Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Hehe heeheee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmekua vibaka
Kama kawa
Umesahau Iraq na Syria ?
Yaani wizi umo kwenye damu tangu enzi na Africa pia [emoji23][emoji23]
Hehe heeheee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmekua vibaka
Yacht na majumba ya oligachs yapigwe mnada fedha zitumike kujenga nyumba ambazo Vladimir Putin amelipuwa Ukraine. Glory to Ukraine- Let freedom ring.
Unadhani Ukraine ni ibinzamata kwamba hela za yacht titatosha kuijenga Ukraine asee akili ni nywele ila wewe rasta unanitia mashakaYacht na majumba ya oligachs yapigwe mnada fedha zitumike kujenga nyumba ambazo Vladimir Putin amelipuwa Ukraine. Glory to Ukraine- Let freedom ring.
Inakusaidiaje?Mimi nikielewa hiyo geopolitics inanisaidiaje ukiwa wewe unayeelewa hujapata hata nafasi ya kujitolea achia mbali ajira hapo Sudan na Somalia kuwasaidia hata wakimbizi...kikubwa ninchoelewa Putin Anatakiwa kuheshimu state sovereignty... Ukraine Ni nchi huru asipangiwe vya kufanya
Ha ha ha aaHii wala haina shida, kwa kuwa baadae huwa wana kawaida ya kufufuka.
umeniacha speechless....Wanasema yajayo yanafurahisha. Ukiangalia kwa US kuna vyama vikuu viwili, Democrats na Republican... Ajab zaidi wana Right wing na left wing. Wana uhasama wa ajab kama bongo CCM na Chadema.
Trump na Republican wenzie wanamtuhum Biden kua ni dhaifu, Democrats wanamtuhum Trump kama Rais mbovu kuwah kutokea hapo USA. Biden wanampa Big up namna vile anavotunisha misuli ake nje ya mipaka ya US... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nazan hyo ndio mentality yao ambayo washajijengea.
Ndani ya US kuna wanaotaka "American First"... Yani wakae wajenge America yao na sio umbea kila kona ya dunia. Imagine mpk msemaji wa ikulu ampandishia sauti Raisi wa taifa lingine... Em imagine mwandishi wa habari anampiga mkwara kiongozi wa taifa lingine? [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] Sio kwamba napiga story... Angalia hii pic chini.
Upande ule wengi katika Raia hawana shida. Ila katika uongozi kuna kikundi nyuma ya pazia ndicho chenye tatizo na ambacho kinanufaika na kila nukta ya tukio linalofanywa na US kwa mfano TZ kale ka kikundi tunakokaita "System" ndani ya CCM.
Umeniuliza maswali na mie nikuache na maswali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Media zimekuwa zikitwambia Ukraine are winning. Russia anapoteza si ndivo? Ila siku za tukaambiwa tena kua Central Bank imefilisika katika kugharamia shughuli za jeshi...
Akati huo huo tunaambiwa US pekee imetuma msaada wa kijeshi na fedha zaidi ya USD Billion 13. Nchi zingine vile vile kwa idadi yao... Yet tukaambiwa Ukraine are running out of ammunition.
Ukigeuka nyuma ukiangalia Data zinazotolewa na MoD of Russia ziko based na kile kilichokuepo Ukraine kabla ya uvamizi. Je ushawah jiuliza hizo fedha zilikuwa zinaenda wapi?
Gharama zilizotumika kwenye makaratas za kutoka nje achilia mbali za ndani kwa ulinganifu ni sawa na budget ya Millitary kwa mwaka mzima ya Turkey ama Poland ama Spain au ni sawa na Budget ya nchi takriban hizi zote ambazo nitazitaja zilizopo NATO.. Portugal, Hungary, Slovakia, Croatia, Lithuania, Bulgaria, Latvia, Slovenia na Estonia zooote combined ndani ya mwaka mzima kwa mwezi mmoja Ukraine. Je hizo gharama zilizotumika na ushindi wanaotuaminisha zinafanana?
