Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
leo jamaa wamesarenda wenyewe
Ni wapi hapo?leo jamaa wamesarenda wenyeweView attachment 2166666View attachment 2166667
maelezo yako ungeyasaport na link yangekaa poa zaid, natumai hii pic hujaipiga wewe.....Hizi zilikuwa bunduki za msaada majasusi wa urusi walifanikiwa kuzitorosha kutoka mpaka wa poland na ukraine mpaka khersan hawa majasusi walijifanya wanajeshi wa ukraini. Hii picha moja tu ila bunduki zimebebwa nyingi
View attachment 2166417
Kila pande wamekamata mateka.leo jamaa wamesarenda wenyeweView attachment 2166666View attachment 2166667
Ndege za Israel zinaingia na kutoka Syria kama chooni. Zinapiga kambi za Iran DailyS-200 zipo kwa Assad wa syria.japo za kitambo ila ni balaa.ndege za Israel zimepata sana shida kw sababu ya s-200.
Nataka nipite kila nyumb hapa mtaani,nichangishe mchango ili tununue s-300 kwa ajili ya ulinzi wa mtaa
Ndege za Israel zinaingia na kutoka Syria kama chooni. Zinapiga kambi za Iran Daily
chukulia mfano wa nyoka na wadudu (NaTo), na nyumba iliopo remote area (Urus). mwenye nyumba inamlazimu kufyeka vichaka ili nyoka na wadudu wengine wasiweze kukaribia na kuingia nyumban wanaweza sababisha nyumba isikalike. ila haiondoi uhalisia ya kua nyoka anamuogopa mwenyenyumbaWABONGO: NATO wanamuogopa Russia .
RUSSIA : Sitaki Ukraine ajiunge na NATO kwa usalama wa nchi yangu.
wataalam hebu tudadavulieni hapo. Nani anamwogopa mwenzie
Safi sana CanadaIn Canada, Russian products are being removed from supermarket shelves: seeds, kvass, marshmallows and others.
According to The Globe and Mail, the Empire Company, Metro and Loblaw Companies introduced such measures as a sign of support for Ukraine.
Earlier, Canadian retailers withdrew Russian alcohol, including vodka, from circulation.
Galip SV Liwagu
View attachment 2166693
Make Google your friendZinashambulia kutokea mbali.mpakani au kwenye ardhi ya lebanon
Nimsikiliza hiyo hotuba ya Putin sijaona wapi akisema ni operation ya muda mfupi! Sina uhakika sana na swala la US/NATO kutaka vita visiishe. Hivi wakiambiwa vita viishe leo na ushindi uwe kwa Zelensky hawatakubali!? Kwa sababu umesema ni maoni yako sina cha kupinga. Maoni ya mtu ni lazima yaheshimiwe.Kuhusu muda: kwa maoni yangu, Urusi amechelewa kumaliza hii operation sababu ya USA na NATO, wao ndo hawataki imalizike haraka si Urusi. Ingekuwa imeshaisha. Fuatilia alichokisema Puttin wakati anatangaza operation yake uniambie kama ilikuwa ni jambo la zaidi ya mwezi.
Kuhusu Ukraine kusaidiwa: Ukifanya jinai kwa tajiri mkubwa ukashtakiwa kisha ukashindwa kupata mwanasheria wa kukuwakilisha akatokea tajiri mwingine akakulipia mwanasheria ukashinda kesi utapongezwa hatakama hukuwa na uwezo wa kushinda bila mwanasheria.
Nadhani haitakuwa na maslahi kwao.Hivi wakiambiwa vita viishe leo na ushindi uwe kwa Zelensky hawatakubali!?
Wewe inaonekana hata hujui hii dunia inaenda wapi naona kama upo upo tu na ushabiki wa Cold War Era.Kila raisi wa marekani anaekaa madarakani,walau huwa anajaribu kutatua tatizo fulani kubwa lililopo,ili aache historia nzuri,Bush alimuua sadam na kuikomboa Kuwait,Obama alimuua Osama bin Laden,trump alimuu kiongozi wa ISIS na kuzungumza na kiduku WA korea,Yeye BIDEN,mwanachama muhimu mtarajiwa wa NATO,anavurugwa mbele yake,na hana la kufanya na NATO wake,Kwa mzungu mwenzao,historia itamkataa sana,baada ya vita hii,mataifa mengi ya uarabuni yataanza kununua silaha za urusi,mfano ant missile za s400,Saudia wanazitamani sana,sema ndo wamekabwa na marekani...
Unadhani!Nadhani haitakuwa na maslahi kwao.