyo Nchi hata igeuke kuwa majivu kabisa leo,baada ya miaka 3-5 itajengeka vizuri sana tu na kila mtu atasahau kama uliwahi kuharibiwa kabisa.Uzuri pesa za kuijenga zipo tena hizo hizo za Russia zilizopigwa pin huko kwa Mabeberu na misaada kede kede itaelekezwa kuijenga Ukraine na itaizidi hii hii Bongo yetu mara 1000 ambayo haijawahi hata kuharibiwa na kitu chochote.Kwa sasa muhimu ni Ukraine kulinda Nchi yao,hicho ndicho wamechagua.
 
On the evening of March 22, sea-based high-precision long-range weapons hit the arsenal in Orzhev, 14 km northwest of Rivne - a large arsenal with weapons and military equipment of the Ukrainian troops, including those received from Western countries, was destroyed, the Russian Defense Ministry reported.
Galip SV
20220322_130616.png
 
Mpaka sasa NI silaha gani mpya ambayo Mrusi hajaitumia kwenye hii Vita?!

Kashatumia cluster bombs, thermobaric bombs,state of the art jamming systems, hypersonic missiles, Iskander missiles,Kalibr missiles na nyingine nyingi. Je ni silaha mpya zipi hizo ambazo hajazitumia bado?!

Asante google,
 
Back
Top Bottom