Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In the event of the expulsion of Russian diplomats by Poland, such actions will not go unanswered, Peskov said.
Galip SV
20220323_134127.png
 
@T14 Arnata
Kama mfuatiliaji wa hizi mambo za nishati ya RUSSIA na sekeseke la EU nadhani umemsikia kansela wa GERMAN alichokisema
Najua jana koment yangu uliiona ila ukaamua tu kutokuijibu
Ila olaf kashatangaza rasmi kwamba GERMAN na EU hazipo tayari tena kusapoti kikwazo chochote kinachohusiana na NISHATI dhidi ya RUSSIA kwamadai alosema kwamba kufanya hvyo kutahatarisha si tu UCHUMI wa GERMAN bali ni UCHUMI wote wa EU au mataifa ya ULAYA
tukiwa tunawaambieni yakwamba RUSSIA sio zimbabwe muwe munaelewa yaani hao walojidanganya ku freeze pesa za RUSSIA labda US pekee nae pengine ila wengine walobakia wooote watarejesha pesa zote nawataendelea kununu energy toka RUSSIA
Jana nilikuuliza swali naleo nakuuliza tena ndugu@T14 Armata kabla EU hawajatishia kugomea energy ya RUSSIA nakutaka kwenda ME hawakuwahi kujua yakwamba kuna mafuta huko?
Kwahili alilolisema huyu kenge wa GERMAN nisuala la muda tu kabla ya Nord Stream 2 kuendelea kufanya kazi kama kawaida yake
Kwahili sakata US anakua looser mkubwa sio RUSSIA kama tulivyoaminishwa maana atakua kaichapa UKRAINE mbele zamashinikizo ya NATO nabado wanamtegemea kwenye energy kama kawaida
RUSSIA sio ZIMBAWE

T14 Armata unaitwa kujibu maswali
 
Kwani hukumbuki Playa Giron na Vietnam ilikuwaje?
Marekani alisaidiwa na wanamgambo na bado alishindwa vita.

Urusi anawatumia rafiki zake wa Syria kupigana vita vya mitaani mijini sababu ya uzoefu wao kule Syria.
Muhimu ushindi ufikie malengo yako ya kuingia vitani haijalishi njia.

The ends justify the means." – Niccolò Machiavelli.

Ukraine ni hapo hapo jirani wa Urusi, sasa unawaita waarabu waje wakusaidie vita vya mtaani kupigana na ndugu zako.
Ni kama leo muachike na Zanzibar kwenye muungano halafu muwafuate kupigana nao, kwenye mitaa yao, Waswahili wenzenu tena ndugu kabisa, kisa wanataka kujiunga muungano na Oman, muanze kuomba usaidizi Jamaica.....wapi na wapi....haviendani.
 
Dead on arrival, alafu naona kuna watu wamelike huu ujinga. How can those
moja ya sababu zinazokwamisha hizi jumuiya kama SCO na BRICS ni kwamba baadhi ya members wanataka ziwe ni zakiuchumi na kibiashara na si kisiasa, mfano mchina aliinjinia kuanzishwa kwa AIIB, Hii bank ni km inataka kuja kushindana na western dominated institutions km WB na IMF lakin inaendeshwa km institution zngne za kimataifa na ina members wengi tu ambao ni mataifa makubwa ndani ya EU pamoja na australia na wana voting power kubwa tu humo so ni pure bussiness but kuna mataifa km IRAN au RUSSIA wao wana mtazamo mwngine wanatk hizi institutions zinazoanzishwa na wao huku ziwe na political role pia mfano kpnd hiki urusi wako sanctioned basi zimprotect against sanctions kitu ambacho ni tofauti maana baada ya hizi sanctions AIIB imesimamisha baadhi ya dealing zake urusi ila si kwakumsapoti marekani au kumuumiza urusi bali ni sababu za kibiashara, so china na urusi wana ideologies zinazofanana but sehemu zingine wana mitazamo tofauti kabisa ya jinsi gani dunia iende
 
@T14 Arnata
Kama mfuatiliaji wa hizi mambo za nishati ya RUSSIA na sekeseke la EU nadhani umemsikia kansela wa GERMAN alichokisema
Najua jana koment yangu uliiona ila ukaamua tu kutokuijibu
Ila olaf kashatangaza rasmi kwamba GERMAN na EU hazipo tayari tena kusapoti kikwazo chochote kinachohusiana na NISHATI dhidi ya RUSSIA kwamadai alosema kwamba kufanya hvyo kutahatarisha si tu UCHUMI wa GERMAN bali ni UCHUMI wote wa EU au mataifa ya ULAYA
tukiwa tunawaambieni yakwamba RUSSIA sio zimbabwe muwe munaelewa yaani hao walojidanganya ku freeze pesa za RUSSIA labda US pekee nae pengine ila wengine walobakia wooote watarejesha pesa zote nawataendelea kununu energy toka RUSSIA
Jana nilikuuliza swali naleo nakuuliza tena ndugu@T14 Armata kabla EU hawajatishia kugomea energy ya RUSSIA nakutaka kwenda ME hawakuwahi kujua yakwamba kuna mafuta huko?
Kwahili alilolisema huyu kenge wa GERMAN nisuala la muda tu kabla ya Nord Stream 2 kuendelea kufanya kazi kama kawaida yake
Kwahili sakata US anakua looser mkubwa sio RUSSIA kama tulivyoaminishwa maana atakua kaichapa UKRAINE mbele zamashinikizo ya NATO nabado wanamtegemea kwenye energy kama kawaida
RUSSIA sio ZIMBAWE
Akijibu unitag mkuu
 

Mzozo wa Ukraine: Mashambulio matatu ya Urusi mtandaoni yanayotia hofu nchi za Magharibi​


Rais wa Marekani Joe Biden ametoa wito kwa makampuni na mashirika ya kibinafsi nchini Marekani "kufunga milango yao ya kidijitali", akidai kuwa ripoti za kijasusi zinaashiria kwamba Urusi inapanga kushambulia Marekani mtandaoni.

