Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Top news for the day:

- The United States intends to consult with allies and partners on the issue of excluding Russia from the G20, said national security adviser to the American president Jake Sullivan;

- radical Ukrainian groups are using fascist tactics from the Second World War, said Anatoly Antonov, Russian ambassador to Washington;

- Russia in three to four months can expect "residual waves" of coronavirus infection, said molecular biologist, virologist Pyotr Chumakov.
Galip SV

View attachment 2161483
Hizi taasisi nyengine zakipuuzi ndio zinaziwazuzua kina TArmata baada ya muda atakuja kukwambia kwamba RUSSIA maskini hawapo hata kwenye G20
Wakat kumbe imetolewa bila vigezo maalum zaidi ya siasa tuuu
VIVA PUT IN
 
Russia wanashambulia wakikuta kuna resistance kali wanarudi nyuma halafu wanawazunguka, toka vita inaanza ndio mbinu yao.

Wakizungukwa ujue hawatoki, ngoja tusubiri uone.

NB. Sishabikii vita, lakini, Russia wanazidi kusonga mbele, jeshi la Russia wana progress.

Soon Zelensky atahama nchi. Kumbuka hii vita mpaka Putin kuweka silaha za nyuklia kwenye hali ya tahadhari jua kabisa jamaa wamedhamiria.
Labda wanasonga ugali
 
Hawa wanashinda ila wanatoroka kwa kuvaa ka wanawake... Kitaalam inaitwaje hii [emoji848][emoji847][emoji847][emoji847]



[emoji96]Yet another Ukrainian soldier/nationalist fighter attempting to flee from Mariupol disguised as a woman-refugee.

To date, dozens and dozens of militants, posing as refugees, have been detained at Russian checkpoints around the city...
 
Ushapanic tayari,eeh kuna nini kingine unamiliki? IST,SIENTA,AU Harrier? Fanya na ununue kiwanja walau pale Mbweni ili uonekane mjanja,siyo kuja na mbwembwe za kudharau Tecno.
Maneno ya limbukeni hayo...baada ya kupandwa na mapepo analipuka hovyohovyo. Gari na viwanja havina msaada wowote ktk uandishi hapa jamvini
 
Ujue ukweli wa vita hausemwi, Ukraine haina ubavu wa kushindana na Russia, Russia wamepiga zaidi ya vifaru 1500 ya Ukraine, drone 230, air defense system zaidi ya 180.

Hii vita haisemwi upande wa pili, ukiwa unampiga mtu anajifanya ye ni mgumu hasikii lazima uongeze ujazo wa kipigo na hiko ndicho kinachomkuta Ukraine, wanajikakamua lakini ngumi ni nzito mno kana kwamba wapo kati kati ya ku surrender, hata Russia yenyewe walijua wata surrender lakini Ukraine wanajikaza lakini wanaugulia maumivu, wana bleed ndani kwa ndani ila wanajikaza tu.
Kwa hiyo wewe ndio unasema ukweli?
 
Wewe huna ujuacho...komenti zako zote ni porojo zisizokuwa na vyanzo 'source'.

Yaani bora nisome comments za Mwanamkiwi , T14 Armata na permanides naweza pasta jambo jipya la kujifunza. Ila wewe...duh, nachelea kusema huna lolote ujualo ktk mambo haya zaidi ya kukomenti 'kibubusa' kwenye hoja walizokutafutia hao niliowataja.

Jifunze kujitegemea, sio kubebwabebwa kwenye mbeleko za hao watu
Kunywa maji punguza povu mdomoni,naona karibu unataka kupasua "Iphone 13" unayomiliki usije shindwa kuhighlight bure ma screen shot yako😅
 
Nazungumzia uhalisia kwamba Ukraine haiwezi battle na nchi kama Russia.

We unazungumza kwa sababu ya mahaba uliyonayo na huruma uliyonayo juu ya Ukraine unaacha fact kwamba Ukraine inazidi kuzingirwa.

Huruma yako haitosaidia wala kubadili ukweli kwamba Ukraine itatwaliwaa tu, time will tell.
Hawezi vita kivipi,mbona Mwezi sasa hakuna cha maana Russia alichofanya
 
Maneno ya limbukeni hayo...baada ya kupandwa na mapepo analipuka hovyohovyo. Gari na viwanja havina msaada wowote ktk uandishi hapa jamvini
Sasa kama unajua hivyo,kwa nini udharau sisi tunaotumia Tecno? Nikadhani umehamia kwenye mashindano ya kumiliki vitu.Haya endelea kumwaga screen shot Mkuu,usije kurusha ngumi bure kwa hasira😆
 
Nine 'Humanitarian Corridors' Agreed


A deal has been established to help Ukrainian towns and cities evacuate for civilians who remain trapped, the country's deputy PM has announced. (Reuters)


Iryna Vereshchuk said a safe route will be set up for people stuck in the port city of Mariupol with transport from nearby Berdyansk.
 
Kuna kitu mimi nawaza, kama Ukrain ilikuwa na s300 na silaha nyingi za kisoviet ambazo zimetumika miaka hiyo na hadi sasa bado zipo Russia.

Hii haiwezi kuwa advantage ya NATO kumfahamu vyema russia? Kama hapa wamekamata hiyo mashine, si tayari wameifumua na kujua yaliyomo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni faida kwao Kama zikipelekwa kwenye nchi km Marekani maana itawasidia kuusoma mfumo mzima jinsi unavyofanya kazi,kutafuta loophole na kudevelop countermeasures.
 
Kumbuka Russia anapigana na NATO in stealth mode na hilo analijua fika. Ukraine kaomba msaada anaingiziwa silaha kimya kimya na pia veterans toka US. Ameropoka sana kuwa NATO wamekaa kimya kumbe ni trick tu ili kusudi Marekani aingize majeshi yake kimya kimya so mrusi hapigani na Ukraine peke yake. Uzuri mji wa vita ni Ukraine so uharibifu wote ni hasara kwa Ukraine hata akija kushindwa.

Bila msaada wowote wa kijeshi Ukraine ni mlaini kama biskuti ndani ya chai!
Kama Urusi anahenyeshwa na Ukraine kwa misaada,je hao NATO wangeingia wenyewe fronts ingekuwaje?
 
"Enlightened West" received the command "face" in relation to everything Russian - Lavrov

The head of the Russian Foreign Ministry spoke at MGIMO and collected his key thoughts:
▫️ what is happening now is not about Ukraine, but about the desire of the United States to dominate the world
▫️ The West needs sanctions to remove the obstacle in the form of Russia on the way to building a unipolar world
▫️ The current Russophobia in Western countries is the verdict of Western civilization
▫️ The European Union has completely merged with NATO and the United States in conceptual matters
▫️ negotiations with Ukraine are difficult, the Kyiv side is constantly changing its position
▫️ It is unprofitable for the United States that the negotiations between Russia and Ukraine end as quickly as possible
 
Aisee Sifa alizokuwa anapewa Urusi na warusi wa JF ni kama vile mtu anakuambia Tanzania ni donor country kumbe ombaomba aliyekubuhu[emoji38][emoji38]
Screenshot_2022-03-23-11-34-38-13.jpg
 
Back
Top Bottom