Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tarehe kama ya leo Feb, Russia walisema wameharibu Kambi zote za jeshi la Anga la Ukraine muda kama huu tukasikia Paratroopers na Askari wa Russia wako Kiev City center, Wameteka Uwanja wa ndege...

Hivi ndugu ilikuwaje leo wanagombea Mariopol 🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee unadhani mtu mwenye mawazo kama yako unaweza ukajadiliana na mimi!?
Screenshot_20220324-120700.png
 
Ukraine is negotiating security guarantees with the United States, Britain, Germany, France and Turkey - head of the Ukrainian Foreign Ministry.
Galip SV
20220323_134127.png
 
Patriot haikutengenezwa kuzuia drones ndogo hizo za Houthi, hata S-300 au S-400 haifanyi kazi hiyo. Unajua hilo kombora la S-400 lina gharama gani na hizo makeshift drones za Houthi zina gharama gani. Kwenye jeshi hutumii silaha ya milioni 200 kuharibu ya milioni 5, bali unatumia kama NLAW au Javelin kupiga kifaru cha thamani maradufu kuzidi hiyo anti tank missile.

Kuna mifumo tofauti ya anti drone, Saudi Arabia hakuwa nayo that time. Baada ya kushambuliwa akainunua na sasa inatokea hiviView attachment 2162282View attachment 2162283View attachment 2162284View attachment 2162285View attachment 2162286
Lakini jana tu jamaa kalia kwamba uzalishaji wake wamafuta katika aina fulani ya kiwanda huko utapungua kutokana na kipigo cha Drones za HOUTHI
 
Deputy Defense Minister of #Ukraine Anna Malyar said that the destroyed warship in #Berdyansk could carry up to 20 tanks, 45 armored personnel carriers and 400 paratroopers. https://t.co/HE4fkuAZjN
 
UN wamekosea kukataa ceasefire ili kufanya evacuation. Ila ceasefire itakuwa ni advantage kwa Russia maana watapumzika wajipange, sijui ni siku ya ngapi sasa hawana advancement ya maana kuonesha. Ceasefire itakuwa disadvantage kwa Ukrainian military ambao wamehold their positions ila ni faida kwa raia walio kwenye mapigano
Nimeona leo update inasema Urusi karudishwa nyuma KM 25

Irpin, Bucha bado pa moto sana, Urusi kazungukwa
 
Today is the anniversary of the NATO bombing of Yugoslavia.

The United States and NATO have accused Belgrade of committing war crimes. This was declared the reason for the operation. The current US President Biden has publicly stated that it was he who proposed bombing Yugoslavia.

▪️Independent researchers name other goals - the West tried to finalize the collapse of the country, demonstrate strength and test new weapons.

▪️On March 24, 19 countries led by the United States, without agreement with the UN Security Council, began to strike at a European country. The bombing continued for 78 days.

Over 10,000 aircraft dropped over 400,000 bombs and missiles on Yugoslavia. Cluster bombs and shells with depleted uranium banned by international agreements were also used. The consequences of this are still felt by the locals.

▪️The "target" became the symbol of Yugoslavia of those days. People wore it on themselves, it could be seen on cars, walls, poles, posters.
 
mataifa mengi ya magharibi ni welfare states, kuna aina flani ya maisha ambayo wameshayazoea, nchi km ujerumani ina zaidi ya watu millioni zaidi ya 81 lkn kipindi hiki cha covid kuna mfumo wa kuwalipa watu ambao wamepoteza ajira mpk 60% ya mshahara uliokuwa unapata kwe kazi yako ya mwisho mpk pale utapopata ajira nyingine, hawa watu hawajazoea baadhi ya life situations sababu ya nchi zao kuwa vizur kiuchumi kwa mda mrefu ndio maana inflation kdg kwao inamake headlines, so watu wa nchi tofauti wanaweza wakawa wanalalamika sana lkn hio haina maana kuwa wanapata maumivu yanayofanana, ndio maana sometimes ni kazi kusema nani anaathirika kuliko mwngne kwe hizi sanctions sababu jamii ni tofauti na aina ya maisha ni tofauti, unaweza ukaona nchi flani inapata shida kumbe wenzio sio shida kivile au unaweza ukaona hawa watu watakua poa tu kumbe wenzio kwao ni shida kwelikweli
Kabla sija google naomba nipinge sidhanii kama GER inafikisha watu 81M
Sasa ngoja nika google kama ninachosema kitakua sahihi huenda hata hizo usemazo ikawa pia niuongo MKUBWA

Nimegoogle wanakadiriwa 83M
 
Siku moja baada ya Ujumbe wa mabalozi wa nchi za Ulaya nchini Tanzania kuitaka Tanzania na nchi nyingine za Afrika kupaza sauti kukemea uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, nchi hiyo imetoa msimamo wake leo na kusema yenyewe haifungamani na upande wowote.

SmartSelect_20220324-121629_Chrome.jpg
Msimamo huo unapigiwa mstari na uamuzi wa taifa hilo la Afrika Mashari la kutokupigia kura azimio la baraza Kuu la Umoja huo, UNGA kupitisha lililopitishwa mapema mwezi huu, kuitaka Urusi kusimamisha mara moja mashambulizi yake dhidi ya Ukraine na kuyaondoa majeshi yake katika nchi hiyo.

Waziri wa Masuala ya kigeni wa nchi hiyo, Liberata Mulamula amesema kwa miaka mingi sasa Tanzania inaamini katika kutafuta muafaka na marudhiano kwa kutumia njia ya diplomasia ili kumaliza migogoro.
Kutokana na muafaka na maridhiano kutopatikana katika mzozo wa Urusi na Ukraine, Waziri Mulamula anasema: “ndio maana katika kupiga tukaamua kutofungamana na upande wowote, lakini ilikuwa sio kutofungamana na pande zote mbili lakini ni kutoa ujumbekuonyesha kwamba sisi msimamo wetu na sera yetu na msingi wetu wa sera ya mambo ya nje ni kutokufungamana na pande zozote hasa katika hali kama hii”, alisema Mulamula.

Tanzania ilikua miongoni mwa mataifa 35 wanachama wa Umoja wa Mataifa ambayo hayakupiga kura kuunga wala kukataa azimio hilo lililoungwa mkono na mataifa 141, huku mataifa matano ya Urusi, Belarus, Syria, Korea Kaskazini na Eritrea, yakipinga azimio hilo.

Hapo jana ujumbe wa Mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania pamoja na kuzitaka nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kupaza sauti zao kulaani uvamizi huo wa Urusi, waliitaka pia Urusi kumaliza mzozo wake na Ukraine bila kupigana vita.​
 
baada ya ndege za urusi kukatiza juu ya anga la poland bila kukutana na upinzani wowote leo marekani imeanza kubadilisha air defense site

leo f 35 imeshindwa kupaa kaamua kuruka kama helcopter ziliishia kunyanya tairi ya mbele tu.

yamkin urusi inawahujumu wapinzani wake mpaka juzi biden katoa ruhusa kwa matumiz ya nuclear kwa washirike wake
Sawa mfanyakazi wa Airport, base gani iyo ilikua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja baada ya Ujumbe wa mabalozi wa nchi za Ulaya nchini Tanzania kuitaka Tanzania na nchi nyingine za Afrika kupaza sauti kukemea uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, nchi hiyo imetoa msimamo wake leo na kusema yenyewe haifungamani na upande wowote.

View attachment 2162649Msimamo huo unapigiwa mstari na uamuzi wa taifa hilo la Afrika Mashari la kutokupigia kura azimio la baraza Kuu la Umoja huo, UNGA kupitisha lililopitishwa mapema mwezi huu, kuitaka Urusi kusimamisha mara moja mashambulizi yake dhidi ya Ukraine na kuyaondoa majeshi yake katika nchi hiyo.

Waziri wa Masuala ya kigeni wa nchi hiyo, Liberata Mulamula amesema kwa miaka mingi sasa Tanzania inaamini katika kutafuta muafaka na marudhiano kwa kutumia njia ya diplomasia ili kumaliza migogoro.
Kutokana na muafaka na maridhiano kutopatikana katika mzozo wa Urusi na Ukraine, Waziri Mulamula anasema: “ndio maana katika kupiga tukaamua kutofungamana na upande wowote, lakini ilikuwa sio kutofungamana na pande zote mbili lakini ni kutoa ujumbekuonyesha kwamba sisi msimamo wetu na sera yetu na msingi wetu wa sera ya mambo ya nje ni kutokufungamana na pande zozote hasa katika hali kama hii”, alisema Mulamula.

Tanzania ilikua miongoni mwa mataifa 35 wanachama wa Umoja wa Mataifa ambayo hayakupiga kura kuunga wala kukataa azimio hilo lililoungwa mkono na mataifa 141, huku mataifa matano ya Urusi, Belarus, Syria, Korea Kaskazini na Eritrea, yakipinga azimio hilo.

Hapo jana ujumbe wa Mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania pamoja na kuzitaka nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kupaza sauti zao kulaani uvamizi huo wa Urusi, waliitaka pia Urusi kumaliza mzozo wake na Ukraine bila kupigana vita.​
HUU NDIO MSIMAMO WETU TANZANIA.
Tanzania katika nyanja za kimataifa hatutaki nchi ituchagulie adui wala rafiki.
 
Back
Top Bottom