ukiacha crimea(ukraine) urusi pia inadhibiti baadi ya maeneo km abakhazia na south ossetia (georgia) pamoja na Transnistria(Moldova),,..
ukiacha hizo nchi kuna kazakhstan ambayo tangu rais mpya bwn Tokayev aingiel madarakan amekuwa na baadhi ya sera ambazo haziifurahishi moscow, kwanza ameongeza mahusiano na EU/US pia ht kucooperate na NATO kwe issue za logistics zinazohusiana na afghastan, lkn juz hapa yalipotokea maandamano makubwa nchini mwake aliomba usaidizi toka CSTO ambapo russia pia ilituma wanajeshi wake kusaidia but baada ya hapo akfny kitu cha kuishangaza moscow, kwanza akaforce rais mstaafu(ally mkubwa wa moscow) kuachia madaraka mengine aliobaki nayo kwe chama na usalama wa taifa, kumtia ndani mkuu wa usalama soon baada ya kurudi kutoka moscow then kutaka wanajeshi wa CSTO kuondoka just after 2weeks kwa madai usalama ushatengemaa then ulipotokea mgogoro wa ukraine jamaa akataa kutuma wanajeshi huko but pia akasema nchi hiyo haisapoti upande wowote kwe mgogoro huo,
haijawah haitotokea ikataka kujiunga NATO but kuna eneo kubwa karibu na mpk wao ingawa lipo kazakhstan but wanaishi watu wenye asili ya urusi na urusi ilishawhi kusema eneo hilo ni lake, so baada ya moldova,georgia na ukraine nchi pekee ambayo ina kila sababu ya kuwa na hofu ni kazakhstan ambayo imeanza kudemostrate u-ukraine japokuwa haijapunguza urafiki na urus