Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Japani ni mtoto wa marekani baada ya kugongwa na kitu kizto miaka hiyo wakaamua kuwa watiifu kwa baba hao us mpaka leo na us kaweka wanajeshi pale

Japan anaugulia ndani kwa ndani ila ipo siku atalipiza kisasi. Mataifa mengi yapo na US kinafiki sema ndo hawana jinsi ila ikitokea vita US atageukwa hata amini.
 
A wonderful journalistic investigation was published by the Americans.

The scale of the revealed manipulations of Kyiv and its Western patrons with public opinion is amazing.

It turns out that the whole image of the “victim of Ukraine”, which has been broadcast by all Western media for a month now, is a deeply thought-out, systematically organized construction, which is being dealt with by very serious people. And, apparently, for a lot of money.

You need to start with the fact that jokes about "manuals", as it turned out, are not jokes at all. They really exist - the best Western PR agencies prepare temniks, where it is written which words should be used and when, video compilations are collected for broadcasts, and recommendations are given on sources. It is expressly forbidden to use "unverified media", that is, those that have not received approval in the West.

The key functionary in this system of Ukrainian propaganda is a certain Yaroslav Turbil, a native of Kyiv connected with American intelligence, the editor-in-chief of the Ukraine.UA website. This resource itself operates under the patronage of the Ukrainian Foreign Ministry and is often the primary source of propaganda leaks.

After analyzing the campaign materials that came to the investigators, the authors of the article came to the conclusion that Ukrainian propagandists set themselves the task of “building up” a particular topic (Zaporozhye nuclear power plant, a no-fly zone over Ukraine, etc.) in front of a whole network of Western PR services, including the UK PR Network and US lobby groups SKDKnickerbocker, Yorktown Solutions and Your Global Strategy. Having extensive experience of interacting with Western media, they are already conveying the “right” message to Western audiences.
According to the investigation, the customers of these scripts also have partners: Novaya Gazeta, Meduza, Dozhd, Mediazona and Russian-language services of Western media, for example, the BBC.

The work is proceeding methodically and differentiated. For processing the youth audience - memes, for experts - serious political science analytics.

The authors of the investigation do not hide their shock at the scale of this system. In total, more than 150 organizations and key individuals are involved in the task of broadcasting the Ukrainian vision of the conflict to the entire planet.

Who pays for all this? The question is complex, but at least part of the information work is financed by government subsidies from Britain, the United States and the Czech Republic, and also, and this is already completely beyond the limits, by the structures of George Soros.

This octopus has launched its tentacles, metaphorically speaking, into every TV set, practically every Internet site of major Western media, it is in every newspaper. His task is to make sure that the audience has a simple but understandable picture of the world. The fact that it does not correspond to reality does not worry the creators of this mechanism at all.

The world has not known such a disinformation campaign since the time of the cult of the Caesars.
 
Huenda tabia ya kufungua duka la nyama sababu jirani alifungua duka la nyama ndiyo inayotuongoza kufikiri hivi. Au kununua Ist sababu wengine wanazo. Ninachomaanisha ni kufanya jambo kwa mtindo ule ule uliofanyika kabla sababu ndivyo ulivyofanyika.

Libya si Ukraine, Gadafi si Puttin. Mtindo wa kuidhoofisha libya haufanani na mtindo wa kuidhoofisha urusi. Njia na mbinu watakazotumia haziwezi zikafanana sababu hizo nchi hazifanani na mazingira na muda ni tofauti.

US/NATO wanachotaka ni kuidhoofisha Urusi kadri watakavyoweza, na ndicho kinachoendelea ila hawawezi kufanya kwa mtindo uliotumika Libya. Kama sivyo, Puttin angekuwa kamaliza operation yake muda tu.
We nae kiboboru tuu.
 
Russia shows Europe that they cannot live without Russian gas.

@SputnikLive talked about the consequences of Russia's transition to gas trading in rubles with Igor Yushkov, a leading analyst at the Energy Security Fund.

▪️Europe has nothing to be afraid of buying Russian gas for rubles, nothing will change for it.

"Companies from Europe will now just have to come to the Russian stock exchange, buy rubles for euros and dollars and pay them for gas."

▪️The Russian ruble will only grow in its demand.

▪️A consequence of the transfer of Europe to the ruble payment for gas will be that imported goods will start to become cheaper due to the strengthening of the Russian national currency.
 
