Mwambieni Yerrico huko aliko ni kwamba Putin alivyosema leo eti gesi na mafuta yake yatanunuliwa tu kwa hela yao ya ndani - ni kichekesho. Kwanza hela yenyewe hata mie siijui..afu kuna mikataba wazi kwamba watalipa kwa uro na dola.
Wakuu yaani hela yao haijulikani jamani.. yaani Putin ashaanza kunyooka, tunzeni post hii
G7, US, Nato leo walikuwa na kikao...jamaa hachomoki...
You can not exist in this world on ur own...eti China maweeeee
Sababu kuna mikataba kwamba watalipanlwa kwa uro na dola tu ....labda kama kuna mikataba mipya.
Mwambieni kauli za Rais si sheria..labda kwa hapa Tz.