Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fighter #Vsu provides assistance to a wounded Russian soldier
 
hakuna mzee watu walipigika bhana tuuseme ukweli japo ni mchungu miaka 20? umri wa mtu huo

Makampuni karibu yote makubwa ya kutengeneza silaha USA wenye share nibaadhi ya Viongozi, Wayahudi na Magenerali wastaafu na waliopo na familia zao. Kulikuwa na majeshi binafsi ya wanajeshi waliomaliza utumishi wao yakipewa tender mbalimbali kwenye hiyo vita. Vita hiyo ilikuwa ni biashara flani ya wenye dunia yao na fedha za Wamarekani zimeliwa kisawasawa na wajanja. Jaribu kutafuta ujue deni China wanalo mdai USA ndio utanielewa. USA eti wametelekeza silaha za thamani zaidi $90B Afghanistan na kuziacha mikononi mwa Talliban inangia akili hiyo? Jieongeze.
 
Yaaan wew jamaa ni muongo sana Yuan 1 hapa kwetu 360 Kuwait Dinar moja ni sawa na Tsh 7200 mpaka hapo maelezo yako ni uongo

Screenshot_20220324-232323.jpg


Hiyo ni 7200???? Na Kwenye hayo maelezo juu unaweza kunionesha neno Yuan nilipoliandika?
 
narudia tena dogo tuliza wenge
ilichukua muda gani hadi Hitler akatulizwa?
Braza, mbona Gadafi na Saddam tuliwaweza chap? Pale Ukraine madhara ni makubwa mpaka sasa, kumbuka wamechukua crimea na bado luhansk na Donetsk. Hapa nnapoandika mariupol ni majivu matupu, na haya ni maneno ya Zelensky mwenyewe.

Je Nato wanataka nini zaidi ili waingie? Mbona walisema makomandoo wa SAS kutoka uingereza na wale wa US ni hatari.

Tuweke ushabiki pembeni braza.
 
Dmitry Kropachev, a native of the village of Travniki, Chelyabinsk region, died suddenly in Ukraine. Let's remember the "hero"
 
Uko nje ya ufahamu!! Hujui kuwa USA ana kituo cha kijeshi japan!!

Ndio maana mnabishabisha kumbe weupe..
Hujui pia nyambizi za nyuklia ziko maeneo tofauti pembezoni mwa Japani...
We jamaa ni kwamba huelewi au ume opt kutoelewa au unaongea kwa ushabiki.Kwani kuna MTU asiyejua kuwa USA wana kituo cha kijeshi Japani.
Mie nimekuuliza swali dogo,iwapo ikitokea Vita kamili yani WW3 unategemea Japani amuunge Mkono USA aliyeua maelf wa Raia wake kwa Mabomu ya nuclear???
 
▪️Western media cannot talk about the fact that the Ukrainian army has been shelling Donetsk and Luhansk for eight years now.
Mpendwa, unaonaje ukijaribu kunyosha taarifa zako kabla ya kukopi-paste? Nani anasemi haziwezi?????
Ona Guardian, Uingereza:"Ukraine's shelling could have irreversible consequences, says Russia"
Ukraine's shelling could have irreversible consequences, says Russia

Ona BBC "Ukraine crisis: Heavy shelling continues around Donetsk"


Haikuwa vigumu kupata mifano hii ya kinyume. Ila media isiyo "Western" imeona pia upande mwingine:

Aljazeera kuhusu waasi wa Donetsk kupiga vijiji na watu raia upande wa Ukraine ‘They shoot, we hide’: Life amid shelling on Ukraine’s front line

Kuna taarifa zaidi za SMM = watazamaji rasmi wa OSCE walioangalia hali ya kusitisha mapigano kwenye Donbass tangu 2014. Nimetoa hapa mfano wa taarifa 1 ya 2020. Walitazama kwamba pande zote mbili zilivunja mapatano kuhusu silaha zisizotakiwa kuwepi kwenye Donbass ila wanataja idadi kubwa ya silaha hizo (mizinga) iko upande wa waasi wanaosaidiwa na Putin ("maeneo yasiyo chini ya usimamizi ya serikali" = Kiev)
ona
1648153735696.png
 
Braza, mbona Gadafi na Saddam tuliwaweza chap? Pale Ukraine madhara ni makubwa mpaka sasa, kumbuka wamechukua crimea na bado luhansk na Donetsk. Hapa nnapoandika mariupol ni majivu matupu, na haya ni maneno ya Zelensky mwenyewe.

Je Nato wanataka nini zaidi ili waingie? Mbona walisema makomandoo wa SAS kutoka uingereza na wale wa US ni hatari.

Tuweke ushabiki pembeni braza.
kwan ukraine iko NATO dogo hebu fanya analysis zako vizuri kabla hajauliza hayo maswali
 
We jamaa ni kwamba huelewi au ume opt kutoelewa au unaongea kwa ushabiki.Kwani kuna MTU asiyejua kuwa USA wana kituo cha kijeshi Japani.
Mie nimekuuliza swali dogo,iwapo ikitokea Vita kamili yani WW3 unategemea Japani amuunge Mkono USA aliyeua maelf wa Raia wake kwa Mabomu ya nuclear???
Atamuunga mkono sana tu.
 
Makomandoo wa SAS na wale wa US, kwanini wasiingie Ukraine kumaliza mchezo? Wanatuma mamluki na silaha tu hii haitoshi. Zelensky amehutubia nchi 8 mpaka sasa, kila siku anaomba msaada, wao ni vikao tu visivyo na maana
Mda wa kumnyoosha Putin umefika.
Wanajua capability ya Russia ndio maana hawaendi acha hizo muvi tunazoangalia acha picha na video za mazoezi wanayoonyesha, real war iko tofauti
 
Mkuu kigezo kipi au data zipi unatumia kusema kuwa watu wa urusi wana maarifa zaidi ya watu wa nchi za NATO?
Kwani kinacho sababisha NATO countries kutopelekea askari kutomsaidia Ukraine kijeshi ni nini????.Jibu ni Simple wote wanamuogopa Russia,na kwa nini wanamuogopa-sababu yupo vizuri kijeshi kuliko wao na yupo vizuri kijeshi sababu ana watu wana maarifa zaidi ya kuunda slaa mbalimbali za maangamizi.
Unahitaji ufafanuzi zaidi??
 
in general, can the idea come to mind, to drive a tank across such a bridge?
 
Mpango wa siri wa Poland kupeleka askari 10,000 wa kulinda amani Ukraine umeliki. Russia imewaambia wajaribu kuingiza pua zao Ukraine hata kwa mita 10 tu, Russia itaigeuza Poland kuwa majivu na vifusi ndani ya sekunde 2 tu.

Kichapo kitahusisha makombora ya haipasoniki (hayazuiliki na mifumo ya anga), na Russia ipo tayari kutumia vichwa vya nyuklia dhidi ya Poland na nchi za Baltic (Estonia, Latvia na Lithuania).

Natamani Poland ajichanganye apeleke askari Russia impatie zawadi yake, maana Poland ina kiherehere utadhani binti aliyevunja ungo hivi punde tu.

=====

View attachment 2162975
View attachment 2163001
litamkuta jambo huyo KENGE
 
We are receiving more and more messages from the regions of Russia about agendas “on issues of military registration” even to those who have long passed the military age (35-45). Already upon arrival at the military registration and enlistment office, they offer to sign a short-term contract, they try to lure with money, benefits
 
Back
Top Bottom