Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇷🇺 Russian Deputy Prime Minister Alexander Novak reviews the latest developments in Russia’s energy policy amid sanctions:

▪️ The global energy market will collapse without Russian hydrocarbons.
▪️ Russia is working on preserving companies whose foreign owners decided to leave.
▪️Washington's embargo on Russian oil and petroleum imports led to a 19% rise in fuel price in the US.
▪️Russia has never used energy resources as weapons and continues gas transits to Europe in line with its commitments.
▪️A threshold of $4000 per 1,000 cubic meters on the European gas market is not a limit after the EU refused the Nord Stream 2 project.
▪️Shortages of diesel fuel in Europe, driven by sanctions against Russia may lead to the adoption of fuel consumption standards in the EU.
 
Asante kwa ibu. Sidharau jeshi la Kirusi. Ila ni vema kutambua tofauti ya yale unayolinganisha. Libya tuache nje, hapo Marekani hawakuingia wa jeshi la ardhi, ilikuwa ndegevita pekee. - Hata Afghanistan serikali ya Taliban iliondolewa na jeshi lake kuvunjwa 2001 na wapinzani Waafghani pamoja na msaada wa ndegevita na komandoo wa Marekani. Baadaye walijaribu kuidhibiti nchi kwa serikali ya Waafghanistan (maadui wa Taliban) na kwa mchanganyiko wa wanajeshi wao na wa Kiafghani. Iliyofuata ilikuwa vita ya msituni ambayo hawakushina na hatimaye kuondoka.
Urusi imeshindwa hadi sasa baada ya wiki nne kudhibiti nchi kwa jumla na miji mikubwa, kwa kutumia idadi kubwa ya wanajeshi rasmi ikipigana na jeshi rasmi la Ukraine.
Na hapa nashangaa sana kuona udhaifu wa kiuongozi na kimkakati.
Sidharau. Hawakuingia bado katika vita ya guerilla.
US na Ukraine wote wanafana kwa kuwa wanapewa vifaa na mambo mengine na washirika wao.Ni kujitia ujinga kuiona Russia ni dhaifu mbele ya U.S. A wakati anapambana bila ya msaada kutoka nje yake na huku amewekewa vikwazo ambavyo angeliwekewa huyo U.S.A bila shaka angekuwa amekwisha.
 
IMG_20220323_144205_962.jpg


Time is money.

▪️The ban on flights through Russian airspace has significantly increased travel time.

For example, on a plane from London to Tokyo, a passenger will now spend almost 4 hours more.

▪️Some airlines canceled flights to Asia due to travel time.

▪️More than that. According to the Ministry of Transport of the Russian Federation, airlines in 19 countries spend more than $37.5 million per week due to new routes.

Anti-Russian sanctions have reminded the world that the earth is round.
 
Russia imevurumisha makombora ya masafa marefu ya shabaha kali toka baharini na kuangamiza bohari ya silaha na vifaa vya kivita vya jeshi la Ukraine ktk kijiji cha Orzhiv, kaskazini magharibi mwa Ukraine. Katika silaha zilizoangamizwa, ni pamoja na zile walizopewa Ukraine na nchi za magharibi.

Screenshot_20220323-144218_Chrome.jpg
 
Unagombana na jirani, waliomshawishi aanzishe ugomvi wanamsaidia.
Na wewe upo ukipata wa kukusaidia unaungana naye mnapigana kila mtu anajua nyuma yangu siwezi kupigwa kuna mshirika wangu atapambana upande huo.

Halafu wewe ndiye umekua tegemeo la wengi (Waarabu) kama mlinzi mwenye uwezo wa kukomoa (Marekani), wamekua wakinunua silaha zako maana huwa unaaminika kuwa mbabe wa wababe, kisha unapata aibu ya kushindwa kuteka kataifa kadogo unaanza kuomba msaada....
 
Kansela wa Ujerumani anasema Germany hawawezi kukurupuka kususia nishati za Russia. Kufanya hivyo kutaathiri uchumi wa Ujerumani na nchi za Ulaya kwa ujumla; malaki ya ajira za watu zitapotea, viwanda mbalimbali vitafungwa na uchumi utadorora. Vikwazo hivyo vitazitesa zaidi nchi nyingi za Ulaya kuliko utawala wa Russia

Screenshot_20220323-145507_Chrome.jpg
 
Eti miaka 3-5
Walishatoa tathmini wakat vita ina kama week nne wanakwambia ku rebuild UKRAINE inahitajia miaka zaidi ya 15
Hata kama ichukue 20,lakini wameweka heshima ya kulinda Nchi yao na mwisho wa siku Nchi itajengwa lvizuri tu akini wakati huo kuna Russia amerudishwa nyuma ki uchumi vile vile tena siyo kidogo.Ngoma droo.
 
🇫🇮📰 Finland may struggle to print newspaper due to acute supply shortages it faced after halting the use of Russian-made paper.

"After Russia's attack on Ukraine media firms have decided to stop using Russian paper…With UPM's [Finnish paper company] strike continuing we could soon have big problems," Jukka Holmberg, head of the Finnish Media Federation, told the Yle broadcaster.

Before the UPM strike, ongoing since early 2022, about a fifth of Finnish newspapers were printed on Russian paper, the outlet notes.
 
View attachment 2161754

Time is money.

▪️The ban on flights through Russian airspace has significantly increased travel time.



Anti-Russian sanctions have reminded the world that the earth is round.
yeah hio true ila usisahau kuwa shirika la ndege la urusi Aeroflot ambalo duniani n la pili kwa ukubwa lenyew limeground kabisa all international flights except those that involve belarus mpk litakapotoa taarifa nyingine ambay si chini ya august, RT waliliripoti mwezi march
 
Halafu wewe ndiye umekua tegemeo la wengi (Waarabu) kama ulinzi mwenye uwezo wa kukomoa (Marekani), wamekua wakinunua silaha zako maana huwa unaaminika kuwa mbabe wa wababe, kisha unapata aibu ya kushindwa kuteka kataifa kadogo unaanza kuomba msaada....
Wale mamluki wakati flani hufanya kazi chafu yenye kuleta ushindi ambayo jeshi la nchi rasmi haliwezi kufanya, si unajua mambo ya plausible deniability?
Unakwepa kuonekana unafanya mambo yanayovunja sheria za kimataifa.
 
Back
Top Bottom