Bulgaria imesema haipo tayari kufanya malipo ya gesi ya Russia ktk sarafu ya Russia (ruble). Putin kasema Bulgaria italipia gesi ya Russia ktk pesa ya ruble 'ipende, isipende', 'itake, isitake'

Asante Putin, mwanaume hutoa kauli moja tu, hayumbishwi...

SmartSelect_20220325-102556_Chrome.jpg
 
Braza kwanini Nato vikao ni vingi kuliko vitendo? Majeshi ya mvamizi yapo Ukraine mpaka leo, hatujui wataondoka lini... kwann NATO wasiingie ndani kuwatoa?
NATO hawaingii kwa sababu wanakumbuka wajibu kwa Dunia. Kuingia sasa inaongeza hatari ya vita ya moja kwa moja; ilhali sioni tatizo kubwa sana kutokana na hali ya jeshi la kawaida la Urusi maana limeonekana dhaifu, lakini hatari ni vita ya nyuklia.

Vita ya nyuklia ikianza hakuna anayejua namna ya kuisimamisha. Tumeshadili hapa juu kwamba vita kubwa ya kinyuklia itakuathiri pia wewe Mtanzania. Kwa hiyo ushukuru viongozi wa NATO kwamba hadi sasa wamekumbuka hatari kwa Dunia yote wanaepukana magongano ya moja kwa moja kati ya wanajeshi wa NATO na Urusi.

Inasikitisha kutazama jinsi gani nchi inashambuliwa kinyama , tena nchi tulivu ambayo haikutendea jirani yake uovu wowote, tena ilipokea ahadi ya Urusi kuheshimu na kutunza mipaka yake wakati Ukraine ilipotoa silaha zake za nyuklia kwa Urusi mnamo 1994.

Basi ahadi hizi ni bure na jirani mkubwa anaonekana ni mwongo na mhuni.

Kwa hiyo nimeelewa NAATO wanajitahidi kuwasaidia kwa silaha za kujitetea (ambazo hazifai kushambulia nchi nyingine) na kwa kuweka vikwazo vikali shidi ya mshambuliaji ambavyo vitapunguza sana uwezo wake wa kurudia ukorofi.

Ila tu havitasimamisha mara moja ukorofi wake na mashambulio dhidi ya Ukraine.
 
Mkuu
hakuna cha hekima wala nini waoga tuu mbona nchi zingine hawakutumia hekima hao nato wameharibu nchi za watu libya irak ....ila hapo wameona kuna mwamba anaetwa PUT IN ..... kasimamia kucha ndo maana kelel kwa media kila uchwao wanachungulia ....waoga tu
Ukraine anashinda vita hii bipa nato...amini nakwambia. Huyo Putin ameamua kupiga makaazi ya raia ili kuwakomoa maana ya kuona nyama ngumu. Anafanya hivyo ili kuwavunja moyo wapiganaji.
 
Haijawahi tokea duniani wananchi wote kumuunga mkono raisi wao kitu ambacho hujui ni kwamba wapo wananchi wamempinga rais wao kwa kushindwa kumalizana na Russia kwa njia ya mazungumzo na kuingiza nchi vitani akiwa anajua ana backup ya NATO mwisho wa siku NATO wako pembeni na Ukraine inazidi kuharibika ila raia hao hutawaona kwenye media sababu media zimeamua kuandika habari wanazotaka wao.

Fikiri sawa sawa, usije kudanganyika kwamba wananchi wote wa Ukraine wanamuunga mkono rais wao haipo na haitawahi kutokea nchi yoyote duniani kumuunga mkono rais.


Hata hapa Tz itokee vita kuna watu watafurahia nchi inashambuliwa kwa sababu wanazozijua wao na wapo watakaomuunga mkono rais kwa kupeleka nchi kwenda vitani.

Nakushangaa wewe unayeamini kwamba nchi nzima inamuunga mkono rais yani umeaminishwa na media na wewe bila kufikiri ukaamini ni jambo linawezekana


View attachment 2163730View attachment 2163732
Sawa,Hao ni Mayuda Escariot.
 
Hio mipaka haikuwekwa IRAQ LIBYA nk
Pro NATO Wanaumia sana kuona NATO wanashindwa kumvamia Mrusi kama ilivyokuwa kwa Iraq na kinachonishangaza kuna watu zinasema siku za Russia zimefika. Najua hii inaumiza na Pro NATO hawataki kusikia lakini vita kati ya NATO na RUSSIA ni vita ya Nyuklia na kuna uwezekano isirushwe hata risasi moja.

Ukitaja kujua Russia atatumia silaha zipi vita ya tatu ni sasa ambapo hana hata Presha NATO wakija na mipango sijui tunaimarisha mpaka wa Poland sijui tunaongeza askari Lativia, Romania, Slovakia na Hungary mwenzao hana hata wasiwasi kabisa maana kauli mbiu yetu Kremlin ni HAPA NUKES TU
 
Bulgaria imesema haipo tayari kufanya malipo ya gesi ya Russia ktk sarafu ya Russia (ruble). Putin kasema Bulgaria italipia gesi ya Russia ktk pesa ya ruble 'ipende, isipende', 'itake, isitake'

Asante Putin, mwanaume hutoa kauli moja tu, hayumbishwi...

View attachment 2163741
Gas ya Russia halafu wapange Bulgaria namna ya kulipa.
 
UCHINA imeiita Marekani “mwongo na mkorofi” na kusema kwamba kila mtu anajua ni nchi gani “iliyoanzisha” mgogoro wa Ukraine, Shirika la Utangazaji la Urusi, RT limeripoti.

Msemaji wa Wizara ya Ulinzi Wu Qian alisema Alhamisi wakati akitoa maoni yake kuhusu shutuma kutoka kwa maafisa wa Marekani ambao hawakutajwa kuwa Beijing ilijua mapema kuhusu shambulio la Urusi dhidi ya Ukraine na kwamba Uchina iliiomba Moscow kuchelewesha hadi baada ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing 2022.

Wu alilaani madai hayo, pamoja na ripoti kuhusu China inayodaiwa kutoa msaada wa kijeshi kwa Urusi, akisema kulikuwa na "taarifa potofu" ambayo inatumika tu kwa madhumuni ya "uipaka matope Uchina."

Shutuma hizo zinaonyesha "uso wa kweli wa Marekani kama mwongo na mzushi wa matatizo," alisema, akiongeza kuwa nchi yake inapinga vikali majaribio ya Marekani ya kueneza "taarifa za uwongo na ovu zinazolenga China kuhusu suala la Ukraine."

IMG_5662.jpg
 
NATO hawaingii kwa sababu wanakumbuka wajibu kwa Dunia. Kuingia sasa inaongeza hatari ya vita ya moja kwa moja; ilhali sioni tatizo kubwa sana kutokana na hali ya jeshi la kawaida la Urusi maana limeonekana dhaifu, lakini hatari ni vita ya nyuklia.
Vita ya nyuklia ikianza hakuna anayejua namna ya kuisimamisha. Tumeshadili hapa juu kwamba vita kubwa ya kinyuklia itakuathiri pia wewe Mtanzania. Kwa hiyo ushukuru viongozi wa NATO kwamba hadi sasa wamekumbuka hatari kwa Dunia yote wanaepukana magongano ya moja kwa moja kati ya wanajeshi wa NATO na Urusi.
Inasikitisha kutazama jinsi gani nchi inashambuliwa kinyama , tena nchi tulivu ambayo haikutendea jirani yake uovu wowote, tena ilipokea ahadi ya Urusi kuheshimu na kutunza mipaka yake wakati Ukraine ilipotoa silaha zake za nyuklia kwa Urusi mnamo 1994.
Basi ahadi hizi ni bure na jirani mkubwa anaonekana ni mwongo na mhuni.
Kwa hiyo nimeelewa NAATO wanajitahidi kuwasaidia kwa silaha za kujitetea (ambazo hazifai kushambulia nchi nyingine) na kwa kuweka vikwazo vikali shidi ya mshambuliaji ambavyo vitapunguza sana uwezo wake wa kurudia ukorofi.
Ila tu havitasimamisha mara moja ukorofi wake na mashambulio dhidi ya Ukraine.
Kwanini Ukraine walikiuka makubaliano na kupiga kura ya kujiunga NATO?
 
Safi sana poland
~Russia's ambassador to Warsaw said on Thursday that Poland had blocked the Russian embassy's bank accounts on the basis that they might be used to finance terrorist activity or launder money
.
 
Back
Top Bottom