Germany Ilikanywa mapema sana na USA lakini wakajitia wanajua sana, ona sasa EU nzima yeye ndo anahangaikaMarekani always ilikuwa inasema Russia atatumia gesi kama leverage kwenye mgogoro, UK walivyo na chuki dhidi ya Russia hawakuitegemea. Ujerumani inapenda amani haikuwa na shaka nao, Ujerumani inanunua kiasi kikubwa kwao. Sasa wakilazimishwa wajifikirie zaidi miaka ijayo wakiamua vinginevyo itakuwa na athari, ni kama Saud Arabia wakiamua wauze mafuta kiasi kwa Yuan
Safi sanaMbuzi kafia Kwa muuza supu
Kwa hiyo unategemea Nchi ikiwa vitani ajira ziongezeke? Kweli pro Russia mmeishiwa hoja mnaokoteza kila uchafu unaowafurahishaAsilimia 53 ya WaUkraine wamepoteza ajira kufuatia oparesheni hii maalumu ya kijeshi ya Russia
View attachment 2162736
Hii ni ya kweli?Russia and Iran are working on unification of financial messaging systems bypassing SWIFT -Iranian Ambassador in Moscow.
NATO Ni wauwaji mara100 ya Urusi
Habari za kitambo ndo mnarecycle
UkraineHio bandari ipo nchi gani MKUU !!?
Hakuna kitu kama hicho, kura zote zinapigwa na members wote 15 anaeamua kupiga kura ya veto anapiga humo humo. Hakuna sehemu yeyote eti members 5 wana session yao ya kupiga kura,kura zote 15 zinapigwa wakati mmojaUN security council ina member 5 ambao ndio wa kudumu, hizo kura hazisaidii maana watalazimika kuingia kwenye hao watano afu unakuta wawili wamesema hapana.
Habari za kitambo ndo mnarecycle
Nenda kajinyonge kama imekugusa na kukuuma mno!Kwa hiyo unategemea Nchi ikiwa vitani ajira ziongezeke? Kweli pro Russia mmeishiwa hoja mnaokoteza kila uchafu unaowafurahisha