Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ni paranoid sana huyo, hakuna mtu anamuamini.Eti hapa ni Rais yupo kwenye daily briefing meetingView attachment 2163283
Ni paranoid sana huyo, hakuna mtu anamuamini.Eti hapa ni Rais yupo kwenye daily briefing meetingView attachment 2163283
We ulidhani itakuwa kama Movie za Rambo.. 😆Hii vita mpaka nimechoka kufuatilia kumbe urusi mweupe tu kelele nyingi boring vita[emoji16]
Uwezo wake mkubwa mpaka sasa ni kumzuia Russia asiteke Kyiv kwa Mwezi mmoja sasa,na pili kupeleka hasara kubwa kwa majeshi ya Wavamizi.Tuonyeshe uwezo mkubwa wa ukraine
Huko kwenye UN unawapoteza maana hawana uelewa .kwenye Itifaki ya NATO kuhusu kuingilia vita ni weupe, kwenye silaha weupe., hata kujua USA ana vituo vya kijeshi Italy, Germany, Spain nk hawajui..Pro Russia wengi ni weupe kichwani,wao wanachojua ni Supersonic Missile na nuclear tuu. Kuna mmoja anakwambia U.N Security Council ikipiga kura kunakuwa na session ya Wale 5 permanent members kupiga kura kivyao wao kama wao.
Wewe mweupe...Baada ya jibu umerudi!!?? Kenge maji wewe.... Njoo tena KIZEMBE ... Mi sijibiwi kikahawa.... Ukinichallenge jipange... Lakini nikikujibu kachumbali fresh ukilet viazi maisha yanaenda ...ila ukija na madharau ..ntakujibu utapotea ...nimekujibu nipe majibu !!? Mimi ndio mtoto wa nzi... Nimezaliwa kwenye minuko ...
Teh teh teh Mrusi aliepo Buza kwa Mpalange kwa shemeji yake anakwambia NATO na U.S wanamuogopa Urusi anaetolewa kamasi na Ukraine Mwezi sasa.Mzee hivi unajua kwanini NATO na USA wanaogopa kuingia vita na Russia!? Hivi unaichukulia Russia kama Libya au Iraq!?
Warusi technology yao siyo ya dunia hii, wapo mbele miaka 20. S-300 ilitengenezwa 1978 lakini mpaka sasa ni tishio.
MBONA MATAIFA ZAIDI YA 40 YAKIONGOZWA NA MAREKANI YALIPIGANA NA KIKUNDI KIDOGO CHA TALBAN ZAID YA MIAKA 20 NA YAKACHEZEA KICHAPO MPAKA WAKAKIMBIA KWA KUDANDIA NDEGE HA HA HA HA HA HA HA MATAIFA HAYO HAYO YANAMUOGOPA MTU MMOJA TU AMBAYE NI PUTIN HA HA HA HA HAVita hii so far ina matokeo ya David na Golliati. Nchi kama Urusi wiki ya kwanza tu ya vita mkuu wa Special force anauwawa aibu gani hii.
Teh teh teh Mrusi aliepo Buza kwa Mpalange kwa shemeji yake anakwambia NATO na U.S wanamuogopa Urusi anaetolewa kamasi na Ukraine Mwezi sasa.
Nimekuuliza swali kwanini NATO na USA wanaogopa!?
Nimekuuliza swali kwanini NATO na USA wanaogopa!?
MBONA MATAIFA ZAIDI YA 40 YAKIONGOZWA NA MAREKANI YALIPIGANA NA KIKUNDI KIDOGO CHA TALBAN ZAID YA MIAKA 20 NA YAKACHEZEA KICHAPO MPAKA WAKAKIMBIA KWA KUDANDIA NDEGE HA HA HA HA HA HA HA MATAIFA HAYO HAYO YANAMUOGOPA MTU MMOJA TU AMBAYE NI PUTIN HA HA HA HA HA
UNACHOKITAFUTA UTAKIPA!Kama hawa viongozi wetu wa Kislam?View attachment 2163317
Swali lingine la kipuuzi linaloulizwa na vilaza mara kwa mara ni Kwa nini USA inaiogopa Korea Kaskazini ya KidukuNimekuuliza swali kwanini NATO na USA wanaogopa!?
Mmeanza jiteteaPoland wametuma vifaa vya vita Ukraine
USA wametuma vifaa vya vita Ukraine
NATO kwa ujumla wao.
Hapo bado na Missionaries na Jeshi na vifaa alivyonavyo Ukraine, lakini moto ameupata na watu wamesogea vizuri.
Hili ni Pigo la Pacific, Russia kapiga na kuchakaza Wote na bado wanaangaika kuanza kuongeza budget za Military na Security zao.
Russia hapo kapigana na USA,Ukraine, British, Germany, Poland afu unakuja kusema Russia sio kitu, Hata kama Asipo shinda, Ila amewatoa jasho kweli kweli, Vikao haviishi, sanctions haziishi.
Urusi ametia aibu dunia...Askari wao wanagongwa vinyundo na mgambo wa Ukraine wanaachia mashine kuwa chuma chakavu 🤣🤣
viranja wa dunia wanao tuliza moto kwa kumwagia mafuta ya taa.Yaani mnafanya issue serious kama hii a case of Simba na Yanga,ajabu sana.This is a life and death scenario,don't simplify it,we all need to pray,so that God can have mercy on us,s
o that it does not escalate further.