Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hili swali common sana, kuna rockets zimefungwa kwenye jetpack ya kurushia huyo rubani juu. Kwenye jet za kawaida hizo rockets zinafyatuka na kupasua ile canopy then jet ya ejection seat inafyatuka baada ya vioo kuondoka...
Asante nimeelewa,kuna mdau kaweka video hapo inaonekana hayo mapanga yanadondoka kabla ya ejection,nadhani ndio hicho unachosema
 
View attachment 2161754

Time is money.

[emoji3502]The ban on flights through Russian airspace has significantly increased travel time.

For example, on a plane from London to Tokyo, a passenger will now spend almost 4 hours more.

[emoji3502]Some airlines canceled flights to Asia due to travel time.

[emoji3502]More than that. According to the Ministry of Transport of the Russian Federation, airlines in 19 countries spend more than $37.5 million per week due to new routes.

Anti-Russian sanctions have reminded the world that the earth is round.
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Kansela wa Ujerumani anasema Germany hawawezi kukurupuka kususia nishati za Russia. Kufanya hivyo kutaathiri uchumi wa Ujerumani na nchi za Ulaya kwa ujumla; malaki ya ajira za watu zitapotea, viwanda mbalimbali vitafungwa na uchumi utadorora. Vikwazo hivyo vitazitesa zaidi nchi nyingi za Ulaya kuliko utawala wa Russia

View attachment 2161761
@T14 Armata
 
Hata ukisoma economics katk factors of production ,land ni fixed in supply why? Utapata point kibao. Ukishakua na natutal resources wewe ni tajir mtu kama Russia ana
1. Oil
2. Gas
3. Coal
4. Gold
5. Diamond
6. Steel
7. Iron ore
8. Uranium
10. manganese
11. chromium,
12. nickel
13. platinum
14.titanium
15.copper
16. tin
17. lead,
18.tungsten,
19. phosphates,

Tukija agriculture
1. Wheat
2. Sunflower
3. Potatoes
4. Cereals nk

Russia is one of the world's richest countries in raw materials, many of which are significant inputs for an industrial economy. Russia accounts for around 20 percent of the world's production of oil and natural gas and possesses large reserves of both fuels.

Mtu ana zalisha karibia 20% ya oil afu aache kusupply unategemea nini?

US anataman Russia angekua kma zimbabwe hvi mnake mnampa vikwazo na nyie mnapigwa na vikwazo[emoji38].

Russia angekua ka nchi hakan mbele wala nyuma huenda tusingeichukulia serious.
Yah na kingine kwa uchanganuzi zaidi kuna kitu tunakisahau, kwenye kila eneo au nchi husika uchumi wake unategemea na shughuli zake izifanyazo. Shughuli za kiuchumi tena hili ni darasa la Form 2 Geography zipo katika makundi ma3 wengine wanayaweka manne.

Primary activities ambayo inahusisha uzalishaji wa malighafi directly kutoka ardhin, Secondary Activities ambayo huusisha transformation ya natural resources kua bidhaa... Na nyingine ni tertiary activities ambayo inahusisha usambazaji wa hizo bidhaa kwa mtumiaji wa mwisho huduma za kibenk na kadhalika.

Kuna sehem zingine primary activities za uchumi hazipo ila wananufaika na secondary activities kwa uwepo wa viwanda na tertiary activities kwa uwepo wa idadi kubwa ya watu yenye uhitaji na huduma hizo...

Kinachopungua Russia kwa kiasi kikubwa kupitia vikwazo vinavyoweka ni hizo tertiary activities ila kwa upande wa Primary activities na secondary activities bado yupo Imara... Na hapa ndipo ile kauli yetu ya *Russia sio Zimbabwe" ilipopatia mizizi.

Na hizo tertiary activities zinazoathirika upande wao ni swala la mda na kujipamga ufumbuzi wataupata kwasabab Primary na secondary activities bado zipo imara.

