Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

SmartSelect_20220330-152720_Twitter.jpg
 
Rafiki

Yangu Proved,mbona nakuamini sana!
Unashindwaje kuelewa mchezo hapo?
Mbona tatizo liko wazi?
Proved said:

Anayehatarisha usalama wa Russia ni Ukraine au NATO ?
Kwanini apigane na Ukraine na sio NATO ?


Proved anauliza swali zuri. Ukraine haikutishia wala kushambulia Urusi. Ukraine iliomba kujiunga na NATO lakini ilikataliwa na NATO tangu mwaka 2008. Ukraine ilikabidhi silaha zake kali kwa Urusi kwenye mwaka 1994 na Urusi iliahidi kuheshimu na kutunza mipaka yake.
Tunaona sasa kwamba Ukraine haina silaha za mashambulio (ila silaha za kujitetea inazotumia kihodari).
Putin ameshambulia nchi jirani -dhidi ya ahadi azke na sheria ya kimataifa- kwa sababu anataka kurudisha koloni za awali chini ya mamlaka yake. Pia kwa sababu aliamini ingekuwa kazi rahisi maana alipoanza mchezo huo Ukraine 2014 na baadaye Georgia hakuona upinzani mkali, anachoona sasa.
 
Six US #Navy EA-18G #Growler electronic warfare aircraft are deploying today 28 March to Spangdahlem Air Base, Germany "to bolster readiness," the Pentagon said. The VAQ134 Garudas are an expeditionary squadron that don't normally deploy on carriers
IMG_20220330_154207.jpg
 
Proved said:

Anayehatarisha usalama wa Russia ni Ukraine au NATO ?
Kwanini apigane na Ukraine na sio NATO ?


Proved anauliza swali zuri. Ukraine haikutishia wala kushambulia Urusi. Ukraine iliomba kujiunga na NATO lakini ilikataliwa na NATO tangu mwaka 2008. Ukraine ilikabidhi silaha zake kali kwa Urusi kwenye mwaka 1994 na Urusi iliahidi kuheshimu na kutunza mipaka yake.
Tunaona sasa kwamba Ukraine haina silaha za mashambulio (ila silaha za kujitetea inazotumia kihodari).
Putin ameshambulia nchi jirani -dhidi ya ahadi azke na sheria ya kimataifa- kwa sababu anataka kurudisha koloni za awali chini ya mamlaka yake. Pia kwa sababu aliamini ingekuwa kazi rahisi maana alipoanza mchezo huo Ukraine 2014 na baadaye Georgia hakuona upinzani mkali, anachoona sasa.
Mkuu hapa ndio umetoa maelezo yaliyonyooka ..inamaana Russia wanataka majirani wadhaifu ili akijisikia kushambulia basi iwe kazi rahisi ..ila anaona NATO watamkwamisha malengo yake. Kama alivyofanya Georgia (Osertia and Abkhazia) na 2014 Ukraine(Crimea) hiki ndicho kiini cha mgogoro.
Na hata hayo majimbo yanayotaka kujitenga (Donbass) nimesikia yanataka kuwa sehemu ya Russia.
 
Hofu ya usambazaji wa gesi ya Urusi yaanzisha mpango wa dharura wa gesi wa Ujerumani

Hatua ya kwanza ya mpango wa dharura wa gesi ya serikali ya Ujerumani imeanzishwa baada ya Berlin kukataa ombi la Moscow la kulipia usambazaji kwa rubles huku kukiwa na wasiwasi kwamba Urusi itakata usafirishaji.

Waziri wa Uchumi Robert Habeck anasisitiza ugavi wa nchi hiyo umehakikishwa bila masuala ya usambazaji kwa sasa, lakini aliongeza viwango vya kupanda zaidi vya mpango huo vinawezekana, ambavyo vinaweza kujumuisha mgao wa gesi.

Hatua hiyo inakuja huku Baraza la Wataalamu wa Kiuchumi la Ujerumani likidai utabiri wao unaona upanuzi wa Pato la Taifa wa 1.8% tu, chini ya utabiri wa awali wa 4.6%.
 
👉Ukraine: A Russian BMD-2 airborne infantry fighting vehicle was captured by the Ukrainian forces in #Kyiv Oblast.
IMG_20220330_155356.jpg
 
👉
#Ukraine: Further Russian losses; this time a T-72B3 tank damaged, an ammo truck stripped and burned, and two more Tigr-M IMVs.

Take notice of the damage pattern, which is indicative of mines or maybe even IEDs
IMG_20220330_155955.jpg
 
WTF! Russians fighting for Ukrainian army

👉Wow, Russian volunteers on the Ukrainian side, reportedly former Russian military service members.
“Russia’s Freedom” legion getting instructed on how to use NLAW
IMG_20220330_160656.jpg
IMG_20220330_160653.jpg
 
Back
Top Bottom