Source:west mediaPutin ameanza wenge[emoji848]View attachment 2163985
Wenge gani mzee .....kwani mpaka hizi habar zimekufikia wewe yeye hazijui eti...au hana hizo taarifa za watoto wake kumharasi ........FACE BOOK....[emoji849][emoji849][emoji849]Putin ameanza wenge[emoji848]View attachment 2163985
Afu wanajitapa tumemwekea vikwazo urusi kumbe wanajipiga wao wenyeweIt is too early to introduce a complete embargo on energy supplies from the Russian Federation, the consequences would be too serious - the head of the German Ministry of Economy.
Galip SV Liwagu View attachment 2163980
Mpendwa, naona unajikunja kama mnyoo kwenye nchi kavu. Kwanza unaanza masimulizi ya sare, sasa unasikia kilio pasipo na kilio,Basi kama umeguswa mno na waumia sana Russia kuikaanga Ukraine, kwea pipa uende Ukraine ukabebeshwe gobole, tuondolee makelele na ukilaza wako hapa...'Visa' huko Ukraine hutoulizwa, beba 'passport' yako tu...
Unakaa unalialia hapa kila kukicha, mara ooh...kwa nini Russia kawapiga kombora la haipasoniki Ukraine, sijaona sababu ya kutumika hilo kombora...ooh, NATO watajua kama Russia analo kombora la haipasoniki...Sasa kwa ukilaza huo ambao ulikufanya ukashindwa kujua kuwa US+NATO hapo kabla walifahamu kuwa Russia ana kombora hilo, ndio utaweza kweli kujua mambo anayoongelea Colonel Macgregor?!
Kilio chako hakiwasaidii Ukraine, ni sawa na machozi ya samaki baharini...Nenda kawasaidie kupambana, ushuhudie live kombora la haipasoniki
Huyo mwache nidili nae,maana pro Russia wanajifanya wao wanajua lugha kali na matusi.Bibingina, Narudia kukumbusha tumia lugha Sahihi,kila mtu humu angeleta tabia zako za kuparamia watu na kashfa unadhani Uzi ungetembea huu?By the way hii sio Instagram ambapo huwa mnakashfu watu bila mpangilio...jiheshimu
Nenda kapigane Ukraine, si unaumia sana kuona Ukraine inakaangwa?!Mpendwa, naona unajikunja kama mnyoo kwenye nchi kavu. Kwanza unaanza masimulizi ya sare, sasa unasikia kilio pasipo na kilio,
ukikimbia swali kama sungura mbele ya . . . (chagua mwenyewe). .
Ndio, umeleta hoja la kipuuzi, hapakuwa na vikosi vya NATO kwenye mpaka wa mashariki wa Ukraine (ila roketi za Urusi zilifika Kuba ), NATO haikuwepo Ukraine, NATO haiko Ukraine, NATO haikupokea Ukraine, Ukraine haiko NATO.
Sababu hizo zote si kweli.
Safi sana..Mkuu nenda nae mpaka ataelewa aache ubishi.Mpendwa, naona unajikunja kama mnyoo kwenye nchi kavu. Kwanza unaanza masimulizi ya sare, sasa unasikia kilio pasipo na kilio,
ukikimbia swali kama sungura mbele ya . . . (chagua mwenyewe). .
Ndio, umeleta hoja la kipuuzi, hapakuwa na vikosi vya NATO kwenye mpaka wa mashariki wa Ukraine (ila roketi za Urusi zilifika Kuba ), NATO haikuwepo Ukraine, NATO haiko Ukraine, NATO haikupokea Ukraine, Ukraine haiko NATO.
Sababu hizo zote si kweli.
Ukraine ajiunge Nato, Nato waingie kumtoa putin. Shida nini?Russia warudi tu nyumbani hamna wanachokifanya Ukraine kama ni vita wameshashindwa uwezo wao wa kijeshi ulitiwa chumvi, Urusi ya kweli ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin.
Anaua watu wasio na hatia bure kabisa kwa upumbavu wake, lazima afikishwe mahakamani The Hague kwa uovu aliofanya. Bure kabisa.