Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ni sababu Israel inapingwa na wengi. Hadi Marekani kutokubali maeneo hayo kama ardhi ya Israel. Alikuwa Trump tu aliyehamisha ubalozi hadi Yerusalemu.
Marekani haikuchukua sehemu za nchi nyingine tangu mwisho wa karne ya 19. Tofauti na Urusi.
What difference doest it make either uchukue sa hivi au ulichukua miaka ya nyuma,mula nyama za watu hana wakati atakula tu mpaka akizeeka.USA alichukua Utaifa na ardhi ya Nchi zingine tena kwa mauaji ya kutisha.

Akitaka na yeye aivamie Canada/Mexco achukue eneo.
 
.
Screenshot_2022-03-24-11-44-36-730_com.gbinsta.android.jpg
 
A meeting between Putin and Zelensky is possible, but subject to the elaboration of its details, said Federation Council Chairman Valentina Matviyenko.

We need to work out the agenda. Some document should be the outcome of the talks between the heads of state. The meeting must be productive, otherwise it is meaningless.
 
Yaani leo hii mtu mzima Mimi ndio nimekuwa na akili ya kitoto mpaka nishindwe kuelewa paragraph mbili za mfuasi wa Putin ambaye haamini kinachoendelea kwelii???
Tatizo mmekuwa wakaliiii Kama pilipili...Basi Nimekosa Mimi, Nimekosa Mimi, Nimekosa Sana
Wafuasi wa Putin wa kuupuzia tu. Hawa watasujudi tu kwa mungu wao Vladimir daima milele. Deaf ,dump and blind they comprehend nothing-Al bakarah 2 171.
 
Yaani leo hii mtu mzima Mimi ndio nimekuwa na akili ya kitoto mpaka nishindwe kuelewa paragraph mbili za mfuasi wa Putin ambaye haamini kinachoendelea kwelii???
Tatizo mmekuwa wakaliiii Kama pilipili...Basi Nimekosa Mimi, Nimekosa Mimi, Nimekosa Sana
Tatizo sio Umri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tatizo uwezo wa akili yako.... We ukijaa nyembe shauri yako me nakwambia t na msema kweli ni mpenzi wa dada ako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uwezo wa kufikiria chini sana au umefunikwa na mahaba. Em nambie ukichukua ndoo ukaanza kuiwekea maji kama haijatoboka lazima itajaa tu. Na hata kama inavuja kiasi itajaa kulingana na speed ya uwekaji maji kwenye ndoo hiyo.

Kama kweli nduguzo wanashinda kama unavojinadi au kudanganywa na hao wajomba zenu wa magharibi inakuaje kila siku wanatuma silaha kila uchao en bado wana run out of ammunition?

-6186061012000681859_120.jpg


Na hapo keep in mind kua kabla ya 24Feb walikuwa na silaha nyingi tu za kutosha kiasi cha zengine kuwagawia Raia wao so zinaenda wapi ilhali wanashinda?

Wanashinda lakini unaambiwa idadi ya wanaoondoka kwenye nchi yao inakaribia theluthi ya total population... Sasa kama wanashinda kwanin Raia waendelee kuondoka?

Unaambiwa wanashinda na ku'seizure Vifaa vya Warusi ukiongeza na hivo wanavyopelekewa kila kukicha vinapotelea wapi? Ka huna akili za kitoto mbona hujiongezi vitu vidogo ka hivo?

We have been told kua jeshi la Urusi wanaua watu... Hii video chini wakaiweka ya Raia wao wakiwafukuza jeshi la Russia mikono mitupu... Kama kweli wanauwa watu kwani walishindwa kuwafyatulia risasi hapo mpaka wabadili njia????



Kuna ule msemo wanasema hupaswi kumuamini mwongo hata kama akisema ukweli. Jana Biden katoka USA kuelekea hukooooo kwe mkutano wake NATO... Akaweka hiki kwenye ukurasa wake wa Twitter...

Screenshot_20220324-064559.jpg


Wanaoujua mji wao wakaanza kumjibu namna hiii

Screenshot_20220324-064849.jpg


Na hivi

Screenshot_20220324-065233.jpg


Na hivii

Screenshot_20220324-064634.jpg


Kama anadanganya Raia wake unaanzaje kuamini yanayotoka kinywani mwake?

Majuzi nilikwambia huzijui Geopolitics ukasema nakudharau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya leo nakusifu kabisa nakwambia una akili za kitoto hutaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikuweke kundi lipi sasa au kwa huyu HB wako apa chini

-5890824423202731665_120.jpg
 

Ukraine wants SWIFT to cut off Russia’s central bank​

Kiev aims to further isolate Moscow economically from the West

“The National Bank of Ukraine appealed to the leadership of the international SWIFT system with a call to disconnect the Central Bank of Russia from the financial messaging system. This will strengthen the international financial isolation of Russia and become an effective tool for maximum counteraction to Russian aggression in the financial sector,” the statement reads, as cited by RIA Novosti.
 
[emoji298]️Ukraine’s military: Large Russian amphibious assault ship destroyed in Berdiansk.

According to Ukraine’s General Staff, the Russian warship “Orsk” was destroyed in the port of Berdiansk, which is currently occupied by the Russian forces.
 
hakuna tanker za kutosha kusafirisha gesi na mafuta kukidhi mahitaji ya Europe,pipeline ndo njia nyepesi na nafuu
MKUU toka huu mzozo sikua nakuona Hope Uko salama
Nakufatilia sana najua hua unanondo zamaana sana nazingojea zaidi na zaidi na zaidi
 
Tatizo sio Umri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tatizo uwezo wa akili yako.... We ukijaa nyembe shauri yako me nakwambia t na msema kweli ni mpenzi wa dada ako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uwezo wa kufikiria chini sana au umefunikwa na mahaba. Em nambie ukichukua ndoo ukaanza kuiwekea maji kama haijatoboka lazima itajaa tu. Na hata kama inavuja kiasi itajaa kulingana na speed ya uwekaji maji kwenye ndoo hiyo.

Kama kweli nduguzo wanashinda kama unavojinadi au kudanganywa na hao wajomba zenu wa magharibi inakuaje kila siku wanatuma silaha kila uchao en bado wana run out of ammunition?

View attachment 2162597

Na hapo keep in mind kua kabla ya 24Feb walikuwa na silaha nyingi tu za kutosha kiasi cha zengine kuwagawia Raia wao so zinaenda wapi ilhali wanashinda?

Wanashinda lakini unaambiwa idadi ya wanaoondoka kwenye nchi yao inakaribia theluthi ya total population... Sasa kama wanashinda kwanin Raia waendelee kuondoka?

Unaambiwa wanashinda na ku'seizure Vifaa vya Warusi ukiongeza na hivo wanavyopelekewa kila kukicha vinapotelea wapi? Ka huna akili za kitoto mbona hujiongezi vitu vidogo ka hivo?

We have been told kua jeshi la Urusi wanaua watu... Hii video chini wakaiweka ya Raia wao wakiwafukuza jeshi la Russia mikono mitupu... Kama kweli wanauwa watu kwani walishindwa kuwafyatulia risasi hapo mpaka wabadili njia????

View attachment 2162602

Kuna ule msemo wanasema hupaswi kumuamini mwongo hata kama akisema ukweli. Jana Biden katoka USA kuelekea hukooooo kwe mkutano wake NATO... Akaweka hiki kwenye ukurasa wake wa Twitter...

View attachment 2162609

Wanaoujua mji wao wakaanza kumjibu namna hiii

View attachment 2162613

Na hivi

View attachment 2162611

Na hivii

View attachment 2162612

Kama anadanganya Raia wake unaanzaje kuamini yanayotoka kinywani mwake?

