Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Rassia imefanikiwa kutesti S-550 air-defense system....
Hii inadungua sio tu masetilaiti ya Marekani bali hata hypersonic missiles (makombora ambayo Marekani bado anambwela mbwela kupata teknolojia ya kuyatengeneza🤣😂)
Wakati Marekani akimbwela mbwela kutafuta namna ya kutengeneza makombora ya haipasoniki, Russia kishayatengenezea air-defense system ya kuyadungua (S-550)
Wakati makorokocho ya Marekani (THAAD, Patriot PAC-3 n.k.) yanaweza kushambulia tagets zilizo juu kimo cha chini ya kilomita 30, S-550 ya Mrusi inaweeza kuangamiza tageti hata iliyo juu kimo cha makumi ya maelfu ya kilomita.