Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumbuka Russian economy is oil dependent alafu sasa wateja wake wakuu EU wamemgomea.

~In 2021, the EU imported $108 billion (€99bn) worth of energy from Russia, by far its biggest import from the country.
 
Kiduku ana wivu sana, kaona Putin anaongelewa kuliko yeye akaamua kutest kombora ili tu apate attention ya Dunia,hana habari na kinachomkuta rafiki yake Russia.Urafiki na China siku zote ni fake kama vitu vyao vilivyo,kule UN walimute kama hawapo vile kwenye kupiga kura😀
Mchina sio mjinga kama mrussi.
 
Kumbuka Russian economy is oil dependent alafu sasa wateja wake wakuu EU wamemgomea.

~In 2021, the EU imported $108 billion (€99bn) worth of energy from Russia, by far its biggest import from the country.

Ameshasema mtalipa kwa ruble sasa wewe unaumia nini?? Ameshasema kama hutaki acha. Unafikir Russia atakosa wateja wa oil na gas? nawasiwasi na thinking capacity yako.
 
Hisabati ni changamoto Tanzania. Unaleta screenshot "what are the 5 highest ranks in the (US) army? halafu unachora nafasi ya kanali ambayi ni nafasi ya sita.
Ndiyo, naona nafasi ya Kanali haiko kati ya vyeo vikuu. Makanali kuna zaidi ya 1600 kwenye jeshi la ardhi la Marekani. Mameya wako zaidi ya 7700. majenerali wako
Aisee kweli wewe una uwezo mdogo wa kusoma na kuelewa mambo...Colonel ktk US army ktk hali ya kawaida (nje ya vita) ni rank ya tano...uwe wasoma na kuelewa mambo kabla ya kukurupuka kukomenti.

Na tufanye iwe Colonel ni nafasi ya sita, kwa hiyo kwa akili yako ilivyo ndogo kuwa nafasi ya 6 kutamfanya Colonel asiwe ktk maafisa wa juu wa jeshi la Marekani na hivyo kuwa ktk makuruta?

Maswali mengine sikujibu kwa kuwa yapo wazi kwa mtu mwenye akili ya kawaida, labda kinyume chake. Hata darasani mwalimu akijitahidi kuelezea vipi somo lazima kuna vilaza hawatamuelewa.

Screenshot_20220325-124202_Gallery.jpg
 
Unakumbuka ile mikwara mbuzi ya yeyote atakaeisaidia Ukraine atakiona cha moto,kila siku Ukraine anapelekewa misaada tena ya silaha wazi wazi na mtoa mikwara Putin kaufyata.

"HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU" by watoto wa Putin wa JF [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Acha upotoshaji hivi alisema atakayeisaidia Ukraine au atakayejaribu kuizuia Russia?

Nchi yoyote itakayoingilia hiyo vita ndio itakua imejitangazia vita ndio maana NATO hawajaplan bado kuingia frontline kuisaidia ukraine

Labda tujikumbushe
 
Nikitazama wanachofanya NATO/ US si kumsaidia Ukraine ashinde. Pia si kuingia vitani na Urusi bali ni kuhakikisha Ukraine inarefusha muda wa mapigano. Sijajua wanajaribu kupata nn katika hilo.
Kwa mtazamo wangu hapo Russia ndiyo anaumizwa kwasababu Washindani wake wamepata sababu nzuri tu ya kumwadhibu kiuchumi na wakati huo huo ataendelea kupigana kwa muda mrefu na vita inahitaji pesa,ikiendelea kwa muda mrefu itakuwa msiba mkubwa kwa Uchumi wa Russia ambao tayari umeshachakazwa kwa vikwazo vya kiuchumi. By the time 'anapewa ushindi" huku kwenye Uchumi atakuwa hoi bin taaban.Yale ya 1990 wakati wa kuanguka kwa Soviet ndiyo yanakwenda kujirudia tena kwa Russia kama Taifa.Ni swala la muda tu.
 
Hii inaitwa mbinu ya kumdhoofisha adui,na vile saa hivi hasikilizi hata ushauri wa washauri wake wanamuacha tu afanye anavyotaka,maana ukimshauri kitu anakuona uko upande wa Ukraine unawekwa kizuizunii,hivyo muache apuyangee wee akijastuka ana mdororo wa uchumi
 
China tangu miaka ya 1980 hawapendi kabisa issues za vita, wanachotaka ni sehemu tu za kupata malighafi kwa bei nafuu na masoko ya kuuza bidhaa zao. Taifa lao kubwa la watu bilioni 1.4 litakuwa katika hali mbaya sana endapo mambo hayo mawili yatakaa vibaya.
Kiduku ana wivu sana, kaona Putin anaongelewa kuliko yeye akaamua kutest kombora ili tu apate attention ya Dunia,hana habari na kinachomkuta rafiki yake Russia.Urafiki na China siku zote ni fake kama vitu vyao vilivyo,kule UN walimute kama hawapo vile kwenye kupiga kura[emoji3]
 
Ameshasema mtalipa kwa ruble sasa wewe unaumia nini?? Ameshasema kama hutaki acha. Unafikir Russia atakosa wateja wa oil na gas? nawasiwasi na thinking capacity yako.
Hujui kusoma ama? EU ndo wateja wakubwa wa gesi na mafuta ya mrussi. Kwa hio wakimgomea(washaanza ) atakuaamepata pigo kubwa sana katika uchumi wake
 
Unakumbuka ile mikwara mbuzi ya yeyote atakaeisaidia Ukraine atakiona cha moto,kila siku Ukraine anapelekewa misaada tena ya silaha wazi wazi na mtoa mikwara Putin kaufyata.

"HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU" by watoto wa Putin wa JF 🤪🤪🤪🤪
MISAADA INATOLEWA KILA SIKU YULE BABU KATULIA TULI, MIKWARA MBUZI ILE😂😂😂
 
Ficha ujinga wako, gesi imejaa Middle East yakutosha.

Germany Won't Pay Russia in Rubles for Natural Gas, Defying Putin Request
BY LORA KORPAR ON 3/24/22 AT 1:12 PM EDT
SHARE
NEWS RUSSIA GERMANY NATURAL GAS GAS
German Chancellor Olaf Scholz refused Russian President Vladimir Putin's request to have Germany pay for Russian gas deliveries with rubles.

At a Group of Seven (G7) press conference in Brussels on Thursday, Scholz said this is because "there are fixed contracts" that specify the payments must be made in euros or dollars "and that's what counts,"
Hata Maduro Venezuela ana gesi,wasitetemeshe watu na hiyo gesi yao.
 
Back
Top Bottom