OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Uingereza imetoa msaada wa mabomu 6000 nato inapereka wanajeshi kwa hiyo hii vita ni NEXT LEVELNgoja tuone.
Sisi wakati tunamfurusha nduli Idd Amin tulishambulia mwanzo mwisho!
Uingereza imetoa msaada wa mabomu 6000 nato inapereka wanajeshi kwa hiyo hii vita ni NEXT LEVELNgoja tuone.
Sisi wakati tunamfurusha nduli Idd Amin tulishambulia mwanzo mwisho!
Uko nje ya ufahamu!! Hujui kuwa USA ana kituo cha kijeshi japan!!Mkuu naona bado upo ndotoni amka usije kujikojolea, hivi kwa akili yako kabisa unategemea Vita kamili ianze halafu Japan awe upande wa USA amabaye aliua watu wake maelf kwa maelf kwa mabomu ya Nyuklia basi labda siku hiyo Viongozi na Wananchi wote wawe wamelala kama wewe.
Mkuu hivi unategemea Vita kamili ianze na Japani ambaye watu wake waliuwawa maelf na maelf kwa mambomu ya Nuclear na USA,awe upande wa USA labda siku hizo viongozi na Wananchi wa Japan warogwe.
Iwapo vita kamili ikitokea Nchi pekee kutoka Asia inayoweza kuwa upande wa USA ni South Korea-na sidhani kama wataweza Ku support kwa chochote maana Kiduku atakuwa anawapumulia kisogoni,China na Japani kwa pembeni.
Britain will look into Zelensky's request to send tanks and planes, but it will be logistically difficult to do so, Boris Johnson said.Uingereza imetoa msaada wa mabomu 6000 nato inapereka wanajeshi kwa hiyo hii vita ni NEXT LEVEL
Ukikua utaacha.Sasa hivi pro Russia mshakuwa psychologists,vita vimewashinda sasa.
🤣🤣🤣HII VITA HAITACHUKUA SIKU TATU
Walisikika Warusi weusi wa buza kwa lulenge😂😂😂
Taarifa kwenye video ina nukuu kutokaFafanua zaidi.
Mambo ni tofauti kidogo. Kwanza uhakika ni nini? Kama mwanahabari aliona kitu kwa macho yake anaweza kusema "niliona" (ingawa hata hapa anaweza kukosea).BBC katika habari kumi watakazoripoti toka Ukrane Nane watasema hatujathibitisha...yaani hawana uhakika nazo.!
Kaka uchumi sio kila kitu katika uvumbuzi,mwenye maarifa anaweza kutumia Tshs.10 kuunda kitu Fulani na asiye na maarifa akatumia Tshs .100 kuunda kitu hicho hicho.Aligombea akachaguliwa kwa kura halali katika uchaguzi wa kidemokrasia, kama vile mcheza filamu Arnold Schwarzenegger alivyochaguliwa kuwa Gavana wa California jimbo lenye uchumi mkubwa mara tatu zaidi ya wa Russia.
Tuonyeshe uwezo mkubwa wa ukraineMimi nazungumzia Russia na uwezo mdogo iliyoonyesha kwenye hii vita,Marekani itafutie nafasi yoyote unayoona inafaa
Uvyo shabikia utathani izo nyuklia wanazo Russia pekee.afu Kila Russia ikitishwa inakimbilia kwenye vitisho vya nyuklia?
NITAJIE BAADHI YA GUNDUZI ZA URUSI AMBAZO WENGINE HAWANA🤔🤔🤔Kaka uchumi sio kila kitu katika uvumbuzi,mwenye maarifa anaweza kutumia Tshs.10 kuunda kitu Fulani na asiye na maarifa akatumia Tshs .100 kuunda kitu hicho hicho.
Angalia Nchi zote tajiri ulimwenguni hizo za NATo+USA na utajiri wao wote na technology zote walizo nazo wanazidiwa na Nchi mmoja-sababi kubwa ni mmoja tu watu wa Urusi wana maarifa zaidi yao.
Wewe ndio unaamini hivyo. Wao waendelee na vikwazo na kupeleka silaha, ila Russia pale Ukraine hatoki leo wala kesho. Pia Ukraine Ukraine kamwe hawatajiunga Nato wala kua na silaha kali. Huu ndio msimamoPutin anaamini eti hivi vichwa vyote anavizidi akili wakati hata kukaa mezani na subordinates wake anaogopa anapanga meza kubwa. ParanoidView attachment 2163163View attachment 2163164View attachment 2163165
Unazidi kudhihirisha ujinga wako.Unaandika kutoa Google halafu unakua mkaliii...kuna maandishi mengine unasoma mtu kaweka maoni yake unajua huyu ni mchambuzi. Wewe wa hapahapa tu.
"Russia watakimbia tu.."
endelea kusema hivyo hivyo ila usiombe waliputie sehemeR-36 Sarmat hizi ambazo zilitengenezwa Ukraine na alishagoma muda sana kuzipa spare parts ndio Russia anaringia. Si ajabu ziko kwenye silos uko na maintenance inasuasua
Hasira za mkizi hazibadilishi kitu. Rest in Eternal Peace Mama Albright.
Mkuu kigezo kipi au data zipi unatumia kusema kuwa watu wa urusi wana maarifa zaidi ya watu wa nchi za NATO?Kaka uchumi sio kila kitu katika uvumbuzi,mwenye maarifa anaweza kutumia Tshs.10 kuunda kitu Fulani na asiye na maarifa akatumia Tshs .100 kuunda kitu hicho hicho.
Angalia Nchi zote tajiri ulimwenguni hizo za NATo+USA na utajiri wao wote na technology zote walizo nazo wanazidiwa na Nchi mmoja-sababi kubwa ni mmoja tu watu wa Urusi wana maarifa zaidi yao.