Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Narudia tena kuuliza Nato wanaogopa nini kuingia Ukraine? Zelensky rais wa nchi ameomba msaada. Wanasita sita nini? Tumechoka na vipicha picha, matusi na majigambo humu. Nato waingie ulingoni kumsaidia Zelensky
Mgogoro utakuwa wa dunia
 
Kaona aibu sababu madhara yake ni kama mabomu ya kutengenezwa majumbani na Wapalestina. Madhara yake hata haifikii tomahawk missile za U.S
H
Ndio utetezi mliobaki nao kana kwamba hizo nuclear anazo Russia peke yake
Elewa jambo moja, silaha zote zilizotengezwa zitakuja kutumika siku moja bila kujalisha uharibifu utakaotokea. Nashangaa humu watu kama wewe unafikiri vita ya Urusi na NATO ni kama mpambano wa masumbwi silaha ngumi au vita za akina jumong. Vita ya tatu ni vita ya nuclear na silaha za kibailojia na so far mpaka Russia ni nchi yenye nusu ya silaha za Nuclear duniani.

Kama vita sio silaha mbona Usa hawakuomba kupingana ngumi na Taliban badala take wakatumia mabomu.
 
Urusi ametia aibu dunia...Askari wao wanagongwa vinyundo na mgambo wa Ukraine wanaachia mashine kuwa chuma chakavu [emoji1787][emoji1787]

Halafu mtu anawasifu!!
20220324_230359.jpg
 
huo ni mtazamo wake tu sina buni kuuheshimu japo mi nadhani hauna ukweli wowote, alafu katika maraisi wote waislamu waliopita sijaona hata mmoja alieegemea kwenye udini sana, naaliyetufungulia milango ya uchumi wa nchi hii bila shaka ni mwinyi ambaye ni muislamu pia...by the way mm mambo ya dini huwa sipendi kuyajadili sana kila mtu atabeba msalaba wake, mm mwenyewe nimetoka kwenye familia baba alikuwa mkristo mama muislam,mm nimeangukia kwenye uislam sister ameolewa na mkristo, dogo ndio hata simuelewi ni dini gani nikamavile anapiga kotekote...
heheee eti dogo simuelewi dini gani[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?

Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?

Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
kupata jibu lililonyooka ni mpaka uwaulize NATO wenyewe ndio wanajua mbivu na mbichi...ila kwamaoni yangu nadhani madhara yatakuwa makubwa sana kuliko ww1&2 kutokana namatumizi ya nuklia weapons...hizo nyuklia ni hatari mno babu likiangushwa dar pale nahivi hakuna hata milima mpaka morogoro watalisikiliza...so wakiweka tu no fly zone watakuwa wameikaribisha ww3
 
Mwaka huu mtakataa kila kitu hadi picha za RT mtazikataa. Ukimaliza kui Photoshop tuambie.
Hahah unatumia nguvu nyingi sana mkuu. Chochote unachokiona mtandaoni as long as kipo against russia wewe mbio unakileta hapa. Yaani almradi umejibu.
Ignored [emoji1787]

Mariupol's gone and that was Putin's move. Biden, its Your time old man, whatchu gat!?



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nataka Putin anyooshwe, niende RT kufanya nini? Huna uchungu na vifo vya watu? Siku babako akifa utanielewa.
baba angu yuko vitani kwani?
dogo acha wenge watu wako bize kutafta njia na kumhandle kichaa putin apelekwe mirembe au lutindi
 
Back
Top Bottom