Sio wewe wala mimi tunaoweza kupima uwezo wa jeshi la urusi. Hao hao wa magharibi tena wataalamu sana kwenye maswala ya military ndio wanaotuambia uwezo wa nguvu za kijeshi za urusi.
- Wakati vita vinaanza,
Putin: yeyote atakayeingilia sisi tunaye
- Vita vikiwa vimepamba moto na ukraine anaelemewa
US: poland wapeni ndege vita ukraine.
Poland: tutazileta kwenu US hizi ndege vita zetu ili nyie mzipeleke huko ukraine.
US: basi bwana kama vipi tumeghairi. Hata sisi hatutapeleka hizo ndege huko ukraine
Zelensky: Nato/Us ni waoga wanamuogopa russia.
Assad bado yupo mpaka leo (kwa hisani ya putin)
Maduro bado yupo mpaka leo (kwa hisani ya putin)
Georgia alizingua akapigwa vibao mchana kweupe na hakuna aliyesema kitu
Crimea ilimegwa kama keki na hakuna aliyefanya kitu
Ukraine wanapigwa dk hii na hakuna aliyefanya kitu
Bado unaubeza uwezo wa urusi kijeshi!?
World's nuclear super power[emoji736]
Urusi haijaisha na wala haianguki. Wewe ndio unataka ianguke na iishe kabisa. Wapo watu kila pembe ya hii dunia masaa 24 wanatumia akili zao zote mpaka mwisho kuhakikisha Russia inazidi kusonga mbele na wewe uko hapa unategemea itaanguka hivi karibuni!? Hilo linabaki kuwa dua la kuku kamwe halitamfika mwewe. Rasilimali!? Hakuna nchi dunia hii yenye rasilimali kama russia na wala vita hii haitochukua muda mrefu kama unavyohisi wewe.
Urusi imeteka kamji kamoja tu!? Bwahahahaha endelea kujipa moyo wa
View attachment 2161010
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app