Kibaya ingekuwa shughuli za awali za uchumi wao zingekuwa "weak"... Na maana ya kua hawazalishi kitu, wapo import oriented kwa wingi wa hivo vikwazo Russia angepotea kwa speed ya 10G...
 
Wanajeshi 67 wa jeshi la UKRAINE wasalimu amri mbele ya vikosi vya jeshi la Urusi.

Source:RT today.
Screenshot_20220323-185834.jpg
 
Wanajeshi 69 wa jeshi la UKRAINE wasalimu amri mbele ya vikosi vya jeshi la Urusi.

Source:RT today.
View attachment 2162063View attachment 2162064
Na Lilian Mtono | saa (0) nyuma

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesisitiza kupinga vikali hatua ya kususia bidhaa za nishati kutoka Urusi na kusema hatua zaidi zitaibua hatari ya matokeo mabaya katika uchumi wa Ulaya.

Kansela Olaf Scholz amesema vikwazo ambavyo tayari vimewekwa dhidi ya taifa hilo vina athari kubwa. Scholz amesisitiza hayo katika wakati ambapo kuna mashaka kwamba hatua zaidi zitaibua hatari ya matokeo mabaya katika uchumi wa Ulaya.

Kansela Scholz amesema hayo wakati kukiwa na miito kwa mataifa ya magharibi kususia kabisa bidhaa zote za nishati kutoka Urusi baada ya kuivamia Ukraine. Scholz amesema ni lazima wawe wazi katika hilo kwa kuwa linaweza kuibua mzozo wa muda mrefu, na mataifa hayo yote yanapaswa kuungana.

Msimamo wa Ujerumani katika hili haubadiliki. Kwa bahati mbaya hili lina ukweli kwa wanachama wengine wengi tu wanaotegemea zaidi makaa, gesi na mafuta, kuliko hata Ujerumani. Na katika hili, hakuna yoyote atakayeachwa nje, alisema Scholz.

Marekani na washirika wake wa magharibi wanaangazia iwapo Urusi inaweza kusalia katika kundi la mataifa yenye nguvu kiuchumi la G20, baada ya uvamizi huo hii ikiwa ni kulingana na chanzo kilichohusika kwenye majadiliano kuhusu hatua hiyo, kilichozungumza na shirika la habari la Reuters siku ya jana.

Mkutano wa G20 unatarajiwa kufanyika nchini Indonesia, lakini kukiwa na wasiwasi wa baadhi ya wanachama kutoshiriki

Chanzo hicho kimesema kufuatia uwezekano kwamba jaribio la kuitenga Urusi mara moja huenda likapigiwa kura ya turufu na wajumbe wengine wa kundi hilo ambao ni pamoja na China, India, Saudi Arabia na wengine, kuna mashaka kwa upande mwingine kwamba baadhi ya mataifa pia hayatahudhuria baadhi ya mikutano ya G20 kwa mwaka huu.

Kundi hilo la G20 pamoja na kundi dogo la mataifa saba ambayo ni Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Canada, Japan na Uingereza ndio hasa waratibu wa kimataifa katika kila jambo kuanzia hatua kuelekea mabadiliko ya tabianchi hadi deni la kimataifa.

Wakati mataifa hayo ya magharibi yakifikiria kuiengua Urusi kutoka G20, balozi wa Urusi nchini Indonesia amesema mapema leo kwamba, rais Vladimir Putin anapanga kuhudhuria mkutano wa kilele wa kundi hilo utakaofanyika Indonesia baadae mwaka huu.

rais Joe Biden wa Marekani atazuru Ulaya kwa nia ya kuimarisha mahusiano na washirika wake wa magharibi

Rais Joe Biden, kuzuru Ulaya kuimarisha uhusiano.

Rais Joe Biden wa Marekani kwa upande wake anaondoka hii leo kuelekea Ulaya akiwa na malengo ya kuimarisha mahusiano na washirika wake wa magharibi, kuongeza vikwazo dhidi ya Urusi lakini pia likiwa ni jaribio la kuhujumu mzani wa nguvu za kijeshi wa baada ya enzi za vita baridi.

