Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Braza kwanini Nato vikao ni vingi kuliko vitendo? Majeshi ya mvamizi yapo Ukraine mpaka leo, hatujui wataondoka lini... kwann NATO wasiingie ndani kuwatoa?
AKILI UNAZO LAKINI?? NATO AINGIE KAMA NANI? UKRAINE UNAJUA KUWA SIO MWANACHAMA WA NATO?? ACHA KUFIKIRI KWA KUTUMIA UBONGO WA NYUMA

NATO HAINA SABABU ZA MSINGI KUINGILIA VITA ILA NA KAMA ANAWEZA AJARIBU KUTUPA BOMU HATA KWA BAHATI MBAYA KWA MOJA WA WASHIRIKA WA NATO, UTAONA MZIKI


HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU😂😂😂😂
MWEZI SASA UNAISHA
 
Hiyo hypersonic imemsaidia nini Urusi mpaka muda huu?
Ni mara ya kwanza kwa hypersonic missile kutumika toka dunia kuumbwa, ikumbukwe lina range ya zaidi ya 2000km maana yake tayari lime leta tumbojoto kwa NATO.

Pia accuracy ya 1mile na linaweza kubeba nuclear heads.

Vita kama hii ikitokea nchi kubwa hutumia kama njia ya kuonesha ubabe na mabavu ukiachana na primary aim.
 
Masikini Zelensky wanamuacha mkiwa na vimisaada uchwara. Tunaomba Nato waingie Ukraine kumzima Putin, maana huyu Putin amezidi ubabe.
Hasara inayoendelea pale ukraine, ni tofauti na propaganda za media. Ndio maana Zelensky anaomba msaada kila leo.
HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU😂😂😂

MWEZI SASA UNAISHA😂😂😂
 
GANGA ZUMBA NA UZUMBUKUKU WAKE ......BICHWA KUBWA HALINA KITU ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

......ukraine yote inaungua we unatuletea vipicha viwili vitatu vya makamanda wa urusi hiyo ndo kazi yao wameondoka kishujaa ....ebu leta na picha au video za ukraine zenye sehemu ambazo ni salama kwa raia kukimbilia ndani ya hiyo nchi ....weka hata kapicha kamoja hapa ......yukrain inawaka moto .....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
kama inawaka moto kwanini uquote comment yangu 😂😂😂
vipi zile meli zenu vitu zilizozamishwa jana mna mpango gani wa kuzitoa majini 😂😂😂
 
❗️ UPD around the special operation in Ukraine. What is known by the morning of March 25:

About refugees:
▪️The number of people evacuated to Russia from Ukraine and Donbass exceeded 400 thousand people, and 2.2 million arrived in Poland. Zelensky calls the figure 10 million: according to him, that is how many people left their homes.

About Russian politics:
▪️The decision of the NATO summit to continue supporting the Kiev regime confirms the alliance's interest in further military actions - Russian Foreign Ministry.
▪️Restrictions only bring people together, and "this is the weak point of these stupid sanctions" - Medvedev.

On Ukrainian politics:
▪️The Verkhovna Rada has introduced criminal liability for disseminating information about the movement of Ukrainian troops - up to 12 years in prison are provided for this.

On the politics of the West:
▪️Biden spoke in favor of excluding Russia from the G20 and offered to provide Ukraine with the opportunity to participate in G20 meetings
▪️Western countries may start rearmament of the Ukrainian Armed Forces after the completion of the Russian military operation - Johnson.

About sanctions:
▪️Canada imposes sanctions on 160 members of the Federation Council of the Russian Federation - Trudeau.
▪️Japan has expanded sanctions against Russia due to the situation in Ukraine and the ongoing military operation.
The UK has imposed sanctions on 59 individuals and legal entities from Russia, including German Gref and Oleg Tinkov.

About business:
▪️The Western Union payment system has stopped making money transfers in Russia since March 24.
▪️Apple limited payments with Mir cards and began to gradually remove previously added cards from Apple Pay.

About finances:
▪️The rise in food prices around the world, caused by the reaction of Western countries to the events in Ukraine, could provoke food riots in the world's poorest countries - the WTO.
 
Back
Top Bottom