Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyo mtoto mdogo achana nae,yeye anajua NATO imeundwa kwa ajili ya kupigana na Urusi tuu bila principle na sheria. Ndio maana nimemwambia akikua ataacha.

Kumbe NATO imeundwa ili kupigana na URUSSI kwahiyo nchi 30 zinamshindwa mtu 1? Hapo unakubaliana kuwa Russia ndo mbabe wa Dunia mpaka watu wanaungana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Term hii PUTIN kawanyoosha mazafuckas
 
NATO anazidi kujipanga kulinda mipaka yake

Screenshot_20220324-212700.png


Screenshot_20220324-212547.png


Screenshot_20220324-212618.png


Screenshot_20220324-212153.png


Screenshot_20220324-212131.png
 
Inasikitisha kutazama jinsi gani nchi inashambuliwa kinyama , tena nchi tulivu ambayo haikutendea jirani yake uovu wowote, tena ilipokea ahadi ya Urusi kuheshimu na kutunza mipaka yake wakati Ukraine ilipotoa silaha zake za nyuklia kwa Urusi mnamo 1994.
Basi ahadi hizi ni bure na jirani mkubwa anaonekana ni mwongo na mhuni.
Kwa hiyo nimeelewa NAATO wanajitahidi kuwasaidia kwa silaha za kujitetea (ambazo hazifai kushambulia nchi nyingine) na kwa kuweka vikwazo vikali shidi ya mshambuliaji ambavyo vitapunguza sana uwezo wake wa kurudia ukorofi.
Ila tu havitasimamisha mara moja ukorofi wake na mashambulio dhidi ya Ukraine.
Ni vile jirani hachaguliwi,Kuna majirani wengine kuishi nao ni kazi sana atakukeraa we mpaka ujute kununua kiwanja pembeni yake.sasa Ukraine anatabu sana kuwa jirani wa mbabu mjinga na anayejistukiastukia kama yule.
 
The Russian Armed Forces destroyed the largest of the fuel bases remaining in the Kiev regime with a strike of "calibers".

On the evening of March 24, high-precision sea-based cruise missiles attacked a fuel base in the village of Kalinovka near Kiev, the Russian Defense Ministry reports.

From this base fuel was supplied to military units in the central part of Ukraine.
 
Sarafu ya Ruble ya Russia yapanda thamani ghafla kufuaria tangazo la Russia la kutumika sarafu hiyo ktk mauzo ya gesi kwa nchi za EU na nyinginezo ambazo ni mahasimu wa Russia.

Kabla sarafu hiyo ilikuwa imeporomoka kutokana na vikwazo vya mabepari.

Putin akili kubwa
====
View attachment 2163753
Niliwaambia hakuna nchi inayojitambua itanunua kwa rubles
~Poland's state energy company on Thursday said it would not pay for Russian gas in rubles, becoming the latest to reject Kremlin demands amid unprecedented sanctions on Moscow over its war in Ukraine
 
Kwanini Ukraine walikiuka makubaliano na kupiga kura ya kujiunga NATO?
Kwanza Ukraine haikupokelewa katika NATO. NATO haiko Ukraine (menginevyo Putin asingevamia).

Pili nionyeshe makubaliano gani Ukraine imekiuka? Jina la makubaliano, tarehe gani, mahali pake, jina lake? Tafadhali usifuate propaganda hata kama imerudiwa mara 1,000.
Dunia si tambarare, binadamu amewahi kukanyaga Mwezini, Ukraine haikuahidi kutojiunga na kitu chochote.
 


Morning briefing of the Russian Ministry of Defense - the main thing:

▫️ Russian forces advanced 4 km overnight and captured a number of settlements
▫️ a group of "night hunters" from Ka-52 and Mi-28N helicopters destroyed 24 units of military equipment during the strikes, including 7 tanks, 5 infantry fighting vehicles and 3 armored personnel carriers
▫️ During the night, operational-tactical and army aviation hit 51 military facilities of Ukraine.
▫️ Since the beginning of the operation, 261 Ukrainian drones, 204 anti-aircraft missile systems, 1587 tanks and armored vehicles have been destroyed
 
Inasikitisha kutazama jinsi gani nchi inashambuliwa kinyama , tena nchi tulivu ambayo haikutendea jirani yake uovu wowote, tena ilipokea ahadi ya Urusi kuheshimu na kutunza mipaka yake wakati Ukraine ilipotoa silaha zake za nyuklia kwa Urusi mnamo 1994.
Basi ahadi hizi ni bure na jirani mkubwa anaonekana ni mwongo na mhuni.
Kwa hiyo nimeelewa NAATO wanajitahidi kuwasaidia kwa silaha za kujitetea (ambazo hazifai kushambulia nchi nyingine) na kwa kuweka vikwazo vikali shidi ya mshambuliaji ambavyo vitapunguza sana uwezo wake wa kurudia ukorofi.
Ila tu havitasimamisha mara moja ukorofi wake na mashambulio dhidi ya Ukraine.
Bora zako wewe mswahili wa Tanzania una akili zaidi ya Colonel Macgregor wa Marekani, kiasi kwamba waona Ukraine inashambuliwa kijeshi pasi na kumchokonoa/chokoza jirani yake Russia...

Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani anasema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).

Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
===


COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
 
Russia warudi tu nyumbani hamna wanachokifanya Ukraine kama ni vita wameshashindwa uwezo wao wa kijeshi ulitiwa chumvi, Urusi ya kweli ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin.

Anaua watu wasio na hatia bure kabisa kwa upumbavu wake, lazima afikishwe mahakamani The Hague kwa uovu aliofanya. Bure kabisa.
In your dreams,mnawapa raia silaha na kiwapeleka front halafu wakishushiwa kichapo mnasema ni watu wasio na hatia!Mnapeleka majeshi kujifucha kwenye majengo ya raia na Shule halafu mnafanya mashambulizi ya kushtukiza,mkijibiwa mnalialia kuwa yanashambuliwa makazi na Shule!Shwain,Russia harudi nyuma!
 
The Russian Armed Forces destroyed the largest of the fuel bases remaining in the Kiev regime with a strike of "calibers".

On the evening of March 24, high-precision sea-based cruise missiles attacked a fuel base in the village of Kalinovka near Kiev, the Russian Defense Ministry reports.

From this base fuel was supplied to military units in the central part of Ukraine.
Kumbe tuone kama Urusi itaendelea muda mrefu kuwa na manowari zinazofaa kurusha roketi katika Bahari Nyeusi.....
 
Russia warudi tu nyumbani hamna wanachokifanya Ukraine kama ni vita wameshashindwa uwezo wao wa kijeshi ulitiwa chumvi, Urusi ya kweli ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin.

Anaua watu wasio na hatia bure kabisa kwa upumbavu wake, lazima afikishwe mahakamani The Hague kwa uovu aliofanya. Bure kabisa.
Basi waambie wananchi wa Ukraine warudi toka mafichoni
 
Niliwaambia hakuna nchi inayojitambua itanunua kwa rubles
~Poland's state energy company on Thursday said it would not pay for Russian gas in rubles, becoming the latest to reject Kremlin demands amid unprecedented sanctions on Moscow over its war in Ukraine
Povu la nini mkuu?

Kwani nchi za EU wameshikiwa mtutu na Russia (wamelazimishwa) wanunue gesi yake?

Si waache tu, waje kununua gesi yetu hapa kwetu Mtwara?!
 
Back
Top Bottom