lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Hata kupunguza makali inaweza kuwa sababu.maana yake Adui Yako sio Adui yangu,usinikaImeshe nimchukie Adui Yako.Hebu tutafakarini kuhusu ziara China ya waziri wa mambo ya nje wa Russia. Je kuna nini? Au ni kuomba msaada kupunguza MAKALI YA VIKWAZO.
Kama wewe una marafiki niache na Mimi niwe na marafiki.
Lakini rafiki Yako ambae ni Adui yangu wa kuleteana masilaha mlangoni kwangu hiyo sintakubali.