3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,019
T14 Armata watu wako chalii huko
Nyie mnaita ni VITA ama??,sasa kama mnaita vita toka lini Vita ikachagua aina ya slaa???Urusi ni mwepesi ndo maana anakimbilia kusema akiona anatishiwa amani atatumia nukes
live pictures from Russian StoresView attachment 2162576
[emoji625] Ivano-Frankivsk, West Ukraine.
[emoji298]️Urgently: A Bandera legion have deployed on the territory of a boarding school - soon in Ukrainian media "Russians are shelling schools."
View attachment 2162587
Wanajificha mashuleni baadae tutaambiwa Russia anashambulia mashule....
Kwe hii video wanajesh wanaonekana wanatoka sehem tfaut tfauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmoja wapo ni huyu m'Germany
View attachment 2162585
Imeungua ila wakiizima moto haitozama. Russia vifaa vyao kupata hitilafu ni kawaida sana ndio maana sijawaza direct kwamba imeshambuliwa, tatizo picha nyingine zinaonekana kama vile meli mbili zinawaka moto.Uhakika imepigwa
Sisi tunataka kuona matokeo ya hizo interception wanazo fanya hao Ukraine dhidi ya Urusi.Kama hazina matunda yoyote na kila siku Urusi wameshikilia miji huku wao wakibweka kwenye TV stations-wanachojisifia ni nini sasa???Kama uko open minded unaweza pitia NYT jana wametoa baadhi ya audio ambazo Ukrainians waliintercept maana Russians sio kila muda ukienda anatumia encrypted radio communication. Unaweza pata mawili matatu, team propaganda pita kama hamjui mkatembelee hizo RT na Sputnik
Nilikuwa natafuta kauli sioni. Asante, sijui wametumia nini kushambuliaThe Navy of the Armed Forces of Ukraine reports that the Russian landing ship "Orsk" was destroyed in the port of Berdyansk in the morningView attachment 2162707
Kuna cctv video nimeona ikilipuka, na meli ya pili kuondolewa. Hiyo meli wanadai ilikuwa na ammunitionsImeungua ila wakiizima moto haitozama. Russia vifaa vyao kupata hitilafu ni kawaida sana ndio maana sijawaza direct kwamba imeshambuliwa, tatizo picha nyingine zinaonekana kama vile meli mbili zinawaka moto.
Na mambo ya uokoaji Russia ndio kabisa wako nyuma, kesi ya Kursk nuclear submarine mwaka 2001 walikula jeuri yao wakati UK na US zilikuwa around na mitambo kuokoa zikiruhusiwa. They swallowed their pride na crew nzima ikafa, mwishowe wakaita kampuni gani uko Ulaya kufanya salvageView attachment 2162817View attachment 2162818View attachment 2162819