Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

US intends to hold talks with G20 partners, including presiding Indonesia, on revising relations with Russia - White House.
Galip SV Liwagu
20220323_134127.png
 
Putin on cancellation culture in the West:

“It didn’t start yesterday... Over and over again in Hollywood there were films where the US Army was called the only winner of Nazism ... the contribution of the Red Army was simply canceled.

In Japan, on the day of remembrance of the victims of Hiroshima and Nagasaki, they are either bashfully silent about who dropped the bombs on these cities, or they write quite obvious nonsense, they say, “abstract allies” did it.

Not so long ago, children's writer J.K. Rowling was canceled for not pleasing fans of so-called gender freedoms.

Today they are trying to cancel a whole thousand-year-old country, our people, I’m talking about the progressive discrimination of everything connected with Russia.”
Galip SV Liwagu
20220323_134127.png
 
Kwa hali ilivyo kwa sasaa Russia hawezi kupambana na Ukraine, Georgia na Poland Kwa pamoja.
These are the indicative estimates of Russia’s losses as of March 25, according to the Armed Forces of Ukraine.

For details on Urkrainian losses and further analysis see my previous posts
FB_IMG_1648212652049.jpg
 
Kumbe watoto hamjakomaa hata pumbu. Nenda google soma ni kitu gani rais Obama anajutia katika utawala wake? US na nato walituma drones na kuweka no fly zone pale libya, hujui hili?
Pale syria hujui US anafanya nini mpaka leo. Embu uliza kwa shoga wenzio.
Kwa hiyo kuweka no fly zone na kutuma drones ndio kuvamia?
 
Sawa, Putin hapigi vituo vya kijeshi...

Tueleze pisi 250 za S-300 air-defense systems za Russia zilizokuwepo kabla ya vita kuanza zilienda wapi? Hadi kufikia Zelensky anampigia magoti Biden na kumuomba walau ampatie pisi moja tu ya S-300 (wakati tayari alikuwa na pisi 250!)!
Teh teh teh teh Hawa pro NATO viazi mno. Inamaana hiyo miji aliyokamata Russia haikuwa na kambi za jeshi? Kama zilimuwepo hao Wanajeshi wameenda wapi. Ile kambi iliyonyukwa karibia na mpaka wa Poland wakikuwemo raia. Hii ya juzi iliyonyukwa watu kwenye mahandaki wakatoka majivu walikuwa ni raia😂😂😂😂😂😂😂
 
Wenge gani mzee .....kwani mpaka hizi habar zimekufikia wewe yeye hazijui eti...au hana hizo taarifa za watoto wake kumharasi ........FACE BOOK....[emoji849][emoji849][emoji849]
Ina maana Facebook ndio source ya habari au wenyewe ni media tu Ili habari ifike🤔
 
Kumbe watoto hamjakomaa hata pumbu. Nenda google soma ni kitu gani rais Obama anajutia katika utawala wake? US na nato walituma drones na kuweka no fly zone pale libya, hujui hili?
Pale syria hujui US anafanya nini mpaka leo. Embu uliza kwa shoga wenzio.
Nenda ugoogle Arab Spring alafu ujitie kofi kwa niaba yangu.
 
Mwaka 1973 marekan aliisapoti israeli kwe vita na waarabu , waarabu wakamuwekea vikwazo vya mafuta.......,haikua mwsho wa maisha ila chamoto alikiona, ndio ulikua mwanzo wa marekani kuangalia upya swala na energy security, issue za sanctions na embargo hazijaanza leo ila kila zinapotumika pande zote hutafuta solutions kadri ya jinsi zilivyoathirika, tutegemee urusi kuzidi kuangalia namna ya diversify kwe issue ya currency kwenda yuan km possible pamoja na kutafuta soko lingine la gas na mafuta yake, lkn europe nayo kudiversify kwe sekta ya energy ili kuongeza energy security, ndiyo dunia huwa inaendelea kwa design hii ,sometimes migogoro km hufungua fursa zingine ambazo hazijawahi fikirika ingawa atayekosea step basi ataathirika kiasi kwamba itamchukua miaka mingi sana kuja kukaa sawa
 
