Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Majeshi ya Urusi yaliyoko vitani Ukraine sasa yanatumia mbinu ya kujilinda zaidi badala ya kushambulia kama siku za mwanzo.

Kadhalika inasemekana majeshi ya Urusi yamepungukiwa chakula na mafuta.

Taarifa za kijasusi zimeeleza kutokea Pentagon.

Source: BBC
inaitwa counter target
 
Huoni aibu kuandika habari ya kutoka source kama BBC?
 
Kuhusu shambulio kwenye bandari ya Berdyansk (tazama video juu kidogo):

Ukraine said on Thursday they destroyed Russian navy landing ship Orsk in an attack on a Russian-occupied port facility in the city of Berdyansk.

Ukrainian officials didn’t say how the attack was carried out, but video shows other Russian vessels fleeing the area as smoke rises over the port, The Wall Street Journal reported.

Berdyansk is one of the few cities Russia has been able to seize since the start of the war, though Ukrainian citizens regularly protest the invading soldiers.

When the Orsk arrived on Monday, Russia's army TV station Zvezda boasted of their new capabilities.

“The southern flank of the special operation can now receive anything, including armor and ammunition, at any time,” Zvezda said at the time, per the Journal. “The port, and the entire city, are under reliable protection of the Russian air defenses.”

Russia did not confirm the attack on the ship.
Chanzo: Ukraine says Russian landing ship destroyed
 
Mkuu mimi si kipokopi ovyo.. Umetaka kuonyesha unajua sana.
Sasa jua kwamba makombora ya bara hadi bara sio lazima yatoke USA moja kwa moja. Yanaweza kutokea baharini (Submarine) kwa umbali mdogo sana wa nchi husika, hizo km ni yaliyo ardhini tu.
USA anaweza kupiga kombora la nyulkia Russia kutokea bahari ya japan,(3,000km) likitoka kwenye nyambizi.
Mkuu naona bado upo ndotoni amka usije kujikojolea, hivi kwa akili yako kabisa unategemea Vita kamili ianze halafu Japan awe upande wa USA amabaye aliua watu wake maelf kwa maelf kwa mabomu ya Nyuklia basi labda siku hiyo Viongozi na Wananchi wote wawe wamelala kama wewe.
Mkuu mimi si kipokopi ovyo.. Umetaka kuonyesha unajua sana.
Sasa jua kwamba makombora ya bara hadi bara sio lazima yatoke USA moja kwa moja. Yanaweza kutokea baharini (Submarine) kwa umbali mdogo sana wa nchi husika, hizo km ni yaliyo ardhini tu.
USA anaweza kupiga kombora la nyulkia Russia kutokea bahari ya japan,(3,000km) likitoka kwenye nyambizi.
Mkuu hivi unategemea Vita kamili ianze na Japani ambaye watu wake waliuwawa maelf na maelf kwa mambomu ya Nuclear na USA,awe upande wa USA labda siku hizo viongozi na Wananchi wa Japan warogwe.

Iwapo vita kamili ikitokea Nchi pekee kutoka Asia inayoweza kuwa upande wa USA ni South Korea-na sidhani kama wataweza Ku support kwa chochote maana Kiduku atakuwa anawapumulia kisogoni,China na Japani kwa pembeni.
 
Sijui kama imeshapelekwa hapa? Inaonekana Ukraine ilifaulu kuharibu meli ya kivita ya Urusi katika bandari ya Berdyansk; hii ni bandari ya Ukraine iliyotekwa na jeshi la Urusi wiki 2 iliyopita na kutumiwa sasa na wanamaji wa Urusi.
Video ni taarifa ya BBC.
Inafaa kuangalia tofauti kati ya propaganda (jinsi wengi hapa wanapendelea kuonyesha) na habari: hawadai hicho au kile kimetokea, wanasema wamepokea picha na habari kutoka kwa nani, hawadai kwamba wamethibitishwa kila kitu, wanaonyesha hitimisho yao kama wanahabari. Angalau ufundi wa uanahabari jinsi inavyotakiwa.

Mbona maelezo yako ni mengi na hayana uhusiano na habari uliyoileta.

Habari ni kwamba BBC wamepokea video kutoka Ukraine ikionesha meli inayodhaniwa ni ya Urusi ikishambuliwa, wameeleza habari haijathibitishwa. Ni simple tu hivyo.
 
Propaganda tu hizo za western na Nato na Media zao.kipigo wanachopata ukraine sio cha kawaida kama unasikia huko Mariupol mji umezingirwa wananchi hawana chakula.Population yao ilikuwa laki nne wameondoka wamebaki laki moja nao wanaomba kuondoka Russia anakataa.pia ujue kiini cha Russia kuivamia Ukraine sio kuikalia wao wanawapa kichapo hadi watakapokubali kutojiunga na Nato.Hata leo ukraine akisema hajiungi Nato vita vitasimama.Pia ujue kuwa jeshi la ukraine sio bovu ni jeshi imara tu.
WARUSI WEUSI BANA WAO WANATAKA HABARI KUWA URUSI INASHINDA NDO WANASEMA HABARI ZA UKWELI, NI MWEZI SASA WATU WANATAPATA PALE UKRAINE😂😂😂
 
Mbona maelezo yako ni mengi na hayana uhusiano na habari uliyoileta.

Habari ni kwamba BBC wamepokea video kutoka Ukraine ikionesha meli inayodhaniwa ni ya Urusi ikishambuliwa, wameeleza habari haijathibitishwa. Ni simple tu hivyo.
Mimi nimejifunza ni uanahabari bora kama mwanahabari anasema waziwazi hali ya habari yake ni nini (pamoja na kutangaza makosa kama yanatokea). Ambayo kweli si hali ya matangazo mengi (nisiyaite "habari") katika thread hii.

Lakini nilicholenga ni kweli kuona kwamba Ukraine walifaulu kupiga jeshi la maji la Urusi , tena katika bandari waliotangaza ni "salama".
 
Western media BBC, CNN, ABC, DW habari zao ziko biased, tafuteni habari za arabya na aljazeeza.
Al jazeera haina utofauti na BBC. Hawajaanza kuegemea magharibi kwenye mzozo huu tu kuna historia ndefu ya al jazeera kutumika kueneza propaganda kuanzia vita vya Iraq mwanzoni wa miaka ya 2000, Libya, Syria na sasa Urusi.

Habari za palestine ndio kidogo wanajitahidi kubalance.
 
Back
Top Bottom