Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya vyeo hivi sijali kabisa, ukipendelea kanali yako alikuwa mtu mkuuubwa sana huko. Sawasawa. Jambo muhimu ni upuuzi katika nukuu yake na hapa naona unajikunja tu. Upuuzi ulikuwa hii katika post yako #20,359
:
"Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).
"
Ninakuambia (pamoja na kanali mkubwa wako): haikuwahi kutokea kwamba vikosi vya NATO vimefika kwenye mpaka huu. (lakini roketi za Urusi zilifika Kuba). NATO ilikataa tangu 2008 kupokea Ukraine.
Putin ameanza vita kwa kutaja jambo ambalo halikutokea wala halikupangwa.

nchi 2 ndogo za NATO zinazopakana na Urusi (bali na Alaska) ni Estonia na Latvia. Katika nchi hizo hazikuwa na wanajeshi wa NATO wa kudumu isipokuwa wenyeji. Baada ya uvamizi wa kwanza wa Urusi katika Ukraine mwaka 2014 NATO ilipeleka kila nchi askari 1,000 wa nje; 1,000 si idadi inayomtisha mtu yeyote, walipelekwa kama ishara kuonyesha tu NATO inasimama upande wa wanachama wake wadogo pia. Hata hao hawakuwa askari wa kudumu, walifika kwa muda na utaratibu wa kubadilishana.

nchini Ukraine haikutokea kitu kama hicho. Hapa nasema nukuu ya mheshimia kanali mkuu ina upuuzi ndani yake.
Wewe utajua kwa nini umeileta, hadi sasa unajificha nyuma ya sare.
Basi kama umeguswa mno na waumia sana Russia kuikaanga Ukraine, kwea pipa uende Ukraine ukabebeshwe gobole, tuondolee makelele na ukilaza wako hapa...'Visa' huko Ukraine hutoulizwa, beba 'passport' yako tu...

Unakaa unalialia hapa kila kukicha, mara ooh...kwa nini Russia kawapiga kombora la haipasoniki Ukraine, ooh...sijaona sababu ya kutumika hilo kombora, ooh...NATO watajua kama Russia analo kombora la haipasoniki...Sasa kwa ukilaza huo ambao ulikufanya ukashindwa kujua kuwa US+NATO hapo kabla walifahamu kuwa Russia ana kombora hilo, ndio utaweza kweli kujua mambo anayoongelea Colonel Macgregor?!

Kilio chako hakiwasaidii Ukraine, ni sawa na machozi ya samaki baharini...Nenda kawasaidie kupambana, ushuhudie 'live' kombora la haipasoniki...


SmartSelect_20220325-140232_Chrome.jpg
SmartSelect_20220325-140201_Chrome.jpg
 
Unaisi wanaweza waaambie wajaribu ivi mnaisi urusi ni Sawa na Libya kumtoa nje ya mfumo mtu anayewaudumia Kwa asilimia zaidi ya30 si jmabo dogo it need Time na akili sana watabweka Ila mwisho wa siku watarudi kwake Tu kuongea wayamalize
Mwambie ni kama kenya tu inavoitegemea THE BIG TANZANIA ..msosi yaani ...bongo ndo tunailisha kenya .....bila sisi wanakufa njaa ...huyo jamaa ni mkenya analijua hilo ....
 
Siangalii wanachosema, naangalia wanachotenda.
Mkuu, toka lini watu madhaifu na waoga wakaweza kutenda jambo la maana mbele ya mbabe!

Wanachoweza kutenda ni kuweka vikwazo kila siku dhidi ya Russia wakidhani hilo litamkosesha pesa ya ku-fund vita vya Ukraine huku wakimuacha solemba Zelensky, Ukraine iendelee kuungua na kugeuzwa majivu, maelfu ya raia wake waendelee kufa huku mamilioni ya raia wakienda kuishi kwa dhiki ukimbizini

Screenshot_20220325-122403_Chrome.jpg


SmartSelect_20220325-142449_Chrome.jpg
 
rally against NATO was held in Austria.

Participants commemorated the victims of the bombing of Yugoslavia. They took to the streets of Vienna with posters against the United States and spoke out in support of Donbass and Russia.

One of those present at the rally told Ruptly that among the crowd there were many Ukrainian nationalist provocateurs who tried to disrupt the event and break into the podium:

“For more than two hours, the protesters had to be guarded by the Vienna police. If not for the police, there would be a scuffle. The nationalists behaved very aggressively.”
Galip SV Liwagu
20220323_134127.png
 
In Spain, supporters of the Kiev regime attacked the Ukrainian opposition leader Anatoly Shariy.

“You are just brainwashed idiots. Go to the front. If you don't want to fight, volunteer. I can’t go to Ukraine, but you can, ”the politician wrote in his Telegram channel.

In Ukraine, we recall, criminal cases have been opened against Shariy, including treason.

Previously, he has repeatedly criticized the actions of the Ukrainian authorities.
Galip SV Liwagu
20220323_134127.png
 
Tatizo mnakeraa hamtaki kushughulisha obulongata ....mnabaki kukaza mafuvu yenu hayo[emoji3][emoji3][emoji3]
Bibingina, Narudia kukumbusha tumia lugha Sahihi,kila mtu humu angeleta tabia zako za kuparamia watu na kashfa unadhani Uzi ungetembea huu?By the way hii sio Instagram ambapo huwa mnakashfu watu bila mpangilio...jiheshimu
 
In German stores, the shelves are empty again - the inhabitants of Germany sweep away sugar and cereals.

Retail chains have begun looking for new suppliers to avoid shortages, while producers fear higher electricity prices due to anti-Russian san
IMG_20220325_143528_415.jpg
ctions, reports CGTN.

Despite increased international pressure, the German government has not yet responded to calls for an all-out boycott of Russian oil and gas. This is due to the fact that such a step will result in extremely difficult political consequences for German leaders.
Galip SV Liwagu
 
Back
Top Bottom