Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh unayo uchungu na fedha oligarchs waliwabia warusi utadhani za ukoo wako! Kwa taarifa zaidi ya dola bilioni 600 dhamana ya urusi mabenki ya ulaya zimezuiliwa .Hizi nazo kugharamia ujenzi Ukraine. Ha ha lazima VladimirPutin akumbushwe action have consequences - bomoa utagharamia ujenzi bladi fool.
Dollar Bilion mia sita? MIA SITA? Ukraine kaula mwendawazimu huyu. Anajenga tena miundombinu yake mara mbili zaidi, miundombinu mingine mingi ni kufanya repairness tu.

Daaah, pesa nyingi saaana hizo mkuu.
 
Kama Ukraine anataka kujiunga NATO kwa kuona kuwa inaenewa na Russia pia ni sahihi kwa maelezo yako..

Vipi kuhusu Raisi Assad wa Syria..

Kuhusu Kashmir !

Au Chechnya maana nao walikuwa wanataka kujitenga kama point ni kugandamizwa (maana anayetetea wanaoonewa yeye pia anaonea wengine).
Sikusema chochote kuhusu matakwa ya Ukraine kuwa sawa.... Nilisema tu: walitaka kujiunga NATO, walikataliwa, hawana silaha kali. Hivyo ni dhahiri kwamba maelezo ya Putin kuhusu sababu zake si kweli.
Assad wa Syria wa Syria ina kazi gani hapa?
Kashmir iko dhahiri kwamba watu wanaotaka kujitenga na Uhindi wanapata msaada kutoka Pakistan. Angalau huko si uchochezi tupu kutoka nje, ingawa nina wasiwasi kama bila uchochezi wa Pakistan hali isingetulia zaidi.

Chechniya: walitangaza uhuru, sina habari ya uchochezi wa nje. Ni nchi ambako watu walikumbuka jinsi walivyovamiwa na Urusi kwenye karne ya 19 na kuwa koloni yake; hawakusahau kwamba walilazimishwa. Putin alifaulu kuwaua wengi na kumpata kiongozi mwenyeji (Baba Kadyrov) aliyekuwa tayari kushirikiana naye. Mapatano ni: Kadyrov alipewa mamlaka yote kufanya jinsi anayotaka kama dikteta wa Chechnya ndani ya jimbo akiahidi kukandamiza upinzani wote dhidi ya ukuu wa Urusi nje.
 
Russia & China to launch “fair world order” - Lavrov


Russia and China’s Foreign Ministers Sergey Lavrov and Wang Yi met Wednesday in Tunxi city to discuss their countries’ aims to establish a multipolar, fair, and democratic world order”.


Wang believes economic sanctions simply disrupt world trade and don’t help resolve conflict, stating earlier this month that China’s relations with Russia is “one of the most crucial bilateral relationships in the world,” and hailed the friendship between the pair as “ironclad.”


Tunxi will also host a summit on Afghanistan involving Russia, the US and Pakistan Thursday.
 
Ok
Sikusema chochote kuhusu matakwa ya Ukraine kuwa sawa.... Nilisema tu: walitaka kujiunga NATO, walikataliwa, hawana silaha kali. Hivyo ni dhahiri kwamba maelezo ya Putin kuhusu sababu zake si kweli.
Assad wa Syria wa Syria ina kazi gani hapa?
Kashmir iko dhahiri kwamba watu wanaotaka kujitenga na Uhindi wanapata msaada kutoka Pakistan. Angalau huko si uchochezi tupu kutoka nje, ingawa nina wasiwasi kama bila uchochezi wa Pakistan hali isingetulia zaidi.