Kesho Alhamisi, Biden atahudhuria mikutano ya kilele ya Jumuiya ya Kujihami ya NATO na ule wa mataifa yaliyostawi zaidi kiuchumi ulimwenguni, G7. Biden pia atahudhuria mkutano wa Baraza la Ulaya. Siku ya Ijumaa, atakwenda Poland inayopakana na Ukraine, siku ya Jumamosi akitarajiwa kukutana na rais Andrej Duda.

Huku hayo yakitarajiwa, Umoja wa Mataifa hii leo linajadili maazimio matatu kuhusiana na kuzorota kwa hali ya kibinaadamu nchini Ukraine baada ya Urusi kuamua kuitisha kura kuhusu azimio lake kwenya baraza la usalama, ambalo halitaji mashambulizi yake dhidi ya jirani yake Ukraine. Baraza kuu la Umoja huo limeanza kuangazia maazimio ya wapinzani hao wawili mapema leo, moja linaloungwa mkono na Ukraine na mataifa ya magharibi kwamba Urusi inahusika na kusambaa kwa mzozo wa kibinaadamu na lingine lililodhaminiwa na Afrika Kusini, ambalo haliitaji Urusi.
 
"Bila shaka" ni mahali papesi (Kiswahili sanifu hivyo?) pa kuanza, lakini mahali pagumu pa kufika! Kiuchumi Urusi ni kibete ukilinganisha na Marekani.
Maana ya vikwazo ni: unakataa kufanya biashara na yeyote anayefanya biashara na yule aliye chini ya vikwazo, unakataa kununua kutoka kwake au kumwuzia...
US ataacha kufanya biashara na EU maana wengi kama si wote kabla na wakati huu wa vita wananunua nakutegemea Nishsti tokea MOSCOE
 
Na Lilian Mtono | saa (0) nyuma

[https://res]

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesisitiza kupinga vikali hatua ya kususia bidhaa za nishati kutoka Urusi na kusema hatua zaidi zitaibua hatari ya matokeo mabaya katika uchumi wa Ulaya.

Kansela Olaf Scholz amesema vikwazo ambavyo tayari vimewekwa dhidi ya taifa hilo vina athari kubwa. Scholz amesisitiza hayo katika wakati ambapo kuna mashaka kwamba hatua zaidi zitaibua hatari ya matokeo mabaya katika uchumi wa Ulaya.

Kansela Scholz amesema hayo wakati kukiwa na miito kwa mataifa ya magharibi kususia kabisa bidhaa zote za nishati kutoka Urusi baada ya kuivamia Ukraine. Scholz amesema ni lazima wawe wazi katika hilo kwa kuwa linaweza kuibua mzozo wa muda mrefu, na mataifa hayo yote yanapaswa kuungana.

Msimamo wa Ujerumani katika hili haubadiliki. Kwa bahati mbaya hili lina ukweli kwa wanachama wengine wengi tu wanaotegemea zaidi makaa, gesi na mafuta, kuliko hata Ujerumani. Na katika hili, hakuna yoyote atakayeachwa nje, alisema Scholz.

Marekani na washirika wake wa magharibi wanaangazia iwapo Urusi inaweza kusalia katika kundi la mataifa yenye nguvu kiuchumi la G20, baada ya uvamizi huo hii ikiwa ni kulingana na chanzo kilichohusika kwenye majadiliano kuhusu hatua hiyo, kilichozungumza na shirika la habari la Reuters siku ya jana.

[https://res]

Mkutano wa G20 unatarajiwa kufanyika nchini Indonesia, lakini kukiwa na wasiwasi wa baadhi ya wanachama kutoshiriki

Chanzo hicho kimesema kufuatia uwezekano kwamba jaribio la kuitenga Urusi mara moja huenda likapigiwa kura ya turufu na wajumbe wengine wa kundi hilo ambao ni pamoja na China, India, Saudi Arabia na wengine, kuna mashaka kwa upande mwingine kwamba baadhi ya mataifa pia hayatahudhuria baadhi ya mikutano ya G20 kwa mwaka huu.

