Kweli kusikia kwa kenge ni mpaka damu zitoke masikioni;
Video mbalimbali walizojirekodi wanajeshi wa kujitolea Marekani zinazowaonyesha wakiwa kwenye mapambano makali katika mji wa Kyiv nchini Ukraine zimeanza kusaambaa kwa kasi mitandaoni.
Katika video hizo ambazo zimerokodiwa na wanajeshi hao zinawaonyesha wakiwa pamoja na wanajeshi wa Ukraine katika mapambano makali, lakini haijaweza kufahamika mara moja maeneo exactly au mitaa walipo wanajeshi hao.
Watu wengi wengi mitandaoni wamekosoa vikali na kusema video hizo huenda zikatumiwa na maadui (Urusi) kujua mahali walipo wanajeshi hao wa Marekani, Jambo ambalo linaweza hatarisha maisha yao na ya wanajeshi wa Ukraine.
Nipo nahangaika kuzipandisha video hizo hapa.
View attachment 2164015