Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,410
- 35,923
Safi hiiiAZOV DENAZIFICATION IS COMPLETING
The militants of the terrorist group "Azov" take away apartments (turning them into ruins), food, and clothes from the civilians of Mariupol in order to escape from the city under the onslaught of military units of the Russian Federation and the DPR.
That's all there is to know about the "patriotism" and "stamina" of the Ukrainian National Guard.
Mama yenu Ganga Zumba haonekani au bado anawapikia?Wako hapa wanabwabwaja lakini kila siku wanajipanga mstari pale Ubalozi wa Marekani na Nchi za Magharibi kuomba viza za kwenda huko.Waulize kama hata wanaufahamu ubalozi wa Russia ulipo sasa kama watakujibu[emoji3]
Jamaa kanishangaza sana..Mpaka week mbili wakat vita inaendelea wanasema miaka 20 inahitajika
Hao wanaongea as if wanajenga banda za kuku
Asante nimeona mkuuHizo panga huwa zinakatika automatically baada ya Rubani kubonyeza kitufe cha Ejection
Jaribu kuangalia hii video hapa Chini
Tutawaua sanaaa maana bado tupo sanaaaaa
Tunaufahamu upo karibu na kwa HAMZA.Wako hapa wanabwabwaja lakini kila siku wanajipanga mstari pale Ubalozi wa Marekani na Nchi za Magharibi kuomba viza za kwenda huko.Waulize kama hata wanaufahamu ubalozi wa Russia ulipo sasa kama watakujibu[emoji3]
Kwani hukumbuki Playa Giron na Vietnam ilikuwaje?Urusi na usupa pawa wake anasaidiwa na Syria, useless kabisa.
Kama vidume watume sasa mwanaume kaishasemaIf NATO sends peacekeepers to Ukraine, this will be a direct clash between the Russian Armed Forces and the alliance, Lavrov said.
Acha ushabiki URusi wanaweza kupitisha ndege Zao hata Marekani achilia Poland.Belarus hana uwezo wa kutingisha hata sikio mbele ya Poland, Belarus ni kichochoro kile ndio maana Russia kakitumia kama kwake. Na endapo Lukashenko atajichanganya kupeleka jeshi Poland (ambako hawezi) au Ukraine ambako atalazimishwa na Putin jeshi lake lenyewe litamuasi. Hakuna mtu atapigana kisa Lukashenko na Putin wameamua. Sio national interest za Belarus kupigana na majirani.
Kwanza Belarus inatafutwa ijichanganye. Marekani haijapeleka wanajeshi na silaha Poland kucheza kamari, NATO hawajapeleka rapid response unit pale Poland kufanya sherehe. Its better Belarus ivamie Ukraine kuliko Poland.
Hizo ndege za Urusi hazina uwezo wa kuingia Poland, Ukraine tu zinateseka sembuse PolandView attachment 2161407View attachment 2161409