Majuzi nilikwambia huzijui Geopolitics ukasema nakudharau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya leo nakusifu kabisa nakwambia una akili za kitoto hutaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikuweke kundi lipi sasa au kwa huyu HB wako apa chini

View attachment 2162619
Sijasoma andiko lako maana umeandika kwa kupanic Sana!Andiko refuuuuuuuu...Hebu relax kidogo hii Vita bado Sana, mpendwa wenu ana Safari ndefu kuliko alivyojinadi na Nyie wapambe wake kumpigia makofi ya shangwe.....Hali tete
 
The FBI is trying to recruit employees of the Russian embassy through advertising on social networks.

According to The Washington Post, it is tied to geolocation and appears on smartphones only in the diplomatic mission building and next to it.

After the start of the special operation in Ukraine, Russian users of social networks were inundated with targeted advertising condemning the actions of the Russian Federation.
Galip SV View attachment 2162449
20220323_134127.png
 
[emoji298]️ABC: Russia launched 1,200 missiles on Ukraine.

Russia still has the vast majority of the assembled surface to air missiles and cruise missiles available, ABC News reported citing an unnamed U.S. defense official.
 
Sijasoma andiko lako maana umeandika kwa kupanic Sana!Andiko refuuuuuuuu...Hebu relax kidogo hii Vita bado Sana, mpendwa wenu ana Safari ndefu kuliko alivyojinadi na Nyie wapambe wake kumpigia makofi ya shangwe.....Hali tete
Utalisomaje sasa wakati uwezo wako unakomea kusoma A E I O U... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
baada ya ndege za urusi kukatiza juu ya anga la poland bila kukutana na upinzani wowote leo marekani imeanza kubadilisha air defense site

leo f 35 imeshindwa kupaa kaamua kuruka kama helcopter ziliishia kunyanya tairi ya mbele tu.

yamkin urusi inawahujumu wapinzani wake mpaka juzi biden katoa ruhusa kwa matumiz ya nuclear kwa washirike wake
 
Baada ya maangamizi makuu ya vifaru vya Z , hatimaye mashambulizi yamehamia kwenye meli za kivita za Z. Meli ya vita ya Urusi Orsk imengamizwa. Kazia iendeleee
 
📌 The Russian Defence Ministry has provided a briefing on the Ukraine op:

▪️ The Russian armed forces have taken control of the city of Izyum in the Kharkov region;

▪️ Air and sea-based high-precision long-range weapons have hit the military facilities of the Ukrainian Armed Forces over the past 24 hours;

▪️ As a result of strikes, 13 anti-aircraft missile launcher systems were destroyed, including 9 S-300 and 4 Buk-M1 systems, a formation headquarters, and a missile and artillery weapons depot, as well as a temporary deployment point of the nationalist battalion;

▪️ Operational-tactical and army aviation hit 60 military assets of the Ukrainian Armed Forces.

▪️ The warplanes and air defence units of the Russian Aerospace Forces have shot down 2 Ukrainian drones near Kharkov;

▪️ In total, 257 drones, 202 anti-aircraft missile systems, 1,572 tanks and other armoured combat vehicles, 160 multiple launch rocket systems, 633 field artillery and mortars, as well as 1,379 units of special military vehicles of the Armed Forces of Ukraine have been destroyed during the operation
Tarehe kama ya leo Feb, Russia walisema wameharibu Kambi zote za jeshi la Anga la Ukraine muda kama huu tukasikia Paratroopers na Askari wa Russia wako Kiev City center, Wameteka Uwanja wa ndege...

Hivi ndugu ilikuwaje leo wanagombea Mariopol 🤣🤣🤣🤣🤣
 
South Korea launched a number of ballistic and cruise missiles towards the Sea of Japan in response to a North Korean missile launch, the Yonhap news agency reported.
Galip SV
20220323_134127.png
 
Back
Top Bottom