Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kupigwa wanapigwa tangu day 1 maana wamevamiwa na nchi kubwa yenye uwezo wa kijeshi. Wanachofanya wao ni kumpa upinzani mvamizi ili aondoke na wamejitahidi sana. Na ni kweli wanakufa sababu mvamizi hajaja kuwapa pipi, kaja kuwaua.

Ukraine ipo sahihi kuwaombea wasioweza kupigana waondoke sababu ukiendelea kulazimisha watasababisha kujitetea kwa mashambulizi kuwe kugumu zaidi.

Ukiachana na wanasiasa raia wa Ukraine wanajitetea, wanajilinda na uvamizi, wanapigania ardhi yao ambayo imeingiliwa na mtu asie wa kwao, huwezi chukua upande wa adui ukampa nchi sababu kapishana na mwanasiasa anayewaongoza. Hata wewe kama ni raia mwema ungepigana mpaka kifo kutetea nchi yako.
Ukraine walizuia raia wao as human shields, wanapiga huku wamejificha kwenye mashule na hospital. Wanapigana huku zana vita zao wameziegesha kwenye makazi ya watu.

Ipo siku Russia alitoa muda wa evacuation pamoja na safe corridors ila cha kushangaza hawakuondoa raia na raia waliojaribu kuondoka bila ruhusa ipo Video ikionyesha gari ikipigwa bomu na tanks za Ukraine. Sasahivi maji yapo shingoni ndio wanajifanya kutaka kukimbia, hakuna hiyo nafasi.
 
Kamanda mwinginine wa ukraine huko mariupol kauawa ametandikwa risasi ya kalio wakati anajaribu kukimbia
img_1_1648020291999.jpg
 
Hiyo Nchi hata igeuke kuwa majivu kabisa leo,baada ya miaka 3-5 itajengeka vizuri sana tu na kila mtu atasahau kama uliwahi kuharibiwa kabisa.Uzuri pesa za kuijenga zipo tena hizo hizo za Russia zilizopigwa pin huko kwa Mabeberu na misaada kede kede itaelekezwa kuijenga Ukraine na itaizidi hii hii Bongo yetu mara 1000 ambayo haijawahi hata kuharibiwa na kitu chochote.Kwa sasa muhimu ni Ukraine kulinda Nchi yao,hicho ndicho wamechagua.
Kwa Manpower gani nchi iliyoharibiwa vile ijengwe ndani ya miaka mitatu?? Mkuu acha masihara bana. Au Makampuni yote ya ujenzi duniani yatahamia Ukraine?

Kumbuka hawatajenga majengo tu, kuna barabara, madaraja, airports, reli na vingine vingi
 
❗️Summary of the special operation in Ukraine from the Russian Ministry of Defense. The military from the sea destroyed the arsenal in Orzhev.

➖A large warehouse with weapons and military equipment of the Ukrainian troops, including those received from Western countries, was liquidated.

➖A group of "night hunters" from Ka-52 and Mi-28n helicopters destroyed 8 tanks, 5 infantry fighting vehicles and armored personnel carriers, 9 vehicles and tractors, 3 pillboxes, 7 field artillery guns and mortars at night.

➖Russian air defense shot down Su-24s in the air near the city of Izyum, 16 drones, including three Bayraktar TB-2s, in a day. Aviation and missile forces hit 97 objects of the military infrastructure of Ukraine in a day, including 8 air defense systems, 10 command posts, 8 field artillery guns.

➖In Ukraine, since the beginning of the special operation, 184 aircraft and helicopters, 246 UAVs and 189 air defense systems have been destroyed.

➖Units of the RF Armed Forces continue to destroy units of the 54th Separate Mechanized Brigade of the Armed Forces of Ukraine. Now there are fights for Novomikhailovka.
 
Morning briefing of the Russian Ministry of Defense - the main thing:

▫️ Russian aviation destroyed 97 Ukrainian military facilities in a day, including two Tochka-U launchers near Kiev
▫️ air defense systems shot down a Ukrainian Su-24 and 16 drones in a day, including three Bayraktar TB-2
▫️ Aviation and missile forces of the Russian Federation disabled 8 Ukrainian air defense systems in a day, including 6 Buk and one S-300
▫️ high-precision sea-based weapons destroyed a large arsenal with weapons and military equipment of the Armed Forces of Ukraine near Rivne
▫️ Russian helicopters during night strikes destroyed 8 tanks of the Armed Forces of Ukraine, 5 infantry fighting vehicles and armored personnel carriers, three pillboxes, 7 field artillery guns and mortars
 
Jana ndege za urusi zilipita poland mifumo ya ulinzi wa marekan patroit kwenye radar display ikashindwa kupata target nahisi ilipigwa jamming kisha ndege za urusi zikasepa

Usiku wa kuamkia leo balozi wa urusi inchi poland kachoma nyaraka za siri baadhi ya wachambuzi wanasema poland itapigwa kutokea belarus

Tatizo lingine marekani kwenye eletronic war marekani haifui dafu hata kwa iran. Hapa ndipo urusi anajibebeaga point

Balozi wa urusi akichoma nyarakaView attachment 2161366
[emoji23][emoji23]ushabiki bhana,yaani Iran hiizidi us kiteknolojia?tena electronic war!utasema na drone kaanzisha Iran[emoji3][emoji3]
 
Watu mpk magovi huko vijijini wanatolewa Kwa msaada WA watu WA Marekani,kampeni za kuhimiza huko vijijini kila mwaka. Leo hii tuwashinde hawa jamaa.

Pale kuna mamashine kibao ya kufanyia vipimo jamaa wametupa Kama misaada,wizara ya Afya inapewa mabilioni karibu kila mwaka ya kujenga vituo vya Afya huko vijijini Leo hii ndo tushindane nao.

Daraja la Tanzanite tu limejengwa Kwa msaada wao. (South Korea)
Ukichunguza sana wanaoshabikia ushetani wa putin ni wivu tu dhidi ya us wachunguze wengi hata wazo la kwenda Russia hawana[emoji23]
 
Mwanzo ilipigwa marufuku kuondoka wanaume wote wenye miaka 18 hadi 60. Na wakawa wanazuiwa mipakani.

Naona baada ya kushushiwa kichapo hevi cha 'mbwa koko', sasa serikaliyao ya Ukraine inawaombea yenyewe kwa Putin kuwa majeshi ya Russia yawaruhusu wakimbie uwanja wa vita

View attachment 2161363
View attachment 2161365
Leo unacomment kinyonge,ile speed ya ma screen shot imepungua kabisa au ndiyo bado uko kwa denial baada ya kipigo kitakatifu cha jana cha ndugu zako 🙂
 
Back
Top Bottom