Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian jets that violated Swedish airspace 'were equipped with NUKES'
Screenshot_2022-03-30-20-40-14-991_com.facebook.katana.jpg
 
Urusi hana sababu ya kuwafuata huko, kwasababu Operation hii haimhusu Poland wala NATO, inamhusu Ukraine na kiherehere chochote kitakacho sogeza pua yake ndani ya Ukraine au Urusi.
Kama wanahamu ya kufuatwa huko kwenye mazoezi yao, wafanye wamekosea warushe kombora moja tu liingie Urusi au lijeruhi hata askari mmoja tu wa Urusi kwenye vikosi vilivyopo Ukraine.
...Awali Urusi huyo huyo alisema kwamba atakayemsaidia Ukraine atapata kipigo cha kihistoria lkn hatujaona kitu, hata Ukraine ameshamshinda tayari yeye amebaki kulenga raia na kubomoa majengo tu.
 
Russia imekamilisha mfumo mbadala wa SWIFT unaoitwa System for Transfer of Financial Messages (SPFS), imeikabidhi India mfumo huo ili utumike kwenye malipo ya biashara kati ya nchi hizo mbili.

Kuna wapumbavu fulani waliona kutengeneza mfumo kama wa SWIFT kwa Russia ni jambo zito...nadhani walifikiri Russia ni Tanzania/Africa...Wakasahau Russia ipo mbaali zaidi kiasi cha kumuacha Marekani nyuma kwenye teknolojia nyingi tena za kibabe....

=====

View attachment 2169667View attachment 2169668
Da ila wewe jamaa bana Unatisha.
Unaletaga habari zenye maumivu makubwa upande wa pili.
Aisee nakupa nishani ya juu kabisa ya ujasusi .
 
Kwa hili siwezi kukubishia Mkuu.

Kitambo sana USA alikua analitaka soko la Gas la Europe alikua akimuonea donge Russia Kwa kua alikua anapata mabilioni ya Dola Kwa kuuza gas Ulaya hasa baada ya kujengwa Kwa Nord stream 2 uhusiano wa Marekani na Ujerumani haukua mzuri ikapelekea mpaka Trump kuiwekea vikwazo hii project lakini German alikomaa nayo. Sasa baada ya hii Vita mambo yamebadilika,yale yote alokua akiyataka Marekani ameyakamilisha tena kirahisi.
1. Kuifanya Ujeruman iongeze bajeti yake ya Ulinzi kufikia 2% ya pato la Taifa. Sasa bajeti imeongezeka kufikia $110 billion. Hapo kabla Angela Merkel alisema hawawezi kufika 2% Labda mpaka 2025-2030.

2.Kuuza Gas yake Ulaya Kwa wingi,mwaka huu watasupply 15 bcm zaidi na 50 bcm za gas mpaka kufikia 2025.

3.Mauzo ya silaha,nchi nyingi za Ulaya Kwa sasa zinapanga foleni kununua silaha toka Marekani kujiimarisha kiulinzi dhidi ya Urusi, Ujerumani ameshaorder F-35,kabla ya uvamizi walikua hawaitaki. Huko nyuma ilipelekea kamanda mmoja wa jeshi kujiuzulu (nimemsahau jina) baada ya kutaka Ujerumani inunue f-35 toka Marekani,alishambuliwa (akaamua kujiuzulu) Kwa kisingizio kwamba kuichagua f-35 inaifanya Ujerumani kua mtegemezi Sana Kwa. Marekani.
Chamsingi urussi kaingia 18 za marekani.
 
Urusi hana sababu ya kuwafuata huko, kwasababu Operation hii haimhusu Poland wala NATO, inamhusu Ukraine na kiherehere chochote kitakacho sogeza pua yake ndani ya Ukraine au Urusi.
Kama wanahamu ya kufuatwa huko kwenye mazoezi yao, wafanye wamekosea warushe kombora moja tu liingie Urusi au lijeruhi hata askari mmoja tu wa Urusi kwenye vikosi vilivyopo Ukraine.
Hadi leo hujamwelewa Putin wala watu wa sehemu zile. Putin ana ndoto kurudisha ukuu wa Urusi wa zamani. Ukuu wa Urusi ulikuwa pamoja na koloni zake. Koloni hizo unajua au hujasikia? Poland ilikuwa mojawapo, Ukraine, Estonia, Latvia, Georgia ...... hapo sababu watu hao wameamua kutorudishwa katika hali ambayo wengi wanakumbuka kama utumwa.
Nenda tu, uwaelimishe hawamjui Putin, lakini wewe utawafundisha sasa...
Nakutakia mafanikio mema!
 
Hivi covid imeishia wapi [emoji28][emoji28][emoji28]
Ipo sema haina airtime tena ka zamani. Kila kitu kimefunikwa na Ukraine vs Russia. Ingawa ukweli mambo yapo mengi tu. Kwa mfano ndani ya hii week Saudia na kundi lake washaingia Yemen kufanya wanayoiita Special Operation na leo hii wameisimamisha. Kwingineko Iran na Israel kunafukuta uko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zaidi kuna kijisehem kilichojitenga kule Georgia, South Ossetia wanataka kujiunga na Russia rasmi... N.k
 
Back
Top Bottom