Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo watu wameumbuka, kuna General wa Russia Ukraine walitangaza kumuua, leo ameonekana hadharani.

Ndio yaleyale wako busy wanasema wanashinda vita kumbe ni propaganda tu..
Ukraine wanajua propaganda na mmoja wa watu wao wa propaganda za mitandaoni kashakamatwa.

Kama utakumbuka wakati vita inaanza kuna jamaa mmoja wa Ukraine alipata umaarufu sana mitandaoni wakati na mtu huyo hajulikani alipotelea wapi walimpa jina la the Ghost of kyiv wakaonyesha clips akiwa anadodge mashambulizi kutoka Russia kumbe ilikua ni video game sio reality
20220328_190451.jpg
20220328_190538.jpg
 
LVIV, Ukraine, March 28 (Reuters) - The mayor of Irpin, near Kyiv, said on Monday Ukrainian forces had seized back full control of the town which has been one of the main hotspots of fighting with Russian troops near the capital.

"We have good news today - Irpin has been liberated," Mayor Oleksandr Markushyn said in a video post on Telegram. "We understand that there will be more attacks on our town and we will defend it courageously."
 
Unaijua S 400 tangu syria walipopokea huo mzigo kwenye anga lao hajawahi katisha hata kunguru[emoji16]

kama hujui kitu kaakimya sio kuleta ushabiki maandazi hii ni Jf sio facebook
Kweli?? Siwezi kufurahia wala askari wa Syria wala wa Urusi wala wa Israeli wala wa Ukraine wakiuawa. Ila propaganda inatusaidia nini??
Ona hii taarifa ya Februari 2022:
france24.com


Israeli air strikes kill three Syrian soldiers near Damascus, Syrian media says​

Three Syrian soldiers were killed on Thursday morning in an Israeli air strike near the capital Damascus, according to Syria’s state media.
It was the fourth reported time this month Israel has launched strikes inside Syria, keeping up a campaign against pro-Iranian forces supporting the Damascus government in the more than decade-old civil war.
“The Israeli enemy carried out an air assault with several missiles,” state media SANA reported, adding three soldiers were killed.
It said the Syrian air defence ministry intercepted most of the missiles in the attack, which occurred about 1:10 am (23:10 GMT).
The Syrian Observatory for Human Rights (OSDH), which has an extensive network of sources in across the country, reported that explosions were heard in Damascus and its suburbs “after the interception of Israeli missiles by the Syrian regime’s anti-aircraft defence”.
 
Encouraging! Natamani dollar ianguke tu, kila mtu awe na uwezo wa ku-trade kwa currency anayotaka yeye! Hii superpower shyte ya kibabu inachosha!!
Mpendwa hata leo unaweza kufanya biashra kwa pesa zaidi ya 100 duniani - ukimpata mteja anayekubali. Maana kila biashara ni kwa mapatano, sivyo? Kwa hiyo shika rubel zako na utafute mwuzaji anayezipenda.
 
Ukraine wanajua propaganda na mmoja wa watu wao wa propaganda za mitandaoni kashakamatwa.

Kama utakumbuka wakati vita inaanza kuna jamaa mmoja wa Ukraine alipata umaarufu sana mitandaoni wakati na mtu huyo hajulikani alipotelea wapi walimpa jina la the Ghost of kyiv wakaonyesha clips akiwa anadodge mashambulizi kutoka Russia kumbe ilikua ni video game sio realityView attachment 2167327View attachment 2167328
Na Mariupol ishaanguka huko. Wanaume wanapiga kazi kimya kimya hakuna kelele
 
Hivi una uhakika gani kwamba askari hawa ni wa Urusi.Naomba nikutaarifu kwamba askari wa Ukraine ni Nazis 100%,so ni waovu kupindukia.To them anything is possible.

Zipo taarifa za kuaminika kwamba wanaua civilians na ku-pretend kwamba Urusi ndio wanaowaua,ili wapate sympathy ya the West.Zipo taarifa pia kwamba wanaua wanajeshi wao ili ionekana kwamba wanazidiwa nguvu na Urusi na hivyo wapate silaha kutoka nchi za Magharibi.Nisemalo ni nini,usiamini kila taarifa unayopata kwenye vita hii,upo uongo mwingi sana,hasa from Ukraine.Taarifa za kuaminika ni za alternative media tu,sio mainstream media.Kumbuka kwamba Zelensky ni Opera Queen.
Asante, ila afadhali "tusiarifiwe" na wewe. Hekima hiyo kuhusu "Nazis 100%" umechota wapi, ewe mtaalamu mkubwa?
 
The French should save electricity and gas, otherwise next winter "everything can be bad."

This publication Les Echos said the chairman of the French Energy Regulatory Commission Jean-Francois Karenko.

He emphasized that interruptions in the supply of energy resources can affect everyone, including the industrial sector, the service sector and government organizations.

Karenko also called for speeding up the deployment of a floating LNG terminal in Le Havre and simplifying procedures for renewable energy projects.
Galip SV Liwagu
20220326_103402.png
 

Ukrainian forces have retaken Irpin, local mayor says​

The mayor of Irpin says Ukrainian forces have seized back control of the town, which has been one of the main hotspots of fighting with Russian troops near the capital, Kyiv.

“We have good news today – Irpin has been liberated,” Oleksandr Markushyn said in a video post on Telegram. “We understand that there will be more attacks on our town and we will defend it courageously.”
Urusi kanyanganywa mji mwingine tena
 
Huenda uelewa wetu ni mdogo sikatai, lakini ujuwe kuwa since 2014 Russia imekuwa blacklisted na system za SWIFT, walitakiwa kuondolewa kipindi hicho so walijua it'd happen.

Kama unafatilia, China na Russia walishatengeneza mifumo yao, Russia walishaanzisha National Payment Card Systems (NPCS) Mir, kwa ajili ya domestic payments (they knew haya yatatokea), leo hii Russians wanaweza kutumia UnionPay ya China(japo haijasambaa duniani kote) kufanya international transactions.

Kumbuka pia wanaweza kutumia nchi za jirani kufanya international transactions bila matatizo, Turkey, Kazakhstan, Uzbekistan lakini pia kuna system mpya ya Chinese Cross-border Interbank Payment System (CIPS) ambayo bank za Russia kwa sasa zinatumia.

Lastly, western countries watanunua mafuta na gas kwa ruble, hivyo kuipa nguvu currency yao. Sisemi vikwazo haviwapi shida, Ila hawalii ovyo kama ingekuwa sisi.
Unafahamu kwamba ukitumia hiyo payment system ya Russia huwezi tena kutumia SWIFT, sasa nani atafanya hiyo biashara kichaa. Russia uchumi lazima uporomoke tu hilo halina ubishi.

Itakuwa ni ile hadithi ya sikio la kufa halisikii dawa.
 
💵 What's in US President Joe Biden's 2023 budget proposal?

▪️ $682mln in Ukraine assistance, which is $219mln more than in 2021

▪️$6.9bn for the European deterrence initiative, NATO, & countering 'Russian aggression'

▪️nearly $1.8bn to support a 'free, open' Indo-Pacific region

▪️$400mln for the countering China’s 'malign influence' fund

▪️$773bn for the Pentagon

▪️$223mln to support development of commercial space stations

▪️ a new 20% minimum tax will be imposed on billionaires

▪️$10.6bn to 'bolster US leadership' in addressing global health security challenges

▪️$11bn in international climate financing
 
Unafahamu kwamba ukitumia hiyo payment system ya Russia huwezi tena kutumia SWIFT, sasa nani atafanya hiyo biashara kichaa. Russia uchumi lazima uporomoke tu hilo halina ubishi.

Itakuwa ni ile hadithi ya sikio la kufa halisikii dawa.
Endelea kujifarij ushaambiwa Russia siyo Zimbabwe Ile ni nchi inayotegemewa na nchi nyingi duniani sanctions saivi zinarudi kwenu mnabaki kijambajmba Tu nchi30 zimejiunha kwaajili ya nchi moja na bado zinaanyaa endelea Kula kande zko apo nyumbani uku ukisubiria bei ya ngano ipande maana soon hakutakuwa na mandazi ya shilingi 100 tna
 
Asante, ila afadhali "tusiarifiwe" na wewe. Hekima hiyo kuhusu "Nazis 100%" umechota wapi, ewe mtaalamu mkubwa?
Mkuu nina historia ya kina kuhusu aunzishwaji wa nchi ya Ukraine hata kabla ya Khazar Kings.Najua succession ya tribes mbalimbali zilivyoingia na kusambaratishwa Ukraine mpaka kuja kukaliwa tena na Khazars ambao walijigeuza wakajiita Ashkenazi Jews,ambao kiukweli sio Jews,akina Zelensky.Khazars walikuwa wamesambaratishwa na Urusi hapo zamani kwa sababu ya uovu wao usio vumilika.So hata kihistoria,watu wa Ukraine ni waovu sana.
 
Back
Top Bottom