Mamlaka za mtandao nchini Uingereza pia zinaunga mkono wito wa Ikulu ya White House wa "kuongeza tahadhari za usalama wa mtandao", ingawa hakuna hata mmoja aliyetoa ushahidi wowote kwamba Urusi inapanga shambulio la mtandao.

Urusi iliwahi kusema kuwa shutuma hizo ni za "Russophobic" -kuogopa Urusi.
Hahata hivyo, Urusi ni nchi yenye nguvu kubwa zana hatari mtandaoni, na wadukuzi wenye uwezo wa kfanya mashambulizi makubwa mtandaoni.

Ukraine haijatetereka na mashambulio ya Urusi mtandaoni lakini sasa wataalamu wanahofia Urusi huenda ikalipiza kisasi kwa kuwafanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya washirika wa Ukraine.

"Onyo la Biden linaonekana kuwa sawa, haswa wakati nchi za Magharibi zilipotangaza vikwazo zaidi, wanaharakati wa udukuzi wanaendelea kujiunga na vita, na masuala uvamizi huo yanaonekana kutopangwa," anasema Jen Ellis kutoka kampuni ya Rapid7 inayojishhughulisha na usalama wa kimtandao.
​
Hii ni udukuzi unaoogopwa zaidi na wataalamu.
BlackEnergy - ililenga kushambulia miundombinu muhimu

Ukraine mara nyingi huelezewa kama uwanja wa michezo wa udukuzi wa Urusi, ambayo imefanya mashambulio yanayoonekana kujaribu mbinu na zana.

Mwaka 2015 mkonga wa umeme wa Ukraine ulikatizwa na shambulio la mtandao linalofahamika kama BlackEnergy, ambalo lilisababisha kukatika kwa umeme kwa muda mfupi kwa wateja 80,000 wa kampuni ya huduma magharibi mwa Ukraine.

Takriban mwaka mmoja baadaye shambulio lingine la mtandaoni lililojulikana kama Industroyer iliyokatiza umeme wa Kyiv, mji mkuu wa Ukraine, kwa karibu saa moja.

NotPetya - Uharibifu usioweza kudhibitika
NotPetya inakisiwa kuwa ni shambulio la gharama kubwa zaidi la mtandaoni katika historia na mamlaka za Marekani, Uingereza na Umoja wa Ulaya zinahusisha mashambulio hayo na kundi la wavamizi wa kijeshi wa Urusi.

Programu hiyo ya uharibifu ilifichwa katika programu ya software maarufu ya uhasibu inayotumiwa nchini Ukraine, lakini ilienea duniani kote kuharibu mifumo ya kompyuta ya maelfu ya makampuni na kusababisha uharibifu wa takriban dola bilioni 10.​
 
pro- kremlin tabloid paper Komsomolskaya Pravda iliripoti kuwa idadi ya wanajeshi wa urusi waliofariki huko ukraine sasa imefikia 9861 na majeruhi 16,153 ikinukuu chanzo kutoka ndani ya wizara ya ulinzi ya urusi hata hivyo siku ya jana wameitoa habari hiyo kwe mtandao wao wakisema habari hiyo si sahihi ni hackers ndio waliiweka, taarifa rasmi ya idadi ya vifo baada ya wiki tatu za vita ni askari 498 kwa mujibu wa serikali ya urusi baada ya hapo haikuwahi kutoa tena taarifa ya casualities huko ukraine
Fake news
 
"Ilizisaidia", ni jambo lililopita. Urusi ilitoa msaada kama Tanzania, sasa kama Tanzania tulitoa msaada kwenye ukombozi kama Urusi, wakati huo Tanzania inapokea misaada kutoka Marekani tangu tupate uhuru mpaka leo. Kuna haja gani ya kulinganisha Urusi na Marekani kwenye utoaji misaada
Hatujalinganisha. Tunachopinga ni kuibeza Urusi kuonyesha kama vile Afrika haijanufaika nayo kwa chochote.
 
Ukraine ni hapo hapo jirani wa Urusi, sasa unawaita waarabu waje wakusaidie vita vya mtaani kupigana na ndugu zako.
Ni kama leo muachike na Zanzibar kwenye muungano halafu muwafuate kupigana nao, kwenye mitaa yao, Waswahili wenzenu tena ndugu kabisa, kisa wanataka kujiunga muungano na Oman, muanze kuomba usaidizi Jamaica.....wapi na wapi....haviendani.
Unagombana na jirani, waliomshawishi aanzishe ugomvi wanamsaidia.
Na wewe upo ukipata wa kukusaidia unaungana naye mnapigana kila mtu anajua nyuma yangu siwezi kupigwa kuna mshirika wangu atapambana upande huo.
 
Back
Top Bottom