NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Wazungu wanajielewa sana ingekuwa bongoThose who bombed Yugoslavia have no moral right to ask Serbia to impose sanctions against Russia and "destroy centuries of friendly relations."
This was stated by the Minister of Internal Affairs of Serbia Alexander Vulin.
He added that the conflict in Ukraine started a wave of Russophobia, which always ends in Serbophobia: “Everyone who hated Russia did not like Serbia either. Everything they do with Russian children today, they will do with Serbian children tomorrow.”
Galip SV Liwagu View attachment 2167204
Sasa na kina pro baba levo waone nini si bora pro the bearHivi huwa hamuoni aibu? Kabisa jitu kubwa zima na akili zako unajiita Pro Russia?
Hivi una uhakika gani kwamba askari hawa ni wa Urusi.Naomba nikutaarifu kwamba askari wa Ukraine ni Nazis 100%,so ni waovu kupindukia.To them anything is possible.Slava Ukraini, 🇺🇦🇺🇦🇺🇦
mwaka huu urussi itaomba kuingia NATO😁😁
View attachment 2166677View attachment 2166678View attachment 2166679
Sasa kama hapa utasema huyu anayeandika haya ana akili timamu kichwani?Hivi una uhakika gani kwamba askari hawa ni wa Urusi.Naomba nikutaarifu kwamba askari wa Ukraine ni Nazis 100%,so ni waovu kupindukia.To them anything is possible.
Zipo taarifa za kuaminika kwamba wanaua civilians na ku-pretend kwamba Urusi ndio wanaowaua,ili wapate sympathy ya the West.Zipo taarifa pia kwamba wanaua wanajeshi wao ili ionekana kwamba wanazidiwa nguvu na Urusi na hivyo wapate silaha kutoka nchi za Magharibi.Nisemalo ni nini,usiamini kila taarifa unayopata kwenye vita hii,upo uongo mwingi sana,hasa from Ukraine.Taarifa za kuaminika ni za alternative media tu,sio mainstream media.Kumbuka kwamba Zelensky ni Opera Queen.
Kumbe hao ******* walikuwa wana wazuia raia kuondoka ili wawa tumie kujikinga na mashambulizi ya Urusi?Alihusika kuwazuia raia wa mauripol wasiodoke huko kwa kuwapiga risasi
Hutawaona hapa wanatafuta vipicha vya tangu tar 15 huko wanavirudie rudie kupost we ngoja warusi wa nachingwea huku tufunge mahesabuLeo watu wameumbuka, kuna General wa Russia Ukraine walitangaza kumuua, leo ameonekana hadharani.
Ndio yaleyale wako busy wanasema wanashinda vita kumbe ni propaganda tu..
🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣Huenda uelewa wetu ni mdogo sikatai, lakini ujuwe kuwa since 2014 Russia imekuwa blacklisted na system za SWIFT, walitakiwa kuondolewa kipindi hicho so walijua it'd happen.
Kama unafatilia, China na Russia walishatengeneza mifumo yao, Russia walishaanzisha National Payment Card Systems (NPCS) Mir, kwa ajili ya domestic payments (they knew haya yatatokea), leo hii Russians wanaweza kutumia UnionPay ya China(japo haijasambaa duniani kote) kufanya international transactions.
Kumbuka pia wanaweza kutumia nchi za jirani kufanya international transactions bila matatizo, Turkey, Kazakhstan, Uzbekistan lakini pia kuna system mpya ya Chinese Cross-border Interbank Payment System (CIPS) ambayo bank za Russia kwa sasa zinatumia.
Lastly, western countries watanunua mafuta na gas kwa ruble, hivyo kuipa nguvu currency yao. Sisemi vikwazo haviwapi shida, Ila hawalii ovyo kama ingekuwa sisi.
HahahaMkuu unapoambiwa wanya hivi ukakaidi utapigwa tu [emoji16]
Hahaha aisee.Pamoja na hayo kuna mengine pia yanajadiliwa mitandaoniView attachment 2167159
Daaah 🤣🤣🤣🤣🤣Sahihisha SWIFT wamefungiwa this year. Pia sio benki zao zote zimefungiwa hapo kwenye SWIFT. Benki zinazopokea miamala ya gesi na mafuta kutoka ulaya hazijafungiwa. Halafu ufaransa imegoma kununua kwa rubble maana mikataba iliyopo inasema italipwa kwa dollar za kimarekani /Great briain pound or Euro. Rudi kasome taarifa zako kwanza. Na pia hiyo system ya kichina haiwezi kupitisha dollar. Inapitisha Renminbi ya kichina tu na hiyo rubble ya kirusi. Yeyote anayefanya transcaction ya dollar lazima utumie SWIFT. China ameshaonywa na marekani kuhusu kumsaidia huyo Mrusi. Uwezo wa kumsaidia anao ila kukitokea vita ya kiuchumi kati ya marekani na china anayeumia ni mchina maana kuna baadhi ya technologia bado hana na pia watu wote wanaofanya nae biashara wanatumia dolar na sio fedha ya kichina.