Chechniya: walitangaza uhuru, sina habari ya uchochezi wa nje. Ni nchi ambako watu walikumbuka jinsi walivyovamiwa na Urusi kwenye karne ya 19 na kuwa koloni yake; hawakusahau kwamba walilazimishwa. Putin alifaulu kuwaua wengi na kumpata kiongozi mwenyeji (Baba Kadyrov) aliyekuwa tayari kushirikiana naye. Mapatano ni: Kadyrov alipewa mamlaka yote kufanya jinsi anayotaka kama dikteta wa Chechnya ndani ya jimbo akiahidi kukandamiza upinzani wote dhidi ya ukuu wa Urusi nje.
, nime-edit pitia tena!
Sasa mkuu kwa maelezo yako kuwa Putin so kuwa anaangalia point ya kuonewa pekee ..ni zaidi ya hapo..
Mfano katika maelezo take umekiri kuwa Russia waliwakandamiza Wachechen japokuwa walitaka Uhuru wao (against Russia) .sasa kumbe ni wababe tu na siyo kuwa wanasimama na wanaoonewa(hii ndio point kulingana na maelezo yako).
So mwisho tunaona Russia anahitaji majirani dhaifu kwa manufaa yake tu na siyo jingine..yaani atakapotaka kuvamia iwe Rahisi( ndiyo sababu hataki NATO kwa nchi zilizokawa USSR) .
Kwa style hii ya kumega nchi kidogo kidogo akitumia nguvu zake za kiheshi dhidi ya majirani zake.
Na mzizi wa Kuikataa NATO upo hapa maana itamnyima fursa ya kufanya anavyotaka na hata akitaka lazima afikirie Mara mbili.
Lengo LA Putin ni kuikalia Ukraine na kumega tena majimbo take kama Alivyofanya 2014 Crimea ijapokuwa awamu hii anapata upinzani!
 
The Kremlin plays down hopes of a breakthrough following talks between Russian and Ukrainian delegates in Istanbul yesterday

Wafuasi wengi wa Putin humu Ndani hawana uwezo mzuri wa akili, Russia yenyewe imeona aibu ya kukubali walichozungumza Jana, ila wao Bado wanaamini Russia hajafeli kwenye operation yake
 
Mkuu suala la kulalamika ni kawaida ya mwana damu lakini kulalimika halijawahi kubadilisha chochote.
Kila siku watu wanalalamikia kuhusu vitendo vya Israel dhidi ya wapalestina je ni kipi kilicho badilika?

Hata hapa nchini kwetu kuna mambo ya hovyo na kinyume cha sheria yanayo fanywa na viongozi wetu na watu wanalalamika lakini haijawahi kubadilisha chochote.
Ukraine sio taifa la kwanza kuvamiwa na halitakuwa la mwisho kuvamiwa.
Ni kweli ..ila tu nashangazwa na baadhi ya members humu jukwaani ni kuwa kuna wakati Israel anashambulia Palestine au Syria kusababisha mauaji watu wanalaani the same people Katika mgogoro huu wanaunga mkono Russia( kwa vigezo vilevile vya Israel na US)
*Maajabu hayaishi duniani!
 
The Kremlin plays down hopes of a breakthrough following talks between Russian and Ukrainian delegates in Istanbul yesterday

Wafuasi wengi wa Putin humu Ndani hawana uwezo mzuri wa akili, Russia yenyewe imeona aibu ya kukubali walichozungumza Jana, ila wao Bado wanaamini Russia hajafeli kwenye operation yake
Hiyo taarifa yako umetoa chanzo kipi cha habari? Unaweza kukiweka hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin banned the purchase of foreign software for use at "objects of the critical information structure of the Russian Federation" without approval at the federal level

And from 2025, state authorities will be completely prohibited from using foreign software.
 
WTF! Russians fighting for Ukrainian army

[emoji117]Wow, Russian volunteers on the Ukrainian side, reportedly former Russian military service members.
“Russia’s Freedom” legion getting instructed on how to use NLAWView attachment 2169418View attachment 2169419

Endelea kujipa moyo, Russian na silaha za NATO hizo NLAW wapi na wapi? Hao ni wenzenu wa NATO wanatoa mafunzo kwa Ukraine
20220330_173738.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom