Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇷🇺FM #Lavrov: Instead of the international law, our Western colleagues started to demand everyone to respect the “rules-based order” and follow these “rules”. Nobody shows those “rules” because they don’t exist, they are invented anew for each particular case
 
IMG_20220325_084722_695.jpg

Another gem from Kiev: apparently, the Ukrainian National Guard tweeted an infographic claiming that the Eastern European country had been bombed more heavily in 22 days than Syria in the past 5 years. They may have deleted the tweet but the Internet remembers.

ICYMI: The Kiev regime has been deleting a lot lately: just yesterday, the Ukrainian parliament had to take down a tweet comparing Kharkov to Hamburg in Nazi Germany
 
Kwahiyo akiendelea kuua kwa style hii ya sasa hataingilia?
Gadafi akitumia chemical na biological weapons ndio maana US. alirespond?
Mrusi anafanya operation maalum ya kijeshi. Imeingia mwezi wa pili sasa, nadhani wanachokitaka ni Urusi atumie muda mrefu akiendelea na operation kwa maslahi yao, sasa hizo weapons zitamaliza operation haraka.

US na NATO wakitaka hili jambo liishe linaisha maana masharti ya Puttin yanajulikana na Ukraine inapopategemea panajulikana ila hawataki kuifupisha, kwanini? Haijulikani.
 
AKILI UNAZO LAKINI?? NATO AINGIE KAMA NANI? UKRAINE UNAJUA KUWA SIO MWANACHAMA WA NATO?? ACHA KUFIKIRI KWA KUTUMIA UBONGO WA NYUMA

NATO HAINA SABABU ZA MSINGI KUINGILIA VITA ILA NA KAMA ANAWEZA AJARIBU KUTUPA BOMU HATA KWA BAHATI MBAYA KWA MOJA WA WASHIRIKA WA NATO, UTAONA MZIKI

HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MWEZI SASA UNAISHA
Mjomba naomba kuuliza, Nato waliingia libya kama nan? Gadafi alirusha bomu kwa mwanachama wa Nato?
Kikao cha dharula cha nato jana kuijadili ukraine, je walijadili ukraine kama nani? Ikiwa si mwanachama?
Na je wanatoa misaada ya nini? Ndio maana tunasema waingie wakapigane, wasitume silaha tu.
Swali la mwisho, je Nato ni kikundi mchongo cha waoga?
 
Acha gadafi auwawe maana alimsaidia Nduli Idd Amini kijeshi na silaha kwenye vita ya kagera
 
NATO NI genge la Majambazi wapuuzi sana
Mjomba naomba kuuliza, Nato waliingia libya kama nan? Gadafi alirusha bomu kwa mwanachama wa Nato?
Kikao cha dharula cha nato jana kuijadili ukraine, je walijadili ukraine kama nani? Ikiwa si mwanachama?
Na je wanatoa misaada ya nini? Ndio maana tunasema waingie wakapigane, wasitume silaha tu.
Swali la mwisho, je Nato ni kikundi mchongo cha waoga?
 
Mjomba naomba kuuliza, Nato waliingia libya kama nan? Gadafi alirusha bomu kwa mwanachama wa Nato?
Kikao cha dharula cha nato jana kuijadili ukraine, je walijadili ukraine kama nani? Ikiwa si mwanachama?
Na je wanatoa misaada ya nini? Ndio maana tunasema waingie wakapigane, wasitume silaha tu.
Swali la mwisho, je Nato ni kikundi mchongo cha waoga?
Hawawezi kulijibu swali hili.
Tumewauliza mara nyingi.
Sasa US. anajikakamua tu haamini kuwa ufalme wake umeisha
 
Huyo mtoto mdogo achana nae,yeye anajua NATO imeundwa kwa ajili ya kupigana na Urusi tuu bila principle na sheria. Ndio maana nimemwambia akikua ataacha.
Mjomba yule dogo ana hoja, ikiwa Ukraine si mwanachama na Nato hawezi kumsaidia, je kwanini wanatuma misaada? Kwanini wanakaa vikao vya dharula kujadili?

Mbona central Africa kuna vita lakini nato hawaendi kutoa msaada? Mbona Yemen hawaendi? Kwann ukraine?

Dogo anauliza instead ya kupeleka misaada na mercenaries waingie directly wakinukishe.
 
EU wanatamani hata leo vita iishe, ila hawana uwezo huo wa kuifupisha/maliza kwa kuwa ni madhaifu
Ninavyoona mm ni hawataki kuimaliza hii vita na kuanzisha vita ya dunia na pia hawataki mrusi aache kupigana, ndio sababu ya kutoa msaada ulio na lengo la kurefusha maisha ya uwezo wa kudefence wa Ukraine na si kushinda.
 
MOFA: China urges U.S. and NATO to engage in dialogue with Russia​

China called for the U.S. and NATO to engage in dialogue with Russia to resolve issues related to the ongoing Ukraine crisis, according to a foreign ministry spokesperson at a press briefing on Thursday.

Wang Wenbin, the spokesperson of China's Ministry of Foreign Affairs, refuted certain countries' accusations of misinformation against China, and said that China has always maintained an objective and fair stance on the Ukraine issue.
 
So long as Hawa Ni BBC hizi Ni propaganda tu
tukakaa hivi hivi kwamba hizi ni propaganda kumbe mambo yamebadilika - hakuna yoyote aliyedhani vita hii itakuchukua siku 30 - hata Putin mwenyewe haamini.

Kuondoka huko hawezi kabisa maana itaonekana kashindwa, kwa hiyo kinachokwenda kufanyika ni makubaliano ya kumaliza vita na Ukraine moja kwa moja kujiunga NATO - na Mrusi kudhoofu ki-uchumi na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Putin - game over
 
Mjomba naomba kuuliza, Nato waliingia libya kama nan? Gadafi alirusha bomu kwa mwanachama wa Nato?
Kikao cha dharula cha nato jana kuijadili ukraine, je walijadili ukraine kama nani? Ikiwa si mwanachama?
Na je wanatoa misaada ya nini? Ndio maana tunasema waingie wakapigane, wasitume silaha tu.
Swali la mwisho, je Nato ni kikundi mchongo cha waoga?
Huenda tabia ya kufungua duka la nyama sababu jirani alifungua duka la nyama ndiyo inayotuongoza kufikiri hivi. Au kununua Ist sababu wengine wanazo. Ninachomaanisha ni kufanya jambo kwa mtindo ule ule uliofanyika kabla sababu ndivyo ulivyofanyika.

Libya si Ukraine, Gadafi si Puttin. Mtindo wa kuidhoofisha libya haufanani na mtindo wa kuidhoofisha urusi. Njia na mbinu watakazotumia haziwezi zikafanana sababu hizo nchi hazifanani na mazingira na muda ni tofauti.

US/NATO wanachotaka ni kuidhoofisha Urusi kadri watakavyoweza, na ndicho kinachoendelea ila hawawezi kufanya kwa mtindo uliotumika Libya. Kama sivyo, Puttin angekuwa kamaliza operation yake muda tu.
 
Back
Top Bottom