Kundi hilo la G20 pamoja na kundi dogo la mataifa saba ambayo ni Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Canada, Japan na Uingereza ndio hasa waratibu wa kimataifa katika kila jambo kuanzia hatua kuelekea mabadiliko ya tabianchi hadi deni la kimataifa.

Wakati mataifa hayo ya magharibi yakifikiria kuiengua Urusi kutoka G20, balozi wa Urusi nchini Indonesia amesema mapema leo kwamba, rais Vladimir Putin anapanga kuhudhuria mkutano wa kilele wa kundi hilo utakaofanyika Indonesia baadae mwaka huu.

[https://res]

rais Joe Biden wa Marekani atazuru Ulaya kwa nia ya kuimarisha mahusiano na washirika wake wa magharibi

Rais Joe Biden, kuzuru Ulaya kuimarisha uhusiano.

Rais Joe Biden wa Marekani kwa upande wake anaondoka hii leo kuelekea Ulaya akiwa na malengo ya kuimarisha mahusiano na washirika wake wa magharibi, kuongeza vikwazo dhidi ya Urusi lakini pia likiwa ni jaribio la kuhujumu mzani wa nguvu za kijeshi wa baada ya enzi za vita baridi.

Kesho Alhamisi, Biden atahudhuria mikutano ya kilele ya Jumuiya ya Kujihami ya NATO na ule wa mataifa yaliyostawi zaidi kiuchumi ulimwenguni, G7. Biden pia atahudhuria mkutano wa Baraza la Ulaya. Siku ya Ijumaa, atakwenda Poland inayopakana na Ukraine, siku ya Jumamosi akitarajiwa kukutana na rais Andrej Duda.

Huku hayo yakitarajiwa, Umoja wa Mataifa hii leo linajadili maazimio matatu kuhusiana na kuzorota kwa hali ya kibinaadamu nchini Ukraine baada ya Urusi kuamua kuitisha kura kuhusu azimio lake kwenya baraza la usalama, ambalo halitaji mashambulizi yake dhidi ya jirani yake Ukraine. Baraza kuu la Umoja huo limeanza kuangazia maazimio ya wapinzani hao wawili mapema leo, moja linaloungwa mkono na Ukraine na mataifa ya magharibi kwamba Urusi inahusika na kusambaa kwa mzozo wa kibinaadamu na lingine lililodhaminiwa na Afrika Kusini, ambalo haliitaji Urusi.
Duh mambo n[emoji91]
 


Hapa Mariopol na hii ni misafara ya Russia.. yaani hii vita Bado sana
 
Embu ona walichufanyiwa wa ukrein halafu kuna mtu anashupaza shingo kwamba ukrein wanashindaView attachment 2161551
Mbona wanaosema Ukraine anashinda ni wa kuhesabu? Wengi tunaosifia Ukraine, tunasifia namna alivyoweza kumzuia Mrusi kwa muda sasa. Hii ya kushinda naona inaletwa sana kufunika suala la muda Ukraine aliopambana kumzuia Urusi.
 
Wewe utakuwa mgeni kwenye hizi mambo. Air escort unaona kitu cha ajabu, Marekani mara kibao ndege zake zinasindikizwa na za Urusi kutoingia anga lao. Sasa ni hivi, kabla ya Trump kuondoa hiyo, walikuwa na mkataba wa kupitisha ndege angani kwa adui kukagua baadhi ya military installations na kuomba maelezo kitu gani kitaonekana sio sawa.

Hapo unaona wako international airspace, hata meli zao hukutana kwenye international waters ambako hakuna mwenye claim ya maritime border
Hivi huu mkataba si Marekani alijitoa
 
Back
Top Bottom