Kama wameshinda hizo gharama zilikuwa zinatumika wapi na kwa akina nani? Na kama zilitumika kweli ikawaje wakaishiwa silaha na kama ziliharibiwa je zilizoharibiwa zinafanana na hizo gharama??? Dunia ina mengi wacha tuendelee kulima mchicha tu. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ungeyasema wewe maneno haya Westerners wa bongo wangekutukana matusi yote.View attachment 2169090
The dominance of the dollar is under threat, and the US will soon find it difficult to service the national debt.
Harry Kazianis of the Center for the National Interest stated this on Fox News:
“It is impossible to be a superpower if your economy is in a catastrophic state. Let's face it, we're going to borrow about a trillion dollars this year. The interest we will pay on this debt will be astronomical.
If our currency is no longer a reserve currency, the amount of money we will spend just on debt service will skyrocket. On top of inflation, on top of further debt growth.”
Galip SV Liwagu
Samsung removed the letter Z from the names of its smartphones on sites in Latvia, Lithuania and Estonia.
Journalists of specialized publications drew attention to this. It is assumed that in the coming days the company can do this in other European countries.
Officially, Samsung did not comment on the situation.
Galip SV Liwagu View attachment 2169172
Unge weka na picha pamaja na jina ungekuwa mtu makini Sana ?Leo watu wameumbuka, kuna General wa Russia Ukraine walitangaza kumuua, leo ameonekana hadharani.
Ndio yaleyale wako busy wanasema wanashinda vita kumbe ni propaganda tu..
What we are witnessing is truly the beginning of the end. In recent months I have focused a lot on the economic implosion that is now taking place, but what we are facing is so much broader than that. Our society is literally falling to pieces all around us, and now World War III has begun. Many regard the war that has erupted on the other side of the globe as just a conflict between Ukraine and Russia, but the truth is,that is really a proxy war between the United States and Russia. And since neither side seems much interested in diplomacy at this point, this proxy war could eventually become a shooting war between the two greatest nuclear powers .That was a call for regime change in Russia.President Joe Biden on Saturday said Russian leader Vladimir Putin “cannot remain in power,” ratcheting up international pressure and further uniting NATO allies against Putin over his invasion of Ukraine.
“A dictator, bent on rebuilding an empire, will never erase the people’s love for liberty,” Biden said at the end of a sweeping speech in Poland. “Ukraine will never be a victory for Russia, for free people refuse to live in a world of hopelessness and darkness.”
Even during the darkest days of the Cuban missile crisis, U.S. officials always kept talking to the Russians.Secretary of State Antony Blinken and his Russian counterpart Sergey Lavrov have not spoken since February 15, over a week before Russia launched its invasion of Ukraine on February 24, the State Department told Antiwar.com on Friday.
Earlier this week The Washington Post cited US officials who said Blinken hasn’t attempted to speak with Lavrov since the start of the conflict. When asked to confirm the story, a State Department spokesperson said, “We can confirm that the last time Secretary Blinken and Foreign Minister Lavrov spoke was on February 15.”
Every time Biden opens his mouth, he makes things even worse.According to The Associated Press, Biden’s remarks were given in front of U.S. troops who “had been sent near Poland’s border [with Ukraine] to assist with the humanitarian emergency and to bolster the U.S. military presence on the eastern flank of NATO.” The words, “and you’re gonna see when you’re there,” were spoken right after the president mentioned the bravery of Ukrainian citizens. Later, the White House once again told reporters that U.S. troops would not be deployed to fight in the war in Ukraine.
Many had thought that the war in Ukraine would help to unite America and would provide a boost to Biden’s extremely poor approval ratings.President Joe Biden is abandoning a campaign vow to alter longstanding US nuclear doctrine, and will instead embrace existing policy that reserves America’s right to use nukes in a first-strike scenario, according to multiple reports.
As Russian forces continue their bloody assault on Ukraine, Biden is under pressure from NATO allies not to abandon the right to use nuclear weapons to deter conventional attacks.
We were warned that 2022 would be a very troubled year, and we are still in the very early chapters.President Joe Biden’s job approval ratings keep falling in his second year in the White House, with just 40% of Americans approving of the job that he is doing, a new NBC News survey finds.
That is the lowest rating Biden has seen in his presidency.