The Arab Spring (Arabic: الربيع العربي) was a series of anti-government protests, uprisings, and armed rebellions that spread across much of the Arab world in the early 2010s. It began in response to corruption and economic stagnation and was first started in Tunisia.[1][2] From Tunisia, the protests then spread to five other countries: Libya, Egypt, Yemen, Syria, and Bahrain, where either the ruler was deposed (Zine El Abidine Ben Ali, Muammar Gaddafi, Hosni Mubarak, and Ali Abdullah Saleh) or major uprisings and social violence occurred including riots, civil wars, or insurgencies. Sustained street demonstrations took place in Morocco, Iraq, Algeria, Iranian Khuzestan,[citation needed] Lebanon, Jordan, Kuwait, Oman, and Sudan. Minor protests took place in Djibouti, Mauritania, Palestine, Saudi Arabia, and the Moroccan-occupied Western Sahara.[3] A major slogan of the demonstrators in the Arab world is ash-shaʻb yurīd isqāṭ an-niẓām! ("the people want to bring down the regime").[4]
 
Kweli kusikia kwa kenge ni mpaka damu zitoke masikioni;



Video mbalimbali walizojirekodi wanajeshi wa kujitolea Marekani zinazowaonyesha wakiwa kwenye mapambano makali katika mji wa Kyiv nchini Ukraine zimeanza kusaambaa kwa kasi mitandaoni.

Katika video hizo ambazo zimerokodiwa na wanajeshi hao zinawaonyesha wakiwa pamoja na wanajeshi wa Ukraine katika mapambano makali, lakini haijaweza kufahamika mara moja maeneo exactly au mitaa walipo wanajeshi hao.


Watu wengi wengi mitandaoni wamekosoa vikali na kusema video hizo huenda zikatumiwa na maadui (Urusi) kujua mahali walipo wanajeshi hao wa Marekani, Jambo ambalo linaweza hatarisha maisha yao na ya wanajeshi wa Ukraine.

Nipo nahangaika kuzipandisha video hizo hapa.View attachment 2164015
Hii vita haiwezi kuwa rahisi kwa russia huenda ikachukua muda mrefu kuisha ,na hapo bdo kuna mamluki jeshi la Israel wapo ,ndo mana jana biden alihutubia mkutano wa nato akakazia kuhusu suala la russia kutumia silaha za kikemikali ni onyo kubwa sana
 
Hii vita haiwezi kuwa rahisi kwa russia huenda ikachukua muda mrefu kuisha ,na hapo bdo kuna mamluki jeshi la Israel wapo ,ndo mana jana biden alihutubia mkutano wa nato akakazia kuhusu suala la russia kutumia silaha za kikemikali ni onyo kubwa sana

Atafanya nini huyu Babu
 
Sawa, Putin hapigi vituo vya kijeshi...

Tueleze pisi 250 za S-300 air-defense systems za Russia zilizokuwepo kabla ya vita kuanza zilienda wapi? Hadi kufikia Zelensky anampigia magoti Biden na kumuomba walau ampatie pisi moja tu ya S-300 (wakati tayari alikuwa na pisi 250!)!
S-300 ni system kubwa hazihamishiki kiurahisi ndio maana imekuwa easy kuzitrack na kuharibiwa hivyo ni useless kwa ukraine ndio maana wanarely kwenye hizi portable, units nyingi za majeshi ya ukraine ni mobile so inamake sense kuwa na portable na kuachana na complex system km s-300
 
Atafanya nini huyu Babu
yeah ila in long run russia atashinda tu coz kiuhalisia ana nguvu kuliko ukraine labda swali litakuwa huo ushindi utakuwa worth kiuchumi,kisiasa na kijamii? ndio maana kulikuwa na dhana kuwa urusi ilidhani itatumia wiki mbili maana ikichukua mda mrefu sana itakua ni hasara kwa upande wao
 
Back
Top Bottom