Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Kansela wa Ujerumani apinga utaratibu mpya wa Putin wa kutaka malipo ya gesi yake yafanywe ktk sarafu ya Russia (ruble). Anasema mikataba ya biashara ya gesi waliosaini nchi za EU na Russia inaeleza malipo yafanywe ktk Euro au USD. Russia kutaka malipo ktk ruble ni kukiuka mkataba huo.
Mwambieni kwani wao EU wamekiuka mikataba mingapi ktk kuweka vikwazo? Au hawakujua madhara ya wao kuanza kuvunja mikataba hiyo?
Aache kulialia, kama hawezi kununua kwa pesa ya ruble, akatafute gesi kwingine...tusichoshane!