Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wafuasi wa Putin wa kuupuzia tu. Hawa watasujudi tu kwa mungu wao Vladimir daima milele. Deaf ,dump and blind they comprehend nothing-Al bakarah 2 171.
And you black man, a slave, poor, empty minded..you will always bow down to your slave master forever! Better shut up your ruthless mouth as it pour out rubbish!!
 
Uchambuzi wa kipuuzi huu, vita ya mwezi mmoja ifilisi nchi kama Russia? Nenda google mpaka hana EU wanalipa kiasi gani kwa nushati ya Russia? Umevimbiwa mihogo conclusion za ajabu, Pumbavu

Uchambuzi wa kipuuzi huu, vita ya mwezi mmoja ifilisi nchi kama Russia? Nenda google mpaka hana EU wanalipa kiasi gani kwa nushati ya Russia? Umevimbiwa mihogo conclusion za ajabu, Pumbavu.
Nani kakwambia mwezi mmoja? unajua vikwazo zinaisha lini? unajua ndani ya mwezi mmoja Urusi kaathirika kwa kiasi gani kwa vikwazo alivyowekewa? unajua uchumi wa Urusi unategemea nini hasa? na ni watu gani hasa ndiyo wateja wake wakubwa? Unajua kipi kimemsukuma Putin juzi kasema kwamba kila anayenunua old na gesi yake ni lazima alipe wa hela ya kirusi unafikiri ni kwa nini? unafikiri bila kufanya biashara na EU, US na UK mbeleni je Uchumi wa Urusi hautaathirika ?
 
Pamoja na kuwa bei ya mafuta sasa ipo juu (ukiuza wapata faida zaidi) na kuna uhitaji mkubwa wa mafuta Marekani, makampuni ya uchimbaji mafuta ya Marekani yanashindwa kukimbilia fursa hiyo ya kuzalisha mafuta mengi ili kuokoa raia wa Marekani wanaopumulia mipira kutokana na ughali wa mafuta.

Sababu yatajwa kuwa makampuni mengi yamefilisika, kutokana na kipindi kilichopita yalizalisha mafuta kwa wingi zaidi, bei ya mafuta ikaporomoka kiasi kwamba makampuni yakapata hasara kubwa. Sasa hivi wanapambana warudishe angalau mitaji yao kupitia bei hii ghali ya sasa ya mafuta huko Marekani.

Nasubiri 'Povu' toka kwa waMarekani wa Tandahimba

=========

SmartSelect_20220325-093724_Chrome.jpg
Screenshot_20220325-093827_Chrome.jpg

Screenshot_20220325-094738_Chrome.jpg
 
Mwambieni Yerrico huko aliko ni kwamba Putin alivyosema leo eti gesi na mafuta yake yatanunuliwa tu kwa hela yao ya ndani - ni kichekesho. Kwanza hela yenyewe hata mie siijui..afu kuna mikataba wazi kwamba watalipa kwa uro na dola.

Wakuu yaani hela yao haijulikani jamani.. yaani Putin ashaanza kunyooka, tunzeni post hii

G7, US, Nato leo walikuwa na kikao...jamaa hachomoki...

You can not exist in this world on ur own...eti China maweeeee

Sababu kuna mikataba kwamba watalipanlwa kwa uro na dola tu ....labda kama kuna mikataba mipya.

Mwambieni kauli za Rais si sheria..labda kwa hapa Tz.
PUT IN ni RAIS wewe nani?
 
Kuna tofauti kuwa sana kati ya ari ya majeshi hayo mawili. Raia wa Ukraine wanapigania uhai wa nchi yao kama taifa huru, wakishangazwa na hotuba ya mkesha wa vita ya Rais Putin ambapo alisema kuwa Ukraine ni nchi bandia iliyoundwa na Urusi

Wananchi wa Ukraine wameunga mkono serikali yao na rais wao. Hii imesababisha raia wasio na uzoefu wa kijeshi kuchukua silaha kwa urahisi ili kulinda miji yao licha ya nguvu kubwa ya kijeshi kutoka kwa Urusi

"Hivi ndivyo watu wanavyopigania kuwepo kwao," anasema Brigedia Tom Foulkes, ambaye alihudumu miaka 35 kama afisa wa Jeshi la Uingereza nchini Ujerumani wakati wa Vita Baridi. "Hivi ndivyo wanavyolinda nchi yao na familia zao.

Ujasiri wao ni wa kushangaza na wa kupendeza."

Hatua hiyo imewaweka huru askari wa Kiukreni kwenda kupigana kwenye mstari wa mbele, wakijua miji yao ina ulinzi wa kina.

Kinyume chake, wanajeshi wengi wa Urusi waliotumwa kupigana nchini Ukraine ni askari waliotoka shuleni, wamechanganyikiwa kwa kujikuta katika eneo la vita wakati walidhani walikuwa wakiendelea na mazoezi tu.

Wengi walikuwa na maandalizi kidogo ya vita au hawakujua lolote kwa ajili ya ukali wa mapigano waliyokumbana nayo.

Kumekuwa na ripoti za wengine kutoroka jeshini, uhaba wa chakula na uporaji.

URUSI inajuta sasa. ukiinama mshale ukiinuka Nshale.
 
Embu ngoja kwanza nichekee! Rais Zelensky ndie mkweli sio takataka zingine? Mwezi mzima watu wapo ndani kwako wanakutandika unasema ujasiri? Ingekua ujasiri Nato wangeingia wao kumsaidia.
 
Unajizima data sio?watoto wawili wanajipungia mkono maana hao hata ndege zikipita juu huwa wanapinga Leo mnaandika eti raia wa UKRAINE?Wa Ukrainian sio wanafiki wamesimama na Raisi wao hata mlivyomuona Ni comedian wapo nae

Haijawahi tokea duniani wananchi wote kumuunga mkono raisi wao kitu ambacho hujui ni kwamba wapo wananchi wamempinga rais wao kwa kushindwa kumalizana na Russia kwa njia ya mazungumzo na kuingiza nchi vitani akiwa anajua ana backup ya NATO mwisho wa siku NATO wako pembeni na Ukraine inazidi kuharibika ila raia hao hutawaona kwenye media sababu media zimeamua kuandika habari wanazotaka wao.

Fikiri sawa sawa, usije kudanganyika kwamba wananchi wote wa Ukraine wanamuunga mkono rais wao haipo na haitawahi kutokea nchi yoyote duniani kumuunga mkono rais.

Hata hapa Tz itokee vita kuna watu watafurahia nchi inashambuliwa kwa sababu wanazozijua wao na wapo watakaomuunga mkono rais kwa kupeleka nchi kwenda vitani.

Nakushangaa wewe unayeamini kwamba nchi nzima inamuunga mkono rais yani umeaminishwa na media na wewe bila kufikiri ukaamini ni jambo linawezekana

20220325_101208.jpg
20220325_101222.jpg
 
Russia warudi tu nyumbani hamna wanachokifanya Ukraine kama ni vita wameshashindwa uwezo wao wa kijeshi ulitiwa chumvi, Urusi ya kweli ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin.

Anaua watu wasio na hatia bure kabisa kwa upumbavu wake, lazima afikishwe mahakamani The Hague kwa uovu